simba

  1. JamiiForums Tanzania Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  2. JamiiForums Tanzania Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa

    Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu ambazo hazina mashiko kuwa za kiusalama na makubaliano baina ya timu izo mbili. Sasa kati ya...
  3. JamiiForums Tanzania Simba wanaenda kusajili tapeli jingine! Sad

    Wakuu Hii klabu haiishiwi vituko kwa kweli Baada ya kupoteza pesa kucheza misri na madereva taxi na kurudi kukalia bomba la yanga huku wakijitapa kuwa "wamekalia kimoja tu" Sasa wameona rasta Freddy the snake boy hatoshi na mwenzie yule Steve Mukwala pia Then wamemua kusajili garasa la ki...
  4. JamiiForums Tanzania Simba kabla ya kuanza kujua ubora wa kikosi chenu Fukuzeni kocha Fadlu David. Huyu ata aje Messi na Mbape hatutoboi

    Timu haitashinda mechi yoyote ya ugenini au Ngumu na Huyu huyu Fadlu. Ana cv mbovu sana akiwa kocha. Mbovu mno. Nimeandika uzi ya kumi hii tena kabla ata hajaja. Wajinga wanamfananisha na Compan na Arteta kwa Kushusha timu daraja na kutoka kuwa asistant. Mfatilieni Fadlu David kawa kocha...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kuna member mmoja maarufu sana hapa JF akisema ukweli wake kuhusu Simba SC, wana Simba wanampuuza

    Na baada ya kujua kuwa wana Simba SC wa jamiiforums wanapenda kusikia unafiki basi nae pia amekuwa mnafiki tu.
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma"

    Viongozi wa Simba wanawalipa wachambuzi ili wamchafue Fabrice Ngoma" Fausty Mkandila, wakala wa Fabrice Ngoma. Maoni yangu : hili linawezekana kwa asilimia mia kama waliweza kumlipa Mgana Mickyjnr ili amchafue Azizi ki watashindwa hili?! Aziz ki sahivi Yupo moto anauwasha Kila kukicha Huyo...
  7. JamiiForums Tanzania Ofisi za Makao Makuu ya Simba

  8. JamiiForums Tanzania Simba wana haki kufurahia kufungwa goli 1

    Kwa mpira unaochezwa na Yanga Ni haki Simba kufurahi kukwepa hii dhahama ya kupigwa mvua walinusurika
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Itoshe kusema kuwa Mfalme wa soka nchini Tanzania, Simba Sc imepata mshambuliaji hatari Abubeker Nessir. Mabeki ya NBCPL wajiandae kulala na viatu

    Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika. Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji wa kimataifa wa Ethiopia, Abubeker Nessir kutoka klabu ya Mamelodi. Niwape tu habari kuwa huyu jamaa...
  10. JamiiForums Tanzania Hosea Chamba (mwanasheria wa Simba) unaharibu image ya timu.

    Naandika nikijua wasio na ABC ya sheria wanitupia mishale lakini sijali. Lakini Kwa mara ya Kwanza tunashuhudia Migogoro ya usajili ya mwaka 1994 ikirejea 2024 Kwa timu ya Simba kuwa na mwanasheria anayetafuta Kwanza maslahi binafsi kabla ya maslahi ya timu. Migogoro ya Mohamed Mwameja na...
  11. JamiiForums Tanzania Match ya mshindi wa tatu ngao ya jamii simba tayari kashajaza uwanja huko

    Naambiwa hapa tayari ni full house kwa ile mechi inayoanza saa 9 hongereni sana mashabiki wa simba na uongozi wa simba kwa kuwahamasisha wanasimba na hasa kwa ahmed ally Tunawaomba match yeny ikiisha mbaki na match ya Yanga vs azam sababu mashabiki wa Yanga ni wa-zito kwenye kujaza uwanja
  12. JamiiForums Tanzania Prediction: Simba(Tanzania) vs Coastal Union(Tanzania) and Yanga(Tanzania) vs Azam(Tanzania)

    1. Simba SC vs Coastal Union: Predictive score: Simba SC 3 - 0 Coastal Union Simba SC is expected to win comfortably with a strong performance. 2. Yanga SC vs Azam FC: Predictive score: Yanga SC 2 - 1 Azam FC Yanga SC is likely to secure a narrow victory in a closely...
  13. JamiiForums Tanzania Kule Paris Ufaransa ndiko Utalii unako Tangazwa haswa, kuliko ile Royal tour, Serikali iko busy na Yanga na Simba

