singida

Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Dalili za 'undugu' kati ya Yanga na Singida BS zimeonekana leo?

    Mbungi imepigwq sana leo. Top competitive football match. Timu zote zimeonesha kutaka ushindi. Inaweza kuwa mechi bora hata zaidi ya derby ya kariakoo msimu huu. Zile story za undygu nadhani leo hazina nafasi. Au wenzangu mmeona hizo dalili za undugu wa hizi timu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Yanga Ikibeba Kombe Fainali Vs Singida Black Stars

    1. Mechi ilikuwa nzuri mno na ya ushindani kuliko hata ile na Simba, kilichowaharibia Singida ni udhamini wake kwa GSM.Ukikubali kuvaa jezi yenye nembo hiyo hata ucheze namna gani lazima ufungwe tu.Wamecheza mpira mzuri na wengi tumeshangaa inakuwaje wanasajili wachezaji wazuri kuliko wa Simba...
  3. JamiiForums Tanzania Full Time: Young Africans SC 2-0 Singida Black Stars | CRDB Federation Cup | Final | New Amaan Stadium | 29.06.2025 | Yanga Bingwa

    Match Day. #Daimambelenyumamwiko# Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Kikosi Cha Singida Black Stars
  4. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lazaro Nyalandu arejea ulingoni tena, achuku fomu jimbo la Ilongero, Singida

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amechukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Ilongero mkoani Singida. Nyalandu amewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo zamani likiitwa Singida Kaskazini kwa vipindi viwili, amekabidhiwa fomu hiyo mapema leo Juni 28, 2025 na Katibu wa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kijana msomi Japhari Saidi atangaza kugombea ubunge la Singida Mjini

    Kijana msomi na mtaalamu wa masuala ya udhibiti wa bidhaa za tiba, Japhari Saidi, ametangaza rasmi nia yake ya kuchukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka 2025. Akizungumza baada ya...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 SINGIDA: Ujio wa COVID-19 waigawa CCM vipande vipande. Baadhi ya makada wasema wasubiri 2030, hii 2025 ni ya wenyewe. Ona hii Video

    Mimi sitii neno lolote https://youtu.be/O7SGS4mwTvg?si=hRC-aL9ZSLlf_sub
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Viongozi wa Pamba Jiji, Namungo, Singida au Mashujaa, GSM ataenda pia kama ilivyo kwa Yanga?

    Salaam Wakuu, Jana katika picha za Rais Samia na viongozi wa Yanga na Simba, Gharib alikuwepo kwa upande wa viongozi wa Yanga, sasa je, siku ikitokea Pamba, Singida, Mashujaa, Namungo na wenyewe wakiitwa huko Ikulu, GSM ataenda kama kiongozi wa hizo Timu? Kama hatoenda, inakuwaje watu...
  8. JamiiForums Tanzania Singida: Halmashauri ya Mkalama yafafanua madai ya baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kuchelewesha vibali vya Uhamisho

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI Halmashauri imetoa ufafanuzi kuhusu hoja hiyo... TAARIFA KWA UMMA YAH: UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA POTOFU INAYOSAMBAA...
  9. JamiiForums Tanzania Waliotaka kuvuruga mkutano wa Chadema Singida wadhibitiwa

    Vijana wanaodaiwa kutaka kuvuruga mkutano wa Chadema uliofanyika mjini Singida leo juni 9, 2025 wamedhibitiwa kabla ya kutekeleza walichokusudia.
  10. JamiiForums Tanzania MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA

    MRADI WA TACTIC KUBORESHA MAZINGIRA YA UFANYAJI BIASHARA MANISPAA YA SINGIDA Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema kukamilika kwa utekelezaji wa miradi ya uboreshaji miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) awamu ya pili Kwenye Manispaa ya Singida kutaleta...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli MV Mwanza kuanzia safari kupitia Singida, Tabora hadi Dodoma?

