simba

  1. JamiiForums Tanzania Nipigwe ban Simba Leo asipo pata ushindi wa goli moja au kutoka moja moja

    Ndio ivyo
  2. JamiiForums Tanzania Hapa CAF wameikosea heshima Simba

    Hii For the first time ever Hii Ina maana hawatambui Ile fainali yetu ya Abiola kapu 93?
  3. JamiiForums Tanzania Natabiri, Simba atapata Goli la ugenini kule Morocco na litafungwa kwa njia ya kichwa (Kibu D/Mukwala)

    Kwanini??, sina taaluma ya coaching ila kwa akili ya kawaida ya kimpira kama umefanikiwa kurejea mechi mbalimbali za hawa RS BERKANE utakubaliana na mimi ni wabovu mno kwenye SET PIECES/free kicks....ni matumaini yangu bench la ufundi wameliona hilo Tegemea kwenye mechi ya kesho JEAN CHARLES...
  4. K

    JamiiForums Tanzania CAF yafunguka sababu za kuipeleka Simba Zanzibar

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeeleza sababu za kuupeleka mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane ya Morocco, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, mjini Zanzibar. Wakati vigogo hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa tayari wameanza kujipanga...
  5. JamiiForums Tanzania Kisa Simba tovuti ya CAF jana ilitembelewa na watu bilioni 1.3

    Haijawahi kutokea katika historia ya mpira wa Africa tovuti kutembelewa na watu wengi kwa wakati mmoja kama jana Baada ya CAF kutoa tamko la kubadili uwanja ,tovuti yao ilitembelewa na waru zaidi ya bilioni 1.3 Kweli Simba ni brand kubwa
  6. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Yanga na Berkane tunaongoza. Tumepambana sana. Simba atashinda njaa tu. Kombe habebi

    Toka Jumatatu team ya watu 13 wamepambana sana kutembea sehemu mbalimbali kusimamisha hii game. Tumeenda Morogoro, Tanga, Zanzibar, Mtwara na Tabora. Matokeo ambayo tumepewa ni ya kuridhisha. Mkia anachapwa first leg na 2nd pia hafanikiwi. Kombe linaondoka. Wazee wamepambana sana. Simba...
  7. JamiiForums Tanzania Hadi sasa kuna uwezekano wa 75% wa fainali ya Simba vs Berkane kurudishwa Uwanja wa Mkapa

    Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa mechi ya pili ya fainali ya Simba vs Berkane itachezwa Zanzibar. Ndiyo, kuna uzembe mkubwa umefanyika katika ukarabati wa uwanja wa Mkapa na wachache tumekuwa tunapigia kelele hili suala kwa muda mrefu. Ndiyo, kuna watu tulio nao hapo hapo Tanzania wana...
  8. JamiiForums Tanzania Usiku wa leo kuna members watakuwa bize kugombania kuanzisha uzi wa Berkane Vs Simba, hii nayo ni tatizo la afya ya akili

    Kuna members watakuwa wako bize kugombania kuanzisha uzi wa fainal kati ya Berkane vs Simba Hili nalo ni tatizo la afya ya akili, kwanini msisubirie lisaa limoja kabla ya mechi ndio mfungue uzi? Maana hata uchambuzi wa mechi mara nyingi huanza lisaa limoja kabla ya mechi. Fun enough...
  9. JamiiForums Tanzania Simba hadi wanafika hii Fainali ni kwa Janja Janja tu na saiv wanataka kufanya Ujanja Ujanja ili wabebe Kombe

    Why nasema hivo kama mtu una akili Timamu utanielewa ila kama akili kisoda hutaelewa ipo hivi Uwanja wa Mkapa ulifungiwa kabla ya Robo fainali ya pili Vs Al Masry na CAF wenyewe.. Simba wakacheza First leg Vs Al Masry wakala chuma 2 kavu wakaangalia wakaona marudiano itakua wapi options...
  10. JamiiForums Tanzania Hii hapa remix atuchezi simba kimeumana

  11. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba kwa maksudi walianza kuuza tiketi ilihali uwanja ulikuwa umefungiwa na hawajapewa go ahead

    Ni mambo ya hovyo sana yaani unaanza kuuza tiketi kinyemela ilihali hujapewa go ahead ya uwanja kufunguliwa Tunafahamu uwanja ulifungiwa na jumapili maafisa wa CAF walikuja kuukagua kabla hawajatoa majibu simba kwa maksudi wakaanza kuuza tiketi ilihali hawajapewa go ahead Viongozi wa simba...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Suluhu ya kufanya Simba icheze kwa mkapa

