simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Derby ya Simba vs Yanga itakosa mvuto na mapato kwa sababu ya ulofa wa Simba

    Kila shabiki na mwanachama pamoja na viongozi wa Simba hawana tena hamu na mpira, mara ya kwanza akina Jaribu Tena walikuwa wakidanganya watu kuwa Simba ni dude kubwa, Simba ndio timu bora Tanzania, wengi wakaingia mtumbwi wa kibwengo, mara Yanga inabebwa, Yanga mbovu, cjui nini sasa leo ukweli...
  2. JamiiForums Tanzania Elvis rupia wa ihefu kawazidi mbali fred na jobe wa simba sc

    Huu ndio ukweli Fred na jobe wanaigharimu sana timu, Najiuliza tu Hivi wanaosajiri hawakumuona elvis rupia?
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli Simba SC ya sasa ina 'dema dema' na kukatisha Tamaa, ila Yanga SC nawaonya acheni Kubweteka, Kutudharau na Kumaliza maneno yote sawa?

    Na kumbukeni Simba SC ikifanikiwa tu Kuwafunga katika Derby ijayo Pengo ( Gap ) litabaki la Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na kwa Mkakati wa Dharula wa Kimafia ambao nimeusikia unapangwa mahala upo Uwezekano mkubwa wana Yanga SC wanaojiamini kuwa tayari Wameshakuwa Mabingwa kutokana na Matokeo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ili kuepuka kipigo cha mbwa koko tarehe 20/4, naomba Simba ianze na kikosi hiki

    Mwenendo mbovu wa timu ya Simba, sisi mashabiki ndio tunapata shida huku uraiani. Wachezaji wa simba zaidi ya 50%, wamechoka wako nje ya form; kwa kifupi wanajivuta kama konokono wawapo uwanjani. Wachezaji wengi hawana sifa ya kucheza simba ila kwa kuwa ndio waliopo inabidi kwenda nao hivyo...
  5. JamiiForums Tanzania Simba mnatutesa ila jipu la kuonekana haraka ni Benchika

    Huyu jamaa anadharau na kiburi bila sababu halafu hayuko flexible. Mfano mechi ya marudiano na Al Ahly ilikuwa na haja gani kuanza na false namba 9? Mechi za ndani ugenini Kama ya Ihefu na mashujaa hakujua plan ilitakiwaje? Anarudi na plani zake zilizofeli kwenye mechi iliopita? Sub zake ni za...
  6. JamiiForums Tanzania Ulinzi uongezwe nchini huenda Kocha Benchikha wa Simba SC akatoroka nchini usiku huu

    Baada ya makolo fc "Ubuntu botho bin mbumbumbu" kupata sare katika mchezo wao wa Leo dhidi ya ihefu, hali ya sintofahamu imeibuka katika kambi ya timu hilo la mahayawani. Hili limekuja baada ya kocha la makombe benchikha kugoma kurudi katika vyumba vya kubadilishia nguo baada ya mchezo, ambapo...
  7. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mtu kama Bocco Simba unaonekana

    Kwa Hali ya mambo ilivyo ndani ya Simba hivi Sasa Kuna umuhimu wa kuwa na Kepteni mwenye sifa kama za Bocco. Mohamed Hussein ni mkongwe ndiyo, Lakini sidhani Kama ana nguvu kubwa ya ushawishi kwa wachezaji wenzake. Nakumbuka wakati Yanga wamevurugikiwa Kwa kuondoka Kwa Manji, Mwinyi zahera...
  8. JamiiForums Tanzania Narudia tena kama Matola yuko pale vs Kocha wa kigen Simba mtasikia ubingwa wa Jackpot

    Simsemi kwa ubayaaaaaa Mpwa huyu ajawahii kuwaacha makocha WA kigeni SALAMA kamweee Hii post ya 3 na kama SIMBA wanataka kudonga MBELE wasahauu MATOLA KWENYE bench Sioo kwa nia mbaya nakupaa homework fwatiliaaa NIKOPALE KWA wakala ...... KABLA ya Aug BENCHIKA ATAKUWA SIMULIZI PALE...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Azimu Dewji ndo wanahujumu simba, Ilisema Kocha aliyepita hakufaa, sasa yako wapi?

    Mzee azimu Dewji mda mwingi alimtuhumu mzee wa objective football eti kwa kuwa hajawahi kuchukua makombe makubw, akaongea na wachezaji fuani ili team ifungwe Goli Tano iliwamfukuze. Sasa wameleta huyu na kufukuza wachezaji bora wakaleta magarasa na sasa hamna kitu. Tunataka mzee Dewji...
  10. JamiiForums Tanzania Kama Ligi ndio ingekuwa inaanza sasa basi Simba ingeshuka daraja

    Mwenendo wa Timu hii kwa sasa hauridhishi , na kwa kweli ni kama wameamua kwa makusudi kutudhalilisha sisi mashabiki na wanachama wake . Kila tunapopita tunachekwa na kunyooshewa vidole , huko maofisini hali ni mbaya zaidi , kuna wakati matokeo ya timu yetu yanasababisha baadhi wasiende...
  11. JamiiForums Tanzania Nataka Kumroga Mo Dewji aiachie Simba SC yetu mwenyewe, je nitapata wapi Mganga hatari?

