simba

  1. Yanga wawe na huruma waisadie Simba

    Nadhani mwaka 1988 Simba ilikaribia kushuka daraja ndipo Yanga ya wakati huo ikafanya huruma ya kuachia kombe lichukuliwe na Coastal Union kusudi Simba isishuke daraja. Nawaomba Yanga mwaka kesho wafanye huruma kama hiyo waruhusu angalau Simba ipate kitu cha kuweka kabatini: wawaachie ngao ya jamii.
  2. Ahmed Ally: Yanga wapo hatua 10 mbele zaidi wana Simba wenzangu tuamkeni watatawala soka letu uwanjani hadi katika maamuzi

    AMEANDIKA AHMED ALLY Nimeona taarifa kutoka kwa @jemedarisaid kuhusu Nyuma Mwiko kumuwekea pingamizi Mgombea Urais wa TFF Wallace Karia, sina mashaka na taarifa zake lakini kamati ya uchaguzi ya TFF itatoa taarifa ya uchaguzi na tutathibitisha zaidi Kitendo cha Nyuma Mwiko kumwekea Wallace...
  3. MH MAMA YETU OMBI LA WANA YANGA NA SIMBA PACOME APEWE UBUNGE WA HESHIMA JAMAN...

    KAMA N MAPENZI YA MUNGU SISI WANA YANGA NA SIMBA TUNATAMANI HUYU BWANA APEWE UBUNGE WA HESHIMA JAMANI SIO KWA VIWANGO VILE UWANJANI KWAKO MAMA YETU TUNAOMBA SIKIA OMBI LETU MUNGU IBARIKI TANZANIA
  4. WANA SIMBA TUUNGANE KUISHABIKIA YANGA LEO NEW AMAN STADIUM

    NAJUA NAWAKERAAA OMBI LANGU TU SISI WANA SIMBA WOTE TUUNGANE KUISHABIKIA YANGA LEO NEW AMAN STADIUM crdb final HAWA SINGIDA WALICHOTUFANYIA SIO KIZURI KABISAA KABISAA sisi SIMBA MOJA
  5. KAMAA ULISOMA ADDITIONAL MATHS KWA MATOKEO YA SIMBA UMEJUA NANI ALIKUWA ANA MKIMBIA MWENZIE....BM MTUSAMEHE KIDOGO

    NIANZE KUWAPONGEZA SIMBA SC KWA UTHUBUTU WA KUINGIXA TIMU MENGI YALISEMWA LAKN WAMETHUBUTU KUINGIZA TIMU PILI NIWAPONGEZE KWA KUPUNGUZA IDADI YA MAGOLI WANA YANGA WENGI TULIINGIA NA MATOKEO YA MKONO YAAN 5 HATIMAE MKAFANIKIWA KUFUNGWA 2 TU HUU N UTHUBUTU NIIPONGEZE BODI YA SIMBA KWA KUTHUBUTU...
  6. Uongozi wote wa Mzee Hassan Dalali Simba SC Kitakwimu Yanga SC ilifungwa mfululizo na zaid ya mara 5 yao, angalieni Takwimu zenu vizuri

    Siku nyingine muwe mnawaambia hao Waandishi wenu walio katika Payroll zenu wajikite zaidi katika Data and Research Journalism ili wenye Akili kubwa tusiwafharau na tusiwaone Wapumbavu. Imeisha hiyo.....!!!!!!
  7. Jukumu la Mangungu pale Simba ni kufungua na kufunga vikao tu

    Mangungu pale Simba ni sawa na jibwa lisilo na meno Mashabiki wa Simba ambao hawaijui hata kurasa 1 ya katiba ya Simba ndo hutokea na kumlaumu Mangungu pale timu inapofanya vibaya 1. Mangungu pale Simba ndo Mwenyekiti upande wa Wanachama ila kwenye bodi yeye ni mjumbe tu, hana maamuzi Mkubwa...
  8. Mangungu tayari uliyekuwa ukimuuzia Simba SC na kila mara wana Simba SC tunalia nao keshachukua Fomu ya Ubunge Kigamboni nawe yako unaichukua lini?