    Kumekuwa na taharuki kuwa mchezo wa awamu ya pili utapigwa Zanzibar lakini sisi kama taifa tunaweza kufanya hivi ili hii Ngoma ipigwe kwa mkapa kwamba eneo la uwanja wa Amani, hasa sehemu ya pitch, lifanyiwe marekebisho ya muda ili lisiwe tayari kwa matumizi. Hii itatupa fursa ya kucheza...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Simba Mechi ya Fainali

    Nashauri Wapenzi wa Simba na Serikali! Hii ni Fedheha! Kwanini tupangiwe uwanja? Serikali Iandae Matumizi ya Uwanja wa Amaan siku ya Tarehe 25! uwe na Matengenezo! itafutwe hitilafu ya lazima! na kama CAF waleandika barua kwa Silba au serikali iwajibu CAF kuwa uwanja huo utakuwa kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Mwamuzi aliyekataa goli la Aziz K dhidi ya Mamelodi amepangwa kuchezesha fainali Simba VS RS Berkane Mei 25, Zanzibar

    CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25 huko Zanzibar. Hawa ndio waamuzi wa VAR kwa mchezo wa Simba dhidi ya RS Berkane • Mkuu wa VAR...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Astrology/Unajimu kuelekea Fainali ya Shirikisho Caf, Berkane atashinda mechi ya kwanza ila ya Pili kama ikichezwa saa kumi Simba ita Draw

    Habarini, viongozi wa Simba chukueni huu ushauri msiupuuzie Mechi ya jumamosi Tarehe 17 Berkane atashinda, ila mechi ya pili iliyokuwa imepangwa kuchezwa Dar es salaam majira ya saa kumi ilikuwa lazima Simba ita Draw hata pia ikichezwa Zanzibar kwa majira hayo hayo ya saa kumi pia Simba ita...
  16. JamiiForums Tanzania Simba itashinda mchezo wa jumamosi kama watakuwa makini Dakika za mwisho wa mchezo

    Matokeo ya mchezo wa jumamosi yashatoka, Simba Kuna uwezekano mkubwa wa kushinda hii game ya jumamosi. Mambo yanaweza tu kubadilika endapo Simba hawatoongeza umakini hasa kuanzia dakika ya 70. All in all nawatakia Kila la heri Simba Sc.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Elie Mpanzu na Simba

    Kuna propaganda zinasambaa kuhusu Elie Mpanzu kuwa amesajiliwa na timu ya Young Africans ya Tanzania kwa msimu wa 2025/2026 akitokea klabu ya AS Vita ya DRC. Taarifa hizo ni za uongo, AS Vita haimmiliki Mpanzu toka msimu jana. Mpanzu alitakiwa aje Simba dirisha kubwa lililoisha ila AS Vita...
  18. JamiiForums Tanzania Takwimu za Berkane Vs Simba kuelekea mchezo wa Final kombe la Shirikisho

    Hizi hapa takwimu za Berkane Vs Simba kuelekea mchezo wa Fainal ya kwanza hapo Jumapili. Kubwa la kuzingatia ni kuwa Berkane kafungwa mchezo mmoja tu na kuruhusu magoli mawili tu msimu huu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho.
  19. JamiiForums Tanzania SIKU YA KESHO TUFUNGE KUIOMBEA SIMBA IFUNGWE MAGOLI MENGI MOROCO

    HABARINI ZA UZIMA WANA UBAYA UMWELA KESHO TUTAKUW NA MFUNGO MAALUM KUANZIA ASBH MIN MASAA SABA MAX 12 UNAWEZA LENGO KUU BERKANE ASHINDE KWA MAGOLI MENGI KULE.MOROCO TTUIMBEEEE MAGOLI YA BERKANE YAWE MENGI WAKIRUDI WAFUNGWE KWA MKAPA MAGOLI MENGI YA KUTOSHA BERKANE AWE BINGWAAA OMBI MAALUM...
  20. JamiiForums Tanzania Simba wapo Morocco, Yanga tumeenda Kongo kuulizia kuhusu Elie Mpanzu. Dunia haipo fair kabisa

    Sisi ndo sisi..... Hakuna kama sisi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…