simu

  1. JamiiForums Tanzania UZINDUZI WA SIMU WENYE SUPRISE KUBWA CHUONI (UDSM)

    Habari wapenzi wa teknolojia! Habari za kusisimua kwenu wanafunzi wa chuo ni kwamba simu ya TECNO SPARK 20 inatarajiwa kuzinduliwa chuoni UDSM tarehe 06 Februari 2024, hii itakuwa ya kipekee sana kwani sisi wanafunzi wa chuo kikuu ndio washiriki wakuu! Si tu kuhusu uzinduzi wa simu; bali kuna...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Unawezaje zuia usipatikane kwenye simu lakini ujue nani kakutafuta

    Wakuu si mara kwa mara ungependa kupokea simu ya mtu lakini pia usipopokea na usipokuja kumtafuta baadaye inaweza tengeneza maswali mengi sababu anajua missed call ulipata. Lakini wakati mwingine inawezekana mazingira ya kupokea hiyo simu siyo mazuri ukaacha ukisema utakuja kumtafuta baadaye...
  3. JamiiForums Tanzania Kama unataka uuze gari, simu na vingine ili ulipe ada hamisha mtoto kwenda shule za Samia

    Ada zinasumbua sasa. Ukitaka kuuza kitu ulipe ada hapo unakosea sana! Magari, viwanja, nyumba, simu, pikipiki vinawekwa sokoni kwa kasi sana.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Fundi kapasua kioo cha simu yangu mpya, wakati akiweka protector. Je, nina haki yoyote ya kumripoti?

    Habari wakuu, Juzi nilinunua simu aina ya Samsung galaxy, sasa nikaona niiwekee protector. Kwa bahati mbaya fundi wakati anajaribu kuweka protector akawa amepasua , kioo cha simu yangu hadi kikavuja. alikuwa mbishi kukilipa, hadi nilipomtishia kwenda polisi akaniomba nimpe siku mbili. Sasa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu ya kumtrack mwizi wa simu yangu?

    Ndugu zangu naomba kujua njia ya kutack simu ya mwizi wangu ili nijue Yuko wapi? Kunasystem inajulikana nzuri yakutumia kulocate simu ya mtu ninayemtafuta hata kama amezima simu? Naomba ushauri
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta Makabati ya Simu yanayowaka Taa

    Msaada ndugu zangu wafanyabiashara hasa wenye maduka ya simu. Naulizia yale makabati ya simu ya kampuni yanayowaka huwa ni bei gani na yanapatikanaaje? nasikia hayauzwi ni kama mafriji ya cocacola ila naombeni mwenye connection pa.kuyapata na namna naweza yamiliki niweke dukani kwangu. Kama...
  7. JamiiForums Tanzania Kujianika mbele ya hadhara kisa unaongea na simu ni uzwanzwa!

    Nilikuwa nasafiri kutoka Dodoma kuja Dar! Njiani jamaa anaongea na simu mwanzo mwisho na kujionyesha anafanyakazi gani na matumizi ya hela na miradi aliyonayo na mahusiano na blahblah nyingi! Gari zima lilijua yeye ni nani hadi ikawa kero na kutuboa! Mpaka jamaa mmoja kamtolea mbovu ya kwamba...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tangu Maharage aondoke, TAnesco emergency simu shida, Umeme kuunga tabu

    Inawezekana yasemwayo ni ya ukweli kuwa Maharage aliondolewa Tanesco na Siasa za wafanyakazi wa ndani, ambapo mifumo ya Maharage ilirahisisha kupata huduma na kupunguza bureaucracy hivyo kufanya mianya ya rushwa baina ya mteja na TANESCO kupungua. Toka Maharage ameondoka TANESCO kitengo Cha...
  9. JamiiForums Tanzania Oya Wazee wa Kazi 'Eagle Wing Obey' wameshaanza 'Kunidukua' au kuna tatizo gani na Simu yangu au za Wengine?

    Simu yangu ninayotumia Line ya Airtel nikiwapigia Watu wengine wa Tigo, Airtel na Vodacom nawapata nawapata na tunasikilizana vizuri ila kwa Wengine Mimi nawasikia ila Wao hawanisikii kabisa. Haya Wataalamu ( Wajuvi ) wa Mambo hapa Tatizo Kuu ni nini? Nifanyeje ili litatuke? Na Simu ninayotumia...
  10. JamiiForums Tanzania Games popular kwenye simu... unacheza game ipi?