    Na GENTAMYCINE nina TAARIFA za uhakika kuwa yule MNAFIKI Mstaafu wa Chalinze Bagamoyo Kawe Beach katika moja ya Mkakati wake mkubwa nawe dhidi ya Simba SC alikuhakikishia kuwa hakikisha wana Simba SC wanalia kila mara wakikutana nao ili huu mwaka akufanyie Mipango kwa yule ANAYEMMUDU sasa...
  9. Nimeipongeza Yanga SC kutufunga Simba SC na kwa mara ya 5 Mfululizo, ila nasikitika kuona huu Ukweli wa Kitakwimu umefichwa ili Kuikandamiza Simba SC

    Bado GENTAMYCINE naendelea Kuipongeza Yanga SC kwa Kutufunga hivi juzi (na kwa mara ya Tano mfululizo) na Kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League ila kwa KUJIAMINI kabisa ninapingana na Watu ambao kwa AGENDA zao au kwa ama KUTOKUJUA wamekuwa wakisema kuwa Yanga SC imeweka Rekodi ya Kuifunga Simba...
  10. M

    Hamkani si shwari ndani ya klabu yetu ya Simba ila nachojua Mangungu anapigishwa shoti na wasiompenda

    Mimi sio mshabiki wa Murtaza Mangungu na simpendi kabisa kabisa, kwa sababu hana lugha nzuri, hata sijui kwa wananchi wake jimboni pale Kilwa Kaskazini anawajibu kama anavyowajibu wanachama, viongozi na mashabiki au vip. Najua kesho Mangungu atakuwa Kilwa kuchukua fomu, tumuombee kwa mungu...
  11. Israel imefanya pigo kubwa katika sehemu nyeti za IRGC.Akiwa amelegea, sasa ni wakati wa wana Iran wamrudishe simba wa uajemi katika bendera yao.

    UTAPELI WA ITIKADI KALI: IRAN YA UKWELI: Majenerali chali Nyuklia chali Mifumo ya kifedha chali Mitambo ya silaha chali Wanasayansi wa nyuklia chali Trust ya wananchi chalii
  12. M

    FAFLU AMEIFANYA SIMBA ICHEZE OVYO SANA KWA MFUMO WAKE, PIRA BIRIANI HAKUNA TENA.

    Mimi nikiwa shabiki wa simba kikweli siridhiki na mbinu za FADLU, SIMBA imekuwa timu ambayo haichezi kama timu ambayo tumeizoea na tunafurahia mpira. Watu wanampa sana sifa huyu kocha lakini uwezo wake umeishia hapa hawezi tena kuibadili timu hii naomba atafutwe kocha mwenye uwezo wa mbinu...
  13. ZakaZakazi: Hakuna Timu iliyofungwa matches tano mfululizo na Yanga kama Simba

    Alichokiandika Meneja Habari Wa Azam ZakazaKazi Baada Ya Yanga Kuishinda Simba… SASA NI TANO KWA TANO Agosti 9, 2023 Azam FC ilifungwa 2-0 na Yanga kwenye Ngao ya Jamii jijini Tanga, Shabiki mmoja wa Simba aliyefahamika kama Kisugu, alitokwa povu jingi sana na kuonesha dharau kubwa kwa...
  14. Hatimaye Simba yapiga treble ya kukosa makombe

    Msimamo wa makombe msimu huu kwa kilabu ya 5imba mpaka sasa Ngao ya jamii ❌ Cafcc ❌ Muungano ❌ CRDB cc ❌ NBC Premier League ❌
  15. GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

    Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
  16. Nilisikitika sana tu kuona wana Simba SC wengi wakiyadharau Maneno ya Mchezaji Obrey Chirwa kelekea Mechi yetu tuliyoadabishwa ki haki jana kwa Mkapa

    Na kilichoniuma zaidi ni kwamba 95% ya waliokuwa 'wakimbeza' Mitandaoni hata Mpira wa Chandimu tu hawajacheza!!!
  17. Waliochangia Simba kukosa ubingwa msimu huu

    1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam) 2.Kijiri( vs Yanga) 3.Chasambi (vs Fonten gate) 4. che Malone( vs Azam)
  18. K

    Simba viongozi wake wanajitahidi sana kununua malefa ili washinde,ubora wa timu hawana

    Simba Viongozi wake wanajitaidi saba kununua marefa ili waonekana bora mbele ya mashabiki wake,na mashabiki hufurahia hilo wanaposhinda mechi bila kuhoji uwezo wa timu tena ni timu ya kawaida sana, ilistahiri kushika na 4 au tano kwenye msimamo wa ligi, Endeleeni kununua malefa mkikutana na...
  19. Tamko la Mwenyekiti wa Simba, Mangungu kuhusu matokeo ya Dabi

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amezungumza kuhusu matokeo ya derby ya jana na kujibu kuhusu baadhi ya maoni ya mashabiki wa klabu yake kuto kumuamini na kumtaka aondoke kwenye uongozi.
  20. Mapendekezo yangu maboresho ya simba

    Habari za muda huu Baada ya kuchoshwa na kunyanyaswa sana na Yanga naomba viongozi wa Simba wafanye maboresho kama wachezaji 6 hivi tu.(Tusifumue kikosi chote tutapotea zaidi) 1.Quality Golie awe namba mbili ili kumpa changamoto Camara aasiwe anajisahau 2.Lusajo mwaikenda akamchalange kapombe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…