simba

  1. JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo inaikomaza Simba kimataifa bila kujua!

    Ni sawa na mzazi kwenye shule ambayo mwanae anasoma na mtoto wa jirani yake. Huyu Mzazi hapendi kuona mtoto wa mwenzake anafaulu, kwahiyo anamhonga mwalimu mtoto wake apewe mtihani rahisi au kupewa majibu halafu mtoto wa Jirani yake apewe mtihani mgumu! Ni kweli mtoto anafaulu mitihani ya ndani...
  2. JamiiForums Tanzania Viingilio hivi hapa, Simba tukaujaze uwanja Jumapili

    Wana Simba sasa tambo za mitaani, mitandaoni, maofisi, kanisani, vitandani tunazihamishia kwa Mkapa. Kiingilio ni sawa na bure kabisa. Tunaenda kupiga "Full House" kutoa onyo kwa timu zitakazokuja makundi.
  3. N

    JamiiForums Tanzania 'Aliyetaka kuuza mechi ya Simba vs Zamalek 2003 bado ana kinyongo. Tarehe 23 kuweni makini nae'

    Ndio, ni zee 10% (hapana hili ni 90% kabisa), bado lina wapambe wake wakiwemo makanjanja na hata majuzi lilihojiwa na redio moja ya FM likamkandia sana CEO Barbara Gonzalez. Lengo lao kubwa ni yule dada aondoke, sasa anaondokaje ni kumuabisha kwa matokeo haswa mechi vs utopolo, sasa angalia...
  4. JamiiForums Tanzania Kama ni 6, hata Yanga iliwahi kufungwa 6, 5 na Simba

    Nimeona watu wanaleta ushahidi wa mechi dhidi ya Namungo ambayo wachezaji 8 bora wa Premeiro D'Agosto walizuiwa kucheza kwa "Mizengwe" ya UVIKO 19. Hata baada ya kufungwa 6-2 pale Chamazi ambako zilichezwa mechi zote 2, lakini Namungo kwenye Group stage HAWAKUWEZA kufunga hata bao 1, kitu...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga wakitaka wawanyamazishe mashabiki wa Simba S.C basi wakashinde Sudan hata goli 2 kwa 0 tu

    Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi. Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
  6. JamiiForums Tanzania Simba hao makundi kuvuna bilioni 1

    Utomax taarifa iwafikie, Mnyama kaua uko 3-1. Anakuja kumaliza kazi kwa Mkapa na kuingia makundi CAF, billion 1 kibindoni.
  7. JamiiForums Tanzania Chonde chonde Viongozi Simba msimtwishe Mgunda zigo zito, mtamuumiza

    Kutokana na kuwa Simba wanaendelea kupata matokeo mazuri kumekuwa na kelele kila kona kutoka kwa Mashabiki wakitaka Mgunda apewe timu kamili kama Kocha Mkuu. Na Viongozi wa Simba ni kama vile wamekaa wakisubiri kama vile wanasikilizia. Nadhani hili litawagharimu Simba, huu mchezo wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mohammed Hussein ni moja ya mzigo na udhaifu wa Simba

    Katika tathmini yangu ya uchezaji na mchango wa Mohammed Hussein kwa timu ya Simba, uchezaji wake umekuwa unaleta makosa mengi kwa timu. Mfano katika mechi ya leo, Zimbwe alifanya makosa mengi sana. Yaani inafikia wakati kila akipata mpira, unategemea kuna ujinga ataenda kufanya. Akiwa anakaba...
  9. JamiiForums Tanzania Siri imefichuka, fahamu kwanini Simba inashinda kimataifa

    Kabla ya yote mnaonaje mechi inayofata Simba aende Sudan kucheza na Al Hilal alafu hawa jamaa wabaki hapa kucheza na Agosto? Ngoja nikujuze, kimataifa mbinu zinatawala siyo manguvu na kukamia, wanacheza mpira wa nafasi, kuachiana nafasi ufundi unatawala. Simba ni zaidi ya hatari endapo...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Mambo sita mapya niliyoyaona kwenye kikosi cha Simba kwa hivi karibuni

    Amani iwe nanyi Katika siku za hivi karibuni mara baada ya Simba kumteua Master Guardiola Mgunda, nimeweza kugundua masuala kadhaa! Ungana nami uweze kuyajua mambo hayo. 1. Mzamiru amezaliwa upya, nikiri kuwa nilikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wakikosoa sana uchezaji wa Mzamiru Yasin...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Huko CAF Simba ya 14, De Agosto 28, Namungo 56, Utopolo 75

    Ohoo walifungwa na Namungo hawa? Kwaiyo nini? unawachukulia Namungo poapoa? kwa mujibu wa shirikisho la soka barani africa, Simba ni ya 14 ikiwa na pointi 28, De Agosto ni ya 28 ikiwa na pointi 10, Namungo ni ya 56 ikiwa na pointi 2, Utopolo ni ya 75 ikiwa na 0.5. Kuweni na heshima, wapuuzi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Al Ahly mdomoni mwa wachambuzi wa bongo, watakaangwa kwa kosa hili kama la Simba