    WADAU nimekutana na mjadala kwenye kijiwe cha kahawa,naombeni usibitiaho kama Uzi hapo juu unavoeleza
  12. JamiiForums Tanzania Timu kususia mechi za Ligi, Bodi ya Ligi (TPLB) wasema hatujapokea barua ya malalamiko kutoka timu yoyote, hata Singida Black Stars

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha kuwa haijapokea barua yoyote ya malalamiko kutoka kwa klabu yoyote inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC wala NBC Championship hadi sasa. Taarifa hiyo imetolewa na Afisa Habari wa Bodi hiyo, Karim Boimanda, ambaye amesema kuwa hata klabu ya Singida Black...
  13. JamiiForums Tanzania Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko TFF kufuatia mechi dhidi ya Simba SC

    Klabu ya Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko kwa mamlaka za soka nchini, ikiwemo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa mchezo wao dhidi ya Simba SC uliochezwa jana Mei 28 kwenye Uwanja wa KMC Complex. Katika mchezo huo, Simba iliibuka na ushindi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa hii penalty hii mliowanyima Singida endeleen kuwabeba Simba uovu una mda wake nawahakikishia utaisha

    Sisi wana zuoni tunaamini uovu una mda wake unaishaaa Kwa penalty hii isiyo na shaka nasema we refa na waliokutuma mkalaaniwe maisha yenu yote na vizazi vyenu Mda ukifika itasema
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Leo Simba vs Singida imeonyesha namna Gani Simba ilivyokuwa na mabeki wabovu

    Naishauri timu yangu sio kwa ubaya, mabeki wetu wa kati Chamou Karabou, Che Malone Fondoh na Abdulrazack Hamza na yule Hussein Kaze ni mtihani na presha tupu, Che Malone amepungukiwa sana uwezo, Sasa hivi hana Tena maajabu, Chamou ni mzito na kama ningekuwa karibu naye ningemshauri ageukie...
  16. JamiiForums Tanzania Kelvin Nashon Naftal mzawa pekee aliyeanza kwenye kikosi cha Singida BS dhidi ya Simba SC

    Kiungo Kelvin Nashon Naftal wa timu ya Singida Black Stars ndiye mchezaji pekee mzawa aliyeanza leo kwenye kikosi cha Singida BS kinachocheza dhidi ya Simba Sports Club. Kikosi cha Singida Black Stars dhidi ya Simba SC, Ligi Kuu ya NBC. 1. Amas Obasogie 2. ⁠Andre Cirille 3. ⁠Imoro 4. ⁠Anthony...
  17. JamiiForums Tanzania Apigwa shoti na kupoteza nguvu akiiba Transfoma ya TANESCO Manyoni

    Vijana wameombwa kujitafutia kipato kwa njia ya halali ili kuepusha madhara yanayo tokana na wizi kama ambavyo alivyofanya Rajabu Jumanne Mkazi wa kijiji cha Njilii Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni aliyepigwa na shoti ya umeme na kupoteza nguvu ya kutembea baada ya kuiba baadhi ya vifaa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Je , singida kupangasa kikosi dhaifu leo dhidi ya Simba kama walivyofanya dhidi ya Yanga?

    Hapa Sasa ndio tutajua matawi halisi ya nyuma mwiko.... Natarajia leo singida wapange kikosi kama walivyocheza na timu inayoitwa "wenye akili ni wawili tuu".
  19. W

    JamiiForums Tanzania Mechi ya kesho Simba vs Singida inaenda kufunga midomo ya wanasimba wanaolalamika kuhujumiwa

    Update: Yametimia, ingida wamenyimwa Penati 2 Red Card za mchongo kwa Singida Singida kunyimwa penati Refa kuwapa simba penalty za kujidondosha Magoli ya offside dakika kuongezwa 15 Singida wakitaka kufunga ni offside
  20. JamiiForums Tanzania Nini hatima ya timu za Namungo & Singida Black Stars baada ya Uchaguzi Mkuu?

    Wote tunajua, hizi ni timu zinazomilikiwa na wanasiasa. Nini hatima ya timu hizi baada ya uchaguzi mkuu endapo wamiliki wake hawatorudi kwenye nafasi zao?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…