    Sababu ni kwa nini Kenya inapokea watalii wengi pamoja na kuwa na vivutio vichache ni kwa sababu ya kinacho endelea Paria Ufaransa. Mashindano ya Olyimpic ni moja ya sehemu ya nchi kujitangaza bure kabisa huku Duniani, Ila Tanzania hatuyapi umuhimu kwa sababu hakuna wajinga wa kubeba mabango ya...
  14. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga zipewe heshima kubwa kwenye ligi, mgao mkubwa

    Wadhamini wa legi na timu zote kwenye ligi wananufaika kupitia Simba na Yanga. Mapato ya viwanjani ya timu zote yanapatikana wanapocheza na Simba na Yanga. Washabiki wananunua visimbuzi na vifurushi ili kuona mechi za Simba na Yanga zinapocheza na timu nyingine au zinapokutana wenyewe. TFF...
  15. JamiiForums Tanzania TAFAKARI: Sikukuu ya wakulima 8/8 kufunikwa na mechi kati ya Simba na Yanga, je Watanzania wa leo hawahitaji tena kilimo?

    Wasalaam JF Nimejaribu kufuatilia vituo vingi vya habari na hata mazungumzo ya baadhi ya maeneo niliyopo na kushtushwa na kupotea kwa umaarufu ya sikukuu ya wakulima 8/8. Katika fuatiloa yangu nimegundua kuwa mechi ya juzi ya watani wa jadi ni kama nayo imepigilia msumari wamoto kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Sikumwamini kabla na kwa mechi mbili tu kupitia wachezaji wote waliokuwepo kabla nasibitisha Fadlu David anaua uwezo wa wachezaji Simba

    Nimeangalia wachezaji wote waliokuwepo. Mzamiru, Ngoma, Kapombe, Husein, fred. Viwango vimeshuka mno na ufanisi uko chini sana. imekuwa kama kipindi Timu kapewa Cadena. Wachezaji wakawa kama wamefungwa magogo. Na hili linadhihilisha jinsi Usajili ulivyobora sana. Wachezajj wapya ni bora...
  17. JamiiForums Tanzania Simba inahitaji msaada wa kuambiwa ukweli, wataacha 5 dirisha dogo

    Kuwaambia kuwa walicheza vizuri dhidi ya Yanga ni kuendelea kuwadanganya. Walistahili kufungwa 4 kama Kila kitu kingekwenda vizuri. Kama Kapomne, Zimbwe na mzamiru bado wanapata namba Simba kwenye mechi ngumu kama Ile ya derby ujue kuwa waliosajiliwa ni wabovu zaidi, dirisha dogo wataachwa...
  18. JamiiForums Tanzania Sababu ya simba kuwa vile vile misimu yote ni, "comfort zone" inawaponza viongozi na mashabiki

    Simba na viongozi wake mpaka mashabiki wao huwa hawaangalii wala kujali sanaa matokeo bali wao huangalia kama timu imecheza vizuri tu basi inatosha na ndio furaha yao wao hawajali sana kuhusu matokeo. Simba ilivyotolewa na wydad kwa mikwaju ya penati kule morocco enzi zile wydad ya moto...
  19. JamiiForums Tanzania Simba nunue wachezaji wenye ubora ili mpunguze kujieleza

    Mara ooh, timu imeimarika tofauti na mwanzo. Ooh, timu ina wiki nne na ikifikisha miezi itakuwa tishio. Ooh, Aziz Ki hajatembea kwenye mikimbio yake. Jamani, ya nini kujieleza na maelezo mengi hivyo!? Watani zangu shime nunue wachezaji wenye ubora ili mpunguze kujieleza.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Dearby ya Simba na Yanga kupigwa KMC complex

    Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga unatarajia kupigwa Oktoba 19 katika uwanja wa KMC comlex uliopo mwenge Dar es salaam, Imetolewa katika ratiba ya bodi ya ligi Tanzania (TPLB) leo inayoonyesha ratiba hiyo katika uwanja huo unaoweza kubeba mashabiki 6000 tu. Aidha pambano la Simba SC na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…