    Kila mtu anajua kwamba kwa afrika nzima hakuna nchi yenye wachambuzi wanaojua kuchambua issues mbalmbali kwa ufasaha kama wanaopatikana Tanzania Ni ma pundits haswa yametulia kwelikweli, yamesoma na yana make sense kwenye hoja zao, ikumbukwe wakati simba inaenda pre season bado llikuwa na jezi...
  13. JamiiForums Tanzania Bocco anakaimu ualimu wa viungo Simba

    Kapten wa Simba John Bocco anakaimu majukumu ya Kocha wa Viungo tangu aondoke mwalim wa viungo. Hilo limekuja baada ya John Bocco kuhitu mafunzo ya ukocha wa awali ya viungo. Wachezaji wenzake wanafurahia mafunzo yake. Hii ni kwa wale waliokuwa wanauliza kwanini Bocco asiondoke Simba?
  14. JamiiForums Tanzania Hipi ni sababu inayowafanya yanga wasivume kimataifa? Kwanini simba waweze?

    Ninawaza kwa sauti kubwa saana hapa, nimeona clip nyingi watu wakipiga kelele kisa ku droo na al hilal 😂😂, Hivi wana feli wapi? Wana yanga wana imani kubwa sana na kikosi chao lakini wanashangaa walivyotaabika jana almanusura wapasuke wamshukuru diara. Wana yanga wana amini sana kwamba simba...
  15. JamiiForums Tanzania INASIKITISHA : Simba tayari ameshapoteza hii game. Arudi tu kuja jipanga

    Nina jamaa yangu Angola yupo na Simba. Yeye ni mwandishi na mchagoat wa habari za Michezo. Anasema kwa aliyoyaona. Simba wanapitwa si chini ya Bao 3 Angola. Hili kanihakikishia hasa baada ya matokeo ya jana ya Mabingwa wa kihistoria kunyimwa bao kizandiki. Simba anapigwa...tena anapigwa vibaya...
  16. JamiiForums Tanzania FT: Agosto 1-3 Simba | CAF Champions League | Estádio 11 de Novembro | 9-10-22

    FULL TIME 90' Zinaongezwa dakika 3 za nyongeza 78' Agosto wanapata goli la kwanza GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 76' Agosto wanapata penati baada ya beki wa Simba kuushika mpira Phiri anafunga goli zuri akimalizia pasi ya Chama 75' GOOOOOOOOOOOOOOOO 72' Agosto wanaweka mpira wavuni, lakini mwamuzi...
  17. JamiiForums Tanzania Ni ngumu sana kuwatoa Wasudan kwao, Simba ashawahi kushinda nyumbani akaenda kufa Sudan!

    Umofia kwenu. Ndugu zangu ni vigumu mno kuwatoa Wasudan kwao, ninasema hivI kutokana uzoefu nilikuwanao. Nilishwahi kuishi miaka miwili pale Sudan, kiufupi jamaa ni makatili ile mbaya. Simba alishawahi kushinda tatu kwa mtungi kwa Mkapa akiwafungu Ahli Shandy, ila alienda kufa nne bin sifuri...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Shafih Dauda yuko Angola na Simba S.C, nimetokwa machozi

    Haki ya Mungu walahi Mungu amlinde tu Barbara Gonzalez, ana maadui wa wazi wazi wa Simba wako ndani ndani kabisa wakishirikiana na makanjanja mazoefu. Lile jitu linalokesha kusambaza habari za uongo za Simba kushoto na kulia liko Angola tayari na inavyoonekana hadi mipango ya ndani ya Simba...
  19. JamiiForums Tanzania Maneno ya mashabiki wa Simba baada ya dakika 90 za mchezo wa leo

    Leo Yanga inakwenda kuonesha kwa vitendo maana ya uwekezaji kwenye soka ni nini? Baada ya Al hilal kupigwa kama ngoma mashabiki wa Simba watasikika wakisema hii Al hilal ni Zalan iliyochangamka tu. Sasa na wewe waulize wale waliopigwa mbili mbele na nyuma na Fiston Mayele kwenye ngao ya jamii...
  20. JamiiForums Tanzania Kila la kheri Simba S.C. kaeni mkijua taifa linawategemea

    Kila Mtanzani anatamani kuiona Simba S.C. ikiendelea kufanya vizuri kimataifa, kufanya vizuri kwa Simba kimataifa kumeinufaisha pakubwa sana taifa hili. Simba imekuwa mfano mzuri wa kuigwa hapa nchini na vilabu vyote vimekuwa na shauku ya kufanya vizuri kimataifa ikiwemo klabu kongwe nchi Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…