simba

  1. D

    JamiiForums Tanzania coastal union wamesema awaja muuza lameck lawi, simba wame sign lawi gani??

  2. JamiiForums Tanzania Teuzi za wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi zilizofanywa na Mo Dewji na Mangungu zinadhihirisha tatizo la Simba liko wapi

    Baadhi yetu tumepiga sana kelele kuonyesha kuwa tatizo kubwa la Simba ni ukosefu wa mfumo thabiti wa uongozi unaowezesha timu kuendeshwa kwa ukaribu na umakini. Simba haina management imara, bali management ipo kama jina tu ila haina watu na waliopo hawana meno ya kutenda majukumu yao. Chukulia...
  3. JamiiForums Tanzania Luis Miquison kuachwa ni pigo kwa Simba SC

    Luis Jose Miquisone kuondolewa kwenye kikosi cha Simba SC ni pigo jingeni kwa viongozi wa Simba sc. Ushauri kwa Yanga Sc na Azam fc mchukueni Luis Miq atawasaidia sana kwenye Club bingwa Afrika. Viongozi wa simba sc hawana maono hapa wamefeli kumuondoa luis
  4. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Tuvute Subira kuna mashine zinakuja Simba SC

    --- Akihojiwa na Mwanahabai Meneja wa Mawasiliano wa Simba ameoneana akijinadi kuhusu usajili wao watakaoufanya msimu huu. Akielezea kwa ufupi hoja hiyo Ahmedy Ally anasema: Bado si tunaagana kwanza, tutakapoanza kukaribishana ndiyo ntakwambia sasa huyu anayekuja anakuja kufanya kitimbi gani...
  5. JamiiForums Tanzania Tonombe Mukoko akisajiliwa Simba SC kwa mwaka Mmoja tu nitafurahi na atatusaidia kwani anacheza ile Midfield yangu enzi hizo ya Kazi Kazi daima

    Kama tulithubutu Kumsajili Babu Ntibazokiza mwenye Miaka 51 sasa kwanini tushindwe kwa Mukoko mwenye 19 sasa?
  6. JamiiForums Tanzania Si tuna hela, sasa mbona huu ni mwezi Aziz Ki anatutoa jasho kumbakiza Yanga?

    Endeleeni tu kuyatumia Mafanikio yenu ya Tigo Pesa mliyoyapata ili kuficha Umasikini mkubwa na njaa iliyoko Kwenu.
  7. JamiiForums Tanzania Hivi nyie Uongozi wa Simba SC mna Akili sawa sawa Kweli? Sasa Waziri Junior 'Shentemba' wa nini Simba SC yetu?

    Yaani huyo Mchezaji hata kwa Timu yangu niiyokuwa nikiifundisha Kawe ( wakati bado Sijahama ) asingeweza kupata Namba kwani nilikuwa na Kijana Mmoja matata niliyempavchika Jina la Mayele sasa nimemuuza 'Kisela' klabu moja akaanze kucheza Timu yao ya Vijana ila najua kwa Kipaji chake Msimu ujao...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamka vibaya, nakusudia kwenda kumuona Waziri wa Michezo na Waziri wa Viwanda na Biashara kujua Transformation ya Simba itakamilika lini

    Simba kwa sasa sio Company Limited kwa sababu hadi leo transformation haijakamilika, mchakato wa transformation umechukua muda mrefu sana, ni zaidi ya miaka tati sasa if am not mistaken. Nini kinachosababisha transformation isikamilike ili Simba ikawa Company Limited? Mwaka zaidi ya wa3 bado...
  9. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea kwenye 'Management' ya Simba sc ni Pata potea.

    Baada ya kuona mwenendo wa timu yao siyo wa kuridhisha, Mashabiki na wanachama kindakindaki walipaza sauti wakishinikiza kujiuzulu kwa baadhi ya viongozi wa ngazi za juu wa timu yao. Kweli baada ya siku kadhaa viongozi hao walitangaza kujiuzulu, lakini cha ajabu Mdhamini na Rais wa heshima wa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi! Ngao ya jamii kwanini Simba na Yanga na Sio azam

