simba

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wenzangu mtanisamehe, ila Goli la Chirwa lililokataliwa 100% ni sahihi na tumlaumu Kocha Pablo kwa Ubovu wake

    Hivi Kocha mwenye Akili Timamu unawezaje kuwaanzisha Wachezaji Waandamizi na waliotumia Nguvu Kubwa katika Derby badala ya Kuwatumia wale wasiokuwa na Nafasi na ambao hata Kiufundi tu Mechi hi ndiyo ingewafaa? Hivi leo Pablo Franco Martin angeanza na Kikosi hiki nani angemlaumu hata kama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Pablo Kagombana na Clatous Chama wapatanishwe haraka kwa Faida ya Simba SC

    Waligombana katika Mechi ya Derby Timu ilipokuwa Vyumbani kwa Chama kuzikataa Mbinu za Kocha Pablo ambazo aliziona zisingesaidia mbele ya Yanga SC na Kocha kuona anadharaulika. Tafadhali Simba SC hasa Msemaji Ahmed Ally usilificbe hili kwani nina uhakika nalo 100% kwakuwa ndani ya Simba SC yako...
  3. JamiiForums Tanzania Simba hizi ndio level zetu sasa, tusishangae tujiandae mwakani.

    Tuna wachezaji wa kawaida sana ndo level zao hizo. Tofauti na Aishi Manula, Beki kama Zimbwe Jr, Henock Inonga, Achieng Onyango, Shomari Kapombe. Wengi wanacheza chini ya kiwango sana. Huwezi kupata magoli kama una forward aina ya Mugalu na Kiungo kama cha Mkude, Kanoute na Mzamiru. Tuna Kocha...
  4. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Bodi Simba Jitafakari

    Tuwe wakweli, Simba haina consistence kwenye uchezaji kiasi sisi kama mashabiki wa Simba kea msimu huu tunaishi kwa matumaini zaidi kuliko tunavyopaswa tuishi. Simba inaweza kucheza mpira kwa kiwango cha juu sana katika game A lakini ikaja kucheza mchezo mbovu usio mfanowe kwenye game B. Hili ni...
  5. JamiiForums Tanzania Namungo FC VS Simba SC

    Assalamu Alaykum. Kheri ya EID EL FITR wana jf wote leo itachezwa mechi kali kati ya NAMUNGO FC watakaoikaribisha SIMBA SC katika uwanja wa ILULU mkoani LINDI majira ya 10:00 jioni. Kwa masimulizi mubashara ya mtanange huu wa kukata na shoka baki katika uzi huu. EID MUBARAK...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Masau Bwire tumechoka na Tambo zako zisizo na maana kila Timu yako ya Ruvu Shooting FC ikicheza na ama Yanga SC au Simba SC

    Nakushauri tu Mwalimu Masau Bwire ( Msemaji wa Ruvu Shooting FC ) uwe unanyamaza tu kwani Tambo zako huwa haziendani na Ufanisi wa Timu yako Uwanjani pale ikikutana na Yanga SC au Simba SC sanasana huwa unaishia tu Kufungwa idadi Kubwa ya Magoli. Tumekuchoka na Unatuboa sana Kaka!!
  7. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba SC na Yanga SC ushirikina ndio ulitawala

    Najua mlioangalia game kwa TV kuna matukio hamkuoneshwa acha niwaibie kidogo; Inonga na Ntiba, ndio walikua waamuzi wa game (wazee wa hesabu na namba). Kwanza wote hawakupiga picha za pamoja (picha ya kikosi) sababu kila mtu alikua anamtegea mwenzie nani awe wa mwisho kuingia Pili Inonga...
  8. JamiiForums Tanzania CAF Wanaipenda sana Simba

    Katika ukurasa rasmi wa CAF klabu bingwa na shirikisho wakiwatakia kheri WAISLAMU wanaosherehekea EID EL FITR siku ya leo wameweka picha yenye wachezaji wa timu nane zilizofuzu nusu fainali ya klabu bingwa na shirikisho wakaweka na picha ya mchezaji mmoja tu kutoka katika timu ambayo haipo nusu...
  9. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tunahitaji kujitafakari

    Sisi mashabiki wa simba tunaitaji kujitafakari, ifike muda tukubali kuwa wenzetu upande wa pili wamejipanga kutuzidi sisi kwenye huu msimu, kitu ambacho tulikua tunajidai nacho ni ushiriki wetu kwenye michuano ya kimataifa lakini baada ya kutupwa nje kwenye michuano hiyo kwa sasa tumeanza...
  10. JamiiForums Tanzania Simba SC. Timu pekee inayoipa hadhi ligi Tanzania

