simba

  1. Tanzania yatajwa kuwa na simba wengi kuliko nchi nyingine duniani

    Bwana Sven Lindqueast Rais wa Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa, (SCI) ameitaja Tanzania kuwa ni nchi yenye nusu ya Simba wote Duniani katika Mkutano wa 50 wa Mwaka wa Uwindaji wa Kitalii uliofanyika nchini Marekani hivi karibuni. Rais Sven Lindquest amesema kwa hatua hiyo ameipongeza kwa juhudi...
  2. H

    Leo Simba anashinda dhidi ya Kagera Sugar

    Wanasimba wote msiwe na wasiwasi leo huyu kagera sugar hasira zetu zote tunaenda kummalizia yeye, kosa lao Uwanja wao kuwa mzuri ndio kitachowacost
  3. MO DEWJI, tamaa yako ya pesa imeiharibu Club ya Simba, sisi kama club hatusubiri mikataba yenu, jitafakari

    Huyu ndugu aliingiza tamaa ya pesa, kaanza kuuza wachezaji atakavyo, Sasa club imekwama, MO jitafakari, usidhani hatukutafakari.
  4. Simba kugomea nembo ya GSM ni dharau kwa TFF sio GSM, laana wataipata

    GSM ameongea na kukubaliana na mwenye mbwa, TFF kuhusu udhamini wa ligi kuu. Timu kugomea kuvaa nembo ya GSM ni dharau kubwa kwa mwenye mpira wake na sio kwa GSM. Huku ni kuota mapembe dhidi ya baba yako, lazima watapata laana la kimichezo. Hapa mbwa ameifuata TFF hadi msikitini. Wacha...
  5. Simba vs Yanga: Timu ipi ina wapenzi wengi hapa JamiiForums?

    simba sports club ni timu iliyoanzishwa mwaka 1936 jijini Dar es Salaam, Kariakoo mtaa wa Msimbazi. Yanga Sports Club ndio Club kongwe kabisa nchini na ndio mabingwa wa kihistoria. Club hii yenye makao yake Kariakoo mtaa wa Jangwani na Twiga ilianzishwa mwaka 1935
  6. Upuuzi wa Kocha Pablo wa Simba SC unavyozidi kuisafishia Yanga SC njia ya kuwa Mabingwa wa NBC Premier League kwa 75% mpaka sasa

    Yaani Kocha kabisa umeshapoteza Mechi Mbeya halafu Mechi muhimu ya leo Morogoro unakuja Kumjaribu Beki Mbovu Gadiel Michael wakati Mchezaji mahiri Mohammed Hussein Tshabalala unae na hujataka Kumuanzisha? Yaani Kocha kabisa una Wachezaji very talented and creative kama Chama na Morrison unaacha...
  7. Mwakalebela: Simba haitamaliza top 4 msimu huu

    Makamu mwenyekiti wa klabu ya YANGA FC Fedrick Mwakalebela amesema kuwa simba haiwezi. Kumaliza ndani ya top four mwishoni mwa msimu huu Mwakalebela amezitaja timu ambazo zitamaliza Top Four mwishoni mwa msimu wa ligue ya NBC Premier kuwa ni 1. Yanga 2. Azam 3. Mbeya city 4. Polisi Je, kwa...
  8. Kamati ya roho mbaya Simba SC chini ya Gentamycine yachakazwa na kakamati kadogo ka roho mbaya ka Mtibwa Sugar

    Wakuu kuna mdau humu ndani anajiita GENTAMYCINE huyu amekuwa akijinasibu kwamba yeye ni mtaalamu wa figisu za aina zote,yaani kama angekuwa mwanajeshi tungesema ni kamanda wa kikosi cha SEAL (Sea,Air and Land)Namaanisha ukimsikiliza. Za ndani baada ya kuandika maandiko kibao juu ya FIGISU...
  9. Banda wa Simba SC nimemuona akicheza AFCON ya Cameroon, ila Diara wa Yanga SC namuona 'anaozea' Benchi tu. Kulikoni?