    Natamani kujua game ambazo zina ongoza kupendwa na watumiaji wa simu za mkononi Tz... Una game zipi kwenye simu yako?
  11. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini. Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu. Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka maneno ya Rostam Azizi kuhusu " Mapilato" wa Bongo kupigiwa simu za maelekezo

    Huyu Bwana licha ya kukabiliwa na tuhuma nyingi za ufisadi, kitu pekee tunachoweza kumshukuru ni kauli yake juu ya Mapillato wa Bongo kupigiwa simu na kupewa maelekezo watoe judgement za ain gani. Hakika aliongea ukweli na atakumbukwa sana kwa kauli yake hii na tutakuwa tunaifanyia rejea kila...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anakuzimia simu mara tatu bado anakwambia hataki kukupoteza

    Katika harakati za maisha imekuwa na ukaribu na mwanasheria mmoja smart sana kijana. Bahati nzuri ana girl friend wake Tupo office Moja. Yule girlfriend wake ni mwanamke anataka pesa. Ukiwa na pesa tu unaondoka nae. Huyu wanasheria mdogo wangu alikuwa analalamika Tabia za kushangaza za mpenzi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania TRA na Waziri mwenye dhamana "Nape Nnauye" hivi hizi kampuni za simu zimeizidi nguvu Serikali au

    Tumeongea mara nyingi ssna juu ya wizi wa KAMPUNI hizi za SIMU kwa wateja wao lakini ni km mnapuuza. Ebu fikiria KAMPUNI inakuunga kwenye huduma ambayo haujaomba wala huijui, unatumiwa tu ujumbe kuwa umeungwa na maelezo kibao. Je huu siyo wizi. Kwanini tunahangaika na vibaka tunaacha hawa watu...
  15. G

    JamiiForums Tanzania TRA hawatoi majina ya walioajiriwa badala yake wanapigiwa simu, hii inaonesha wazi kuna kuajiriwa kwa kujuana

    Habari, Kuna tetesi ya walioajiriwa TRA kuwa wanapigiwa simu kwenda kuchukua ajira. Swali langu ni kwanini wakati wameita interview walitangaza? na wanapoajiriwa wasitangaze? Hii inaonesha wazi kuna ukiritimba unafanyika, wanapeana ajira kwa kujuana na watoto wa vigogo. Suala la mtoto wa...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano ya Maafisa hawa wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mara

    Kwa mwenye nazo naomba anisaidie namba za simu za Mkurugenzi Rorya DC, Afisa Utumishi Rorya, Afisa Elimu Secondary na kama unazo za staff wengine nitashukuru ukishea nami, ninashida nazo. Natanguliza shukrani zangu.
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuzuia matangazo simu ya android

    Head to Settings > Network and Internet > Advanced > Private DNS. Choose the option Private DNS Provider Hostname. Enter "dns.adguard.com" and Save. That's it! You'll no longer see any in-app ad ads or pop-ups on browsers.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada kuondoa kulipa simu ya mkopo

    nimechukua simu ya mkopo nmeshindwa kulipia nataka kuendelea kutumia msaada tafadhari
  19. JamiiForums Tanzania Simu yangu nikipigiwa haioneshi jina la mpigaji hata option ya kupokea au kukata Simu siioni

    Wakuu, sielewi hii simu niliichezea vipi usiku wakati nimelala maana nililalia. Ila tatizo kubwa ni kuwa nikipigiwa huwa haioneshi jina/namba la mpigaji, pia haitokei option ya kupokea au kukata.. yaan zile alama za kijani na nyekundu. So wataalam wa setting niende sehemu gani nikaset vizuri...
  20. JamiiForums Tanzania Kampuni za simu zinazotarajiwa kutambulisha bidhaa mpya

    Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi ya teknolojia! Makampuni duniani kote yanajiandaa kuleta vifaa vya kisasa kabisa. Wamevutiwa na makampuni yenye uvumbuzi, na wana hamu ya kuleta msisimko katika eneo la teknolojia, wakiahidi kubadilisha mtazamo wako kidijitali kama kijana.. Miongoni mwa vifaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…