simba

  1. JamiiForums Tanzania Haijawahi kutokea Simba na Yanga zikawa na ubora sawa

    Kwa wale wanaofuatilia soka mtakubaliana nami kwamba haijawahi kutokea hizi timu mbili kubwa zote kwa pamoja ziwe na ubora sawa. Hii miaka minne iliyopita Simba alitawala soka la Tanzania na Yanga alikua anasemwa kiasi kwamba walishazoea hali hiyo. Najua kuna watu watasema ubora wa timu au...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mbinu za Yanga Kuishinda Simba 2022

    Taswira kwa hisani ya Jamii Forums
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mwenendo mbaya wa Simba SC ufuatao ni ushauri wa bure kwao

    1. Mtimueni upesi Kocha Mkuu Franco, Msaidizi wake Matola na Meneja Rweymamu. 2. Mpeni Kazi kwa Kipindi hiki Kocha Ndayiragije kisha asaidiwe na ama Pawasa au Mgosi kisha Meneja awe ni Nico Nyagawa. 3. Wachezaji watafutiwe haraka Mwanasaikolojia na nampendekeza awe ni mwana Simba SC Chris...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mzamiru Yassin ni jipu ndani ya Simba SC

    Watu wengi wanamsifia kama kiungo punde ila kwa maono na maoni yangu binafsi namuona kama mchezaji wa kiwango cha chini sana kuichezea klabu kubwa kama Simba SC. Miongoni mwa madhaifu yake ni kushindwa kupiga pasi za maana,mara nyingi amekuwa mtu wa kupoteza pasi. Uwezo wake wa kumiliki mpira...
  5. JamiiForums Tanzania Ili kuinusuru Simba kwa Sasa, Kagere anatakiwa awe anaanza kucheza na kikosi Cha kwanza

    Kagere ni mchezaj ambae bado Ana uwezo mkubwa tu wa kupachika mabao, hasa hasa presha inapokuwa kubwa mbele. Naomba Sana bench la ufund ilifanyie Kaz Hil ili tuinusuru Tim yetu na tulinde heshma tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Simba nafasi ya kocha wa viungo huko kwenu inaonekana sio ya muhimu sana

    Simba nafasi ya kocha wa viungo huko kwenu inaonekana sio ya muhimu sana. Mmeingia kwenye professionalism lakin bado mnaendeleza ajira za michongo. Kilicho wafanya msitishe ajira ya Zrane ninini! Kama sio mkelele tu ya nje yaani mgeni aanze tu kuipenda ya jirani alafu mkathibitisha alafu nduki...
  7. JamiiForums Tanzania Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba

    NBC Premier League leo kwa mechi moja ya kiporo. Ni Kagera Sugar watakuwa uwanja wa nyumbani kuwaalika mabingwa watetezi Simba SC. Je, ni Kagera ama Simba SC nani kukila kiporo hiki? Mechi hi itaruka mubashara Hapa Hapa JF UPDATE Mpira Umeshaanza hapa Dimba La Kaitaba. 17” Kagera Sugar 0...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa na simba wengi kuliko nchi nyingine duniani

    Bwana Sven Lindqueast Rais wa Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa, (SCI) ameitaja Tanzania kuwa ni nchi yenye nusu ya Simba wote Duniani katika Mkutano wa 50 wa Mwaka wa Uwindaji wa Kitalii uliofanyika nchini Marekani hivi karibuni. Rais Sven Lindquest amesema kwa hatua hiyo ameipongeza kwa juhudi...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Leo Simba anashinda dhidi ya Kagera Sugar

    Wanasimba wote msiwe na wasiwasi leo huyu kagera sugar hasira zetu zote tunaenda kummalizia yeye, kosa lao Uwanja wao kuwa mzuri ndio kitachowacost
  10. JamiiForums Tanzania MO DEWJI, tamaa yako ya pesa imeiharibu Club ya Simba, sisi kama club hatusubiri mikataba yenu, jitafakari

    Huyu ndugu aliingiza tamaa ya pesa, kaanza kuuza wachezaji atakavyo, Sasa club imekwama, MO jitafakari, usidhani hatukutafakari.
  11. JamiiForums Tanzania Simba kugomea nembo ya GSM ni dharau kwa TFF sio GSM, laana wataipata

    GSM ameongea na kukubaliana na mwenye mbwa, TFF kuhusu udhamini wa ligi kuu. Timu kugomea kuvaa nembo ya GSM ni dharau kubwa kwa mwenye mpira wake na sio kwa GSM. Huku ni kuota mapembe dhidi ya baba yako, lazima watapata laana la kimichezo. Hapa mbwa ameifuata TFF hadi msikitini. Wacha...
  12. JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga: Timu ipi ina wapenzi wengi hapa JamiiForums?