    Sasa kama Kipa Djigui Diara ( Yanga SC ) ni mdaka Mishale na kila Siku Magazeti ya Kinafiki ya Mwanaspoti na Championi yanajipendekeza Kumpamba ( Kumsifia ) mbona tokea aitwe na Mali huko AFCON ya Cameroon anaozea tu Benchi / Mkekani? Cha Kushangaza yule Mchezaji Bora na asiyeimbwa na Magazeti...
  10. Utabiri: Simba SC kuibuka na ushindi mnono Jumamosi

    Kesho Simba sc bingwa mtetezi ligi kuu Tanzania bara na mtegemewa pekee katika mechi za kimataifa, ataparurana na wanatamtam Mtibwa sugar kutoka Manungu mkoani morogoro katika muendekezo wa ligi kuu Tanzania bara. Mchezo wa kesho ni mgumu sana kwa Mtibwa licha ya kuwa nyumbani, kwa nini nasema...
  11. "Hakuna mchezaji wa yanga sc anayeweza kuanza kwenye first eleven ya simba sc" - Ahmed ally

    Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally amesema labda Khalid Aucho tu ndio kidogo anaweza akakaa benchi.
  12. Fursa kwa timu ya Simba, course ya upigaji penalti yafunguliwa na Yanga

    Salaaam Wana JF Kutokana na kutokuridhishwa kwa kiwango cha wachezaji wa SIMBA kwenye Upigaji wa penalt au mipira iliyokufa Timu ya WANANCHI kama mdau mikubwa wa maendeleo wa mpira kupitia kwa matajiri wa GSM imekuja na course fupi ya Upigaji wa penalt kwa wachezaji wa SIMBA ili kupunguza idadi...
  13. Simba SC 'tumezubaa' sana, 'tunakomolewa' huku Yanga SC ikitumia mwanya huu 'Kujiimarisha' 'zaidi 'Kimkakati' ili kuwa 'Mabingwa wa NBC Premier League

    Kwa masikitiko makubwa Asubuhi ya leo nilianzisha Uzi hapa JamiiForums nikisema kuwa Kitengo cha Umafia Simba SC Kinepwaya na kwamba nipewe Mimi na Wenzangu Sita (6) na Yanga SC hatokuwa Bingwa kwa Mshangao huo Uzi siuoni (kwa Lugha sahihi ni kama vile Umefutwa) kwasababu wazijuazo Walioufuta...
  14. Simba SC: Tulikuwa na nia kumwacha Thadeo Lwanga sababu ya majeraha. This is foolish!

    Thadeo Lwanga ilikuwa tusitishe mkataba wake mwezi huu kutokana na jeraha lake kuchelewa kupona na tulikuwa tayari kutafuta mbadala wake ila daktari ametuhakikishia atakuwa amepona kufikia mwisho wa mwezi huu (January)” amesema Ahmed Ally. Yaani wenzenu wanapeleka wachezaji wao kutibiwa nchi za...
  15. Afrika Kusini: Simba wadaiwa kuambukizwa covid-19

    Simba na Puma katika mbuga ya kuhifadhia wanyamaporinchini Afrika Kusini huenda wameambukizwa virusi vya corona kutoka kwa wamiliki wao, kulingana na utafiti uliofanywa na wanasayansi katika chuo Kikuu cha Pretoria. Wanasayansi hao wameonya kuhusu hatari ya kirusi kipya kutokea iwapo virusi...
  16. Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

    Chama is Back, Triple C is Back. Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri. Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea...
  17. M

    Kila kona ni Mayele style

    Ona Mazoezini Simba
  18. Matola aongezewe mshahara Simba

    Kazi ya Kwanza ni majukumu yake kama kocha msaidizi Kazi ya Pili ni kutuliza mashetani ya Pablo. Pablo is so much in touch with his femine side yaani kajamaa kanakasirika kasirika Kila saa ili kabembelezwe utafikiri ka Manzi. On a serious note: Kuna uwezekano mkubwa Sana Pablo akawa crack...
  19. K

    Mvutano benchi la ufundi Simba: Je, wachambuzi wako sahihi?

    Mara baada ya kumaliza mchezo kati ya Simba v/s Mbeya City, wachambuzi wa Azam Media walubainisha hii nukta, pamoja na mambo mengine ya kitaalamu lakini hili walilibainisha. Kwamba benchi la SSC kuna shida, hasa yanapofanyika mabadiliko ya mchezaji ni kama kuna kutoelewana. Mifano ya kwenye...
  20. Huwa nafurahi sana Simba na Yanga zikipata matokeo halali

    Habari zenu wana Michezo.Mimi siyo mchambuzi wa mpira ila ni mpenzi mtazamaji tu. Leo Simba kabanwa mbavu,bahasha haijasaidia,Mmadrid nae kachemka.Tulikubaliana na GENTAMYCINE kwamb Pablo akiishiwa mbinu basi atakuwa anampigia simu ZIDANE ili ampe mbinu mpya,bahati mbaya leo simu ya ZIDANE...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…