    Habarini wanajamvini, nimechanganyikiwa na kutoelewa ni utaratibu Gani umetumika katika kupangwa mechi ya Ngao ya jamii. Nasikia kuwa mechi ya Ngao ya jamii itakuwa ni yanga dhidi ya Simba na sio Azam na hapo ndo ninapopagawa. Navyofahamu ngao ya jamii ni mechi kati ya mshindi wa Ligi na...
  11. JamiiForums Tanzania Simba S. C yaachana rasmi na John Bocco kama mchezaji

  12. JamiiForums Tanzania Simba bado sana, haiwezi simama bila Try again

  13. L

    JamiiForums Tanzania Simba yangu msikose kuwasajili Kelvin Nashon na Kevin Kijiri kwenye mipango yenu ya usajili, wako vzr sana vijana hao

    Kwa sasa timu yetu haina beki wa kulia mzuri, Shomari Kapombe amechoka lazima tukubali, uwezo umepungua, hana kasi, hana krosi, mzito, anakaba kwa mazoea na majeruhi ya sasa hiv yakimpata ndio imetoka hiyo. Beki wa kulia pekee mwenye uwezo wa kucheza Simba na akaliamsha kisawa sawa ni Kevin...
  14. JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu: Kiongozi pekee anayeweza kuipa ubingwa wa Africa timu ya Simba

    Achana na porojo za vikundi vinavyo hongwa na watu wenye nia mbaya ili kumhujumu ndugu Murtaza Mangungu (genius wa msimbazi), leo nataka kukumegea siri makini sana. Ni hivi, ndugu Murtaza Mangungu ni kiongozi makini anayesimamia katiba na sheria ndiyomaana mpaka sasa hajajiingiza kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Kesi za mauwaji, ujambazi na ubakaji yaani ukishukiwa au kusingiziwa nchini ni bora ukutane na simba porini

    Wanasema sikia kwa mwenzako ila sio kwako.hizi kesi nilizozitaja mbili hapa kwa tanzania zimeumiza watu wengi mwisho wa siku walio athirika wame hadithia mengi kupitia vyombo mbalimbali. Jeshi letu linapotokea kesi hizi asilimia 90 wengi wanajikuta wakiangaukia kwenye mateso ambayo siyo yao kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwina Kaduguda: Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu.

    "Katika uongozi wangu hakuna shabiki aliyewahi kusema anahitaji katiba, kila shabiki alikuwa anahitaji furaha tu." "Vivyo hivyo mpaka sasa mashabiki wa Simba wanahitaji furaha bila kuhimiza mchakato wa kuipata hiyo furaha (Katiba)" "Rage alikuwa sahihi na namuunga mkono kwa kuwaita mashabiki...
  17. JamiiForums Tanzania Bin kazumari: simba haija audit financial statement tokea mwaka 2018

    Simba haijafanya audited financial statements Toka uanze mchakato wa mabadiliko 2018. Ndo maana tunasema mchakato haujakamilika unakuaje na Bodi? Yani unajenga nyumba lakini mpangaji yuko ndani na pesa kalipa, unajenga kwa maekezo yake sio kwa matakwa yako kama mwenye nyumba
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo pale Simba SC ni mashabiki

    Mashabiki wa Simba wajitafakari wasiwe mashabiki oya oya wanaodanganywa. Leo wanamlaumu Mangungu, Siku ya mkutano mkuu wa uchaguzi aliwapa tu ubwabwa na akamleta Manzoki aongee, basi wenyewe wakampa kura zote za ndiyooo. Na tuliwaasa kuhusu hili jambo na propaganda zote. Leo wanasema Yanga...
  19. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wanachama wa Simba wapigwa STOP na Polisi

    Itoshe kusema Mangungu anamizizi iliyo jikita kisawa sawa hivyo wanasimba mjiandae kwa maumivu makali msimu ujao mchangue moja wakati wa match akiingia uwanjani azomewe au apigwe mawe au msuse kuingia uwanjani ni hayo tu. Muwe na usiku mwema
  20. JamiiForums Tanzania Mangungu Simba sc hapamfai,Na Mashabiki Hawamuhitaji Mangungu.

    UCHAMBUZI WA ALICHOKIONGEA MANGUNGU CLOUDS Wana Simba Msidanganyike na kurudi nyuma kwa maneno ya Ngungu.Kwanini 1.Kuenndelea kwake ni Mwendelezonwa visasi kwa wanachama Jana tumemsikia wazi wazi akikana Tawi hadharani kwa sababu ya tofauti zake na mtu Mmoja unadhani lile tawi la VIP A ambalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…