    simba sports club ni timu iliyoanzishwa mwaka 1936 jijini Dar es Salaam, Kariakoo mtaa wa Msimbazi. Yanga Sports Club ndio Club kongwe kabisa nchini na ndio mabingwa wa kihistoria. Club hii yenye makao yake Kariakoo mtaa wa Jangwani na Twiga ilianzishwa mwaka 1935
  13. JamiiForums Tanzania Upuuzi wa Kocha Pablo wa Simba SC unavyozidi kuisafishia Yanga SC njia ya kuwa Mabingwa wa NBC Premier League kwa 75% mpaka sasa

    Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha? Yaani Kocha kabisa una Wachezaji very talented and creative kama Chama na Morrison unaacha...
  14. JamiiForums Tanzania Mwakalebela: Simba haitamaliza top 4 msimu huu

    Makamu mwenyekiti wa klabu ya YANGA FC Fedrick Mwakalebela amesema kuwa simba haiwezi. Kumaliza ndani ya top four mwishoni mwa msimu huu Mwakalebela amezitaja timu ambazo zitamaliza Top Four mwishoni mwa msimu wa ligue ya NBC Premier kuwa ni 1. Yanga 2. Azam 3. Mbeya city 4. Polisi Je, kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kamati ya roho mbaya Simba SC chini ya Gentamycine yachakazwa na kakamati kadogo ka roho mbaya ka Mtibwa Sugar

    Wakuu kuna mdau humu ndani anajiita GENTAMYCINE huyu amekuwa akijinasibu kwamba yeye ni mtaalamu wa figisu za aina zote,yaani kama angekuwa mwanajeshi tungesema ni kamanda wa kikosi cha SEAL (Sea,Air and Land)Namaanisha ukimsikiliza. Za ndani baada ya kuandika maandiko kibao juu ya FIGISU...
  16. JamiiForums Tanzania Banda wa Simba SC nimemuona akicheza AFCON ya Cameroon, ila Diara wa Yanga SC namuona 'anaozea' Benchi tu. Kulikoni?

    Sasa kama Kipa Djigui Diara ( Yanga SC ) ni mdaka Mishale na kila Siku Magazeti ya Kinafiki ya Mwanaspoti na Championi yanajipendekeza Kumpamba ( Kumsifia ) mbona tokea aitwe na Mali huko AFCON ya Cameroon anaozea tu Benchi / Mkekani? Cha Kushangaza yule Mchezaji Bora na asiyeimbwa na Magazeti...
  17. JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba SC kuibuka na ushindi mnono Jumamosi

    Kesho Simba sc bingwa mtetezi ligi kuu Tanzania bara na mtegemewa pekee katika mechi za kimataifa, ataparurana na wanatamtam Mtibwa sugar kutoka Manungu mkoani morogoro katika muendekezo wa ligi kuu Tanzania bara. Mchezo wa kesho ni mgumu sana kwa Mtibwa licha ya kuwa nyumbani, kwa nini nasema...
  18. JamiiForums Tanzania "Hakuna mchezaji wa yanga sc anayeweza kuanza kwenye first eleven ya simba sc" - Ahmed ally

    Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
  19. JamiiForums Tanzania Fursa kwa timu ya Simba, course ya upigaji penalti yafunguliwa na Yanga

    Salaaam Wana JF Kutokana na kutokuridhishwa kwa kiwango cha wachezaji wa SIMBA kwenye Upigaji wa penalt au mipira iliyokufa Timu ya WANANCHI kama mdau mikubwa wa maendeleo wa mpira kupitia kwa matajiri wa GSM imekuja na course fupi ya Upigaji wa penalt kwa wachezaji wa SIMBA ili kupunguza idadi...
  20. JamiiForums Tanzania Simba SC 'tumezubaa' sana, 'tunakomolewa' huku Yanga SC ikitumia mwanya huu 'Kujiimarisha' 'zaidi 'Kimkakati' ili kuwa 'Mabingwa wa NBC Premier League

    Kwa masikitiko makubwa Asubuhi ya leo nilianzisha Uzi hapa JamiiForums nikisema kuwa Kitengo cha Umafia Simba SC Kinepwaya na kwamba nipewe Mimi na Wenzangu Sita (6) na Yanga SC hatokuwa Bingwa kwa Mshangao huo Uzi siuoni (kwa Lugha sahihi ni kama vile Umefutwa) kwasababu wazijuazo Walioufuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…