    Yaani sijui ni kwanini nikiiona tu Sura ya Mo Dewji na Simba SC yangu ilivyo kwa sasa ninatamani hata Kumpiga Ngumi!!!
  12. JamiiForums Tanzania Nakaribia Kujiuzuru rasmi Kuizungumzia Simba SC yangu kwa Nguvu zangu zote hapa JamiiForums, kwani imeshanichosha sasa

    Hivi Mo Dewji unafanya nini Simba SC Kwetu hadi hii leo? au unangojea tufungwe 7-0 Wiki ijayo na Yanga SC ili tukutoe kwa Vipigo ( vya Vichwa, Ngumi na Mateke ) ndiyo utujue kuwa tupo wana Simba SC tuliovurugwa na tunaopenda Vita na tunaviweza kama vile M23 na walivyonifuahisha hivi majuzi...
  13. JamiiForums Tanzania FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

    Ihefu sc vs Simba sc saa 10:00 jioni CCM Liti stadium NBC premier league Leo wanasingida watakuwa wanashudia mtanange mkali baina ya mwenyeji ihefu vs simba sc, wakiendelea kusaka pointi muhimu za kuamua nani bingwa msimu huu. Tukutane hapa kwa update. KIKOSI CHA SIMBA KIKOSI CHA IHEFU
  14. JamiiForums Tanzania Inonga anaondoka Simba mwishoni wa msimu huu 2024

    Beki wa Simba Enoch Inonga anatarajia kuondoka Simba baada ya msimu kumalizika. Japo Inonga ana mkataba mpaka 2025 ila ameomba kuondoka na ameshaanza mazungumzo na club yake wamuachie. Pia beki wa kati Che Malone nae anataka kuondoka sababu hafurahii kuwepo Simba. Za ndani zinasema Simba...
  15. JamiiForums Tanzania Simba SC nawashaurini mapema leo hapa JamiiForums kuwa kamwe msimsajili Fiston Mayele kwani hatokuwa msaada wowote ule Kwetu

    Nina taarifa za uhakika kuwa ili Kutuliza Hasira Kali za wana Simba SC ( nami nikiwemo ) za muenendo mbaya wa Timu yetu na kwa Viongozi wetu wa Simba SC kwa kutujua Mashabiki wao tulivyo Mazuzu Original huenda Ligi Kuu ya NBC ikimalizika tu Mchezaji wa Kwanza Kusajiliwa Simba SC akawa ni Fiston...
  16. JamiiForums Tanzania Mnafiki ishi naye Kinafiki: Ni wakati wa kumrudisha Kagere na Boko Simba

    Hawa ma forward walioletwa wameshindwa kuendana na kasi ya kikosi chetu. Tunawataka viongozi wetu msimu ujao wawarejeshe Kagere na Boko ili kuchukua makombe. Huu ni ushauri wa kitaalamu, Benchikha atanielewa vizuri kuliko popoma. Kihasibu ndugu Jobe na Fredi ni hasara sindio OKW BOBAN SUNZU
  17. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuinusuru hii Simba?

    Leo wana lunyasi tujadiliane namna ya kunusuru timu yetu baada ya kuona sasa tunapokwenda sio kabisa,kulingana na mustakabali wa team yetu. Simba ni team ambayo ilijizolea umaarufu mkubwa sana hapa barani Afrika na ulimwenguni pia,club ya simba ilishaanza kuwa tishio midomoni, masikioni mwa...
  18. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa makolo

    Wanathiimbaaaa!!! Naaam kama mbumbumbu efusii walivyoitwa na msemaji wao mwenye upeo finyu ndugu Ahmed ally, nami sina budi kushuka na uzi huu utakaojikita kuchambua masuala mbalimbali yanayowahusu makolo, Simbilizi, mbumbumbu au ukipenda waite mazumbukuku academy !! Kuwa shabiki wa makolo ni...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Simba inaangamia roho inauma

    Habari Mimi nishabiki kindaki ndaki wa YANGA,yani nikichanjwa damu inatoka na jina la YANGA. ILA kusema ukweli naumia sana tena sana,simba inapoelekea. Mpira wa Tanzania ni wa YANGA NA SIMBA sasa kama simba itaangamia YANGA itakuwa na hali ya huzuni kweli. Sipo hapa kwa unafiki ila...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'

    Mo Dewji Wewe kweli ni wa Kutufanyia haya Sisi wana Simba SC? Yaani una bahati nimekuja kuyanza Maisha mapya huku Kampaa Uganda ila hakyanani ningekuwa huko Dar es Salaam Tanzania ungenitambua. Yaani Mo Dewji Wewe leo ni wa kuipa Simba SC Shilingi 185 za Operations kwa Mwezi badala ya zile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…