Nilikuwa nasubilia kwa hamu Sana nione timu inayosemwa iko vizuri msimu huu maana yanga ilipofungwa na zanaco kuna wajinga fulani fulani humu waliibuka na kuanza kutoa kila aina ya kejeli na maneno ya udaku, sasa tumewaona live hakika mtamkumbuka chama na mikson, mapengo yao yameonekana dhahiri...