    Habari wadau!!! Naenda Moja kwa Moja kwenye mada kama kichwa Cha habari kinavyojieleza; Mpaka Sasa Simba Sports Club ni timu pekee kwa Tanzania inayokuza ligi ya Tanzania na kuipa hadhi hata nchi za jirani kama Malawi, Zambia, Zimbabwe hapo sijaweka East Africa. Inaiwakilisha Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Kama man of the match ni beki basi simba ilizidiwa

    Kama enonga ndo anaimbwa leo basi watani mlizidiwa
  12. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu mechi ya Simba na Yanga 29.04.2022

    Hello soka lovers JF Defence: Mafulbeki kwenye crosses &covering speed, na macho kwenye pasi mpenyezo kwa mabeki wa kati, na aerial duels kwenye through balls Midfield: Macho, kukaa kwenye nafasi, kuona hatari, physicality, upotezaji mpira na uhamishaji mpira na uchezeshaji wao, macho mepesi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa vyovyote vile ni mwiko mtetemaji kutetema mbele ya simba

    Kwa matokeo yoyote yale ila ni marufuku mtetemaji kutetema mbele ya simba!!
  14. JamiiForums Tanzania Yanga Sc 0-0 Simba SC| Ligi Kuu NBC | Benjamini Mkapa Stadium

    Naaam wasalam wakuu, Ile siku maalumu iliokuwa ikisubiriwa kwa hamu hatimaye imefika..Pambano la watani wa jadi katika soka la bongo, leo mtoto hatumwi dukani Karibuni katika matukio mubashara(live updates) ya mtanange huu wa kukata na shoka baina ya mahasimu wa Soka la bongo, #KariakooDerby...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni dhahabu mchangani

    Pamoja na kubezwa mara kwa mara, kupondwa na wakati mwingine baadhi ya watu kutoa wito wa vilabu hivi vikongwe vitoweshwe kwenye ulimwengu wa soka kwa kudaiwa kwamba vinadidimiza mchezo wa soka, ni ukweli usiopingika vilabu hivi viwili ni dhahabu mchangani kwa maendeleo ya soka na nchi kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ubashiri: Kikosi cha Yanga SC dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Jumamosi

    MECHI YA YANGA NA SIMBA TUMEICHUNGULIA TAYARI... KWA NAMNA YOYOTE ILE LAZIMA SIMBA AFUNGWE... ATAKE ASITAKE...INSHAA ALLAAH... Nabi ataanza na kikosi hiki Inshaa Allaah... 1. Diarra 2. Djuma shaban 3. Kibwana Shomari 4. Bangala 5. Mwamnyeto 6. Aucho 7. Moloko 8. Sureboy 9. Mayele...
  17. JamiiForums Tanzania Hali Ya Usalama Kuelekea Mechi Ya Klabu Ya Simba Vs Yanga

    Jumamosi ya tarehe 30 Aprili 2022 kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa kutakuwa na mpambano wa soka wa watani wa jadi baina ya klabu ya Simba na Yanga za Dar es salaam utakaochezwa saa 11 :00 jioni. Katika kuelekea mchezo huo, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam litahakikisha usalama...
  18. JamiiForums Tanzania Combined Yanga vs Simba Jumamosi

    1 Manula 2 Djuma 3 Hussein 4 Mwamnyeto 5 Enonga 6 bangala 7 Sakho 8 Feisal 9 Mayele 10 Chama 11 Morrison
  19. JamiiForums Tanzania Mwamuzi Ramadhani Kayoko kuwa 'Pilato' mechi ya Yanga vs Simba

    SIKU chache baada ya Mwanaspoti kufichua juu ya waamuzi waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuchezesha mchezo wa Kariakoo Derby utakaofanyika April 30, 2022 katika dimba la Benjamin Mkapa saa 11 jioni, huku kikao kizito kikifanyika, ukweli umebainika kwamba mwamuzi Ramadhan Kayoko amepewa kazi...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini mpaka leo mwamuzi wa mechi ya Yanga Vs Simba hajatangazwa?

    Yaani bado masaa 48 lakini mpaka sasa mwamuzi bado hajatangazwa! TFF amkeni acheni kuongoza soka kizamani. Tunaomba alhamisi mumtaje mwamuzi ili tumjue
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…