simu

  1. A

    Mimi ni fundi simu nipo kanda ya ziwa

    SAMAHANI MIMI NI FUNDI SIMU NAHITAJI CONNECTION YA KAZI KANDA YA ZIWA MWENYE CONNECTION
  2. Mnara wa Temeke umeshindwa Kuruhusu Simu ya Mwendawazimu kuwapigia Kilazima Watanzania

    Minara ya Simu kutoka Afrika Kusini ndiyo huwa Imara sana. Na ikitumika hapa ndani Spidi yake huwa ni ya Wastani, ila ikitumika Kwao Afrika Kusini hasa Mji wa Pretoria ndiyo huwa ina nguvu maradufu na haijawahi kushindwa kufanya Kazi ikiwa huko
  3. Nahitaji kuagiza kioo cha s10+ kwa 87k , badala ya 320k

    .
  4. T

    Mwenye uzoefu na kuagiza simu ndogo kupitia alibaba

    Wakuu nilikuwa napitia bei za vitochi vya Nokia alibaba naona ni ndogo sana nawaza nijaribu japo kwa piece 4 , ila sina uzoefu wowote naombeni muongozo wakuu
  5. Msaada simu yangu inagoma kuinstall App nilizo download kwenye Google Chrome na nilizo rusha kwa njia ya Xender

    Nimeluhusu sehemu zote zihusianazo na security & install unknown apps. kila nikijaribu ku install inaandika hivi 👇 Msaada plz.
  6. Phone4Sale Pata simu kwa bei nafuu

    PATA SMARTPHONE KWA BEI NAFUU ZAIDI 💵TANZANIA SHILLING 💵 SAMSUNG PRICE E1205-----------------400,000 E1207------------------400,000 A04E 32GB----------280,000 A04E 64GB----------310,000 A04 64GB------------324,000 AO5 64GB------------325,000 A05S 128GB--------400,000 A04S...
  7. Simu za mkopo ni wizi mtupu

    Ni wizi kama wizi mwingine tu Emerging simu ya 400k unakopa kila mwezi utoe 100k. Salio anzio ni 120k. Kwa mwaka 12 month x 100k 100000 x 12 = 1.200.000 Makato 12 months ni 1.2 milioni
  8. Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

    Yanga hatunaga dogo Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya Mamelodi Sundowns wajipange, Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea Yanga huwa hatubeep,siye tunatwanga tu Twende kazi
  9. Sajenti Ahijo Usalama barabarani, badili simu, badili line!

    Mimi ni.msikilizaji mzuri wa kipindi cha Usalama barabani,kila asubuhi Radio One, saa moja na robo baada ya taarifa ya habari. Askari wote kila siku wanasikika vizuri ,hata yule wa Mwanza Sajenti Ninga leo kasema kuna ka mvua Mwanza, so madereva wawe makini. Kimbembe kipo kwa Sajenti Ahijo wa...
  10. Jinsi ya connect simu yako na Computer/ laptop kwa kutumia Xender

    1. Washa hotspot yako ili uweze kuunga simu yako na computer/ laptop hii ni free haihitaji kuwa na data/ bando kwenye simu yako 2.ingia kwenye Xender yako gusa neno Connect to PC itakupeleka sehemu hii hapo picha ya pili kwa chini 3.Kuna number hapo kwenye steps 3 izo ni web address...
  11. Serikali ya Marekani yaishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko la simu kinyume cha Sheria za Ushindani

    Hii taarifa ilitoka siku 2 zilizopita. Sijui kama imejadiliwa humu ama lah. Lakini hebu tuijadili. Serikali ya Marekani imeishitaki kampuni ya Apple kwa kuhodhi soko na biashara ya simu zake na kuzuia ushindani kwenye mfumo wake wa simu(Apple ecosystems). Serikali ya Marekani inaituhumu Apple...
  12. Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Naagiza simu original China kama unataka kuagiza karibu (0687746471) Kama kuna yeyote anatamani kuagiza simu kutoka China. Simu original karibu uagize namimi. Namba zangu za simu ni 0687746471 Huyu mtu anayeniuziaga simu namwamini sana ameanza kuniuzia simu tangu 2019 mpaka sasa naagiza...
  13. Wanawake wakipigiwa simu wanafurahi sana

  14. Kwa bajet ya 500 napata simu gani nzuri?

    Wakuu kama kichwa kinavosema, Preferred brands ni Samsung na Xiaomi
  15. Je, unajua mahali pa kuripoti ukifanyiwa uhalifu mtandaoni?

    Kuna muda serikali ilichukua hatua muhimu za kupambana na uonevu wa mtandaoni, udanganyifu, na wizi wa mtandaoni kupitia simu za mkononi. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Andrew Kundo, alitangaza hatua hizi: - Kuundwa kwa kamati ya kitaifa ya kudumu kushughulikia...
  16. Top 5 Most Secure Smartphones in the World

    Explore these top 5 most secure smartphones ruling the world right now In an era dominated by technological advancements and interconnectedness, the security of our data is paramount. Smartphones, being an integral part of our daily lives, often store sensitive information ranging from personal...
  17. G

    Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

    Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status kabla simu haijazima. Nikiwa nimeingia sehemu ya status kwenye gallery ghafla ni kama nilimis touch nikachagua video ya x...
  18. Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Kaka naomba unisaidie kunielezea matatizo yangu kwenye ule mtandao wenu wa jamii forums ulionisaodia kipindi kile, wakati huu nahitaji msaada sana Haya ni maneno ya binti ambaye anaitwa Rahma Shaabani Kiwangala, mwenye mtoto mdogo wa takriban mwaka mmoja mkazi wa Manzese mburahati, mtaa wa kwa...
  19. L

    Mudathiri Yahya uliokuwa ukiwapigia simu siku zote walitaka waonane na wewe ana kwa ana, nadhani umewaona jana?

    Wewe kila siku ukifunga magoli ya ndondocha unapiga simu, washabiki wako wakawa wanasema kuwa viongozi wa Azam ndio unawapigia simu lakini hawapokei, sio kwamba hawapokei, viongozi wa Azam wana adabu sana, kwa sababu walikulea wenyewe, ukaondoka ukarudi tena bado wakakubeba, ukawa unaleta nyodo...
  20. O

    Mtandao inapoweka mnara kwenye eneo lako huwa wanalipa kuanzia Tsh ngapi?

    Habari Wana JF, Samahani naomba msaada nataka kujua gharama wanazolipa Hawa wamitandao wanapoweka mnara kwenye eneo la mtu kuanzia Malipo ya mwanzo na Malipo ya Kila mwezi eneo lipo kijijini mkoa wa Kagera. Tunaogopa wasije kutupiga hatujui chochote. Ahsanteni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…