simba

  1. JamiiForums Tanzania Kweli Simba kiungo cha chini (DM ) wameridhika na kante hawaongezi mchezaji mwingine wa kimataifa?

    Kwa mahesabu yangu zimebaki nafasi mbili za wachezaji wa kigeni mpaka sasa.....moja ni MAEMA ambaye ni kiungo mshambuliaji....nyingine NAHISI ni ya full back namba 3 kureplace valentine noumer,, mpaka hapo tayari idadi ya wachezaji 12 itakuwa imekamilika. Najiuliza,, Simba SC imekuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Sowah na timu yake ya Simba wamejitafutia laana kama Ile walivoingiza jeneza uwanjani

    Tundaman kwenye Simba day aliingiza jeneza iliyokuwa na zeruzeru ndani ili kumdhihaki Manara ambaye alihamia Yanga Jeneza ni mauti baada ya tukio hilo kweli hadi Leo Simba wapo kwenye mauti, Toka wamdhihaki Manara na jeneza lao hawajapata kombe na wala hawatapa kikombe chochote Leo kwenye...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rasmi Jonathan sowah atambulishwa Simba sc

    Unaupa asilimia ngapi usajili huu wa Simba sc kuelekea msimu mpya? Sajili zilizotiki hadi sasa Rushne Kante Abraham Semfuko Sowah Soma Pia: Husein Massanza: Ukimtaka Sowah njoo na Tsh. Bilioni 2.6 Singida BS
  4. C

    JamiiForums Tanzania Simba kweli kuna watu ni pimbi sana akili ndogo

    Kitendo cha kumposti Hersi na kuandika upumbavu mtupu eti abaabaa! Ni ishara tosha kuwa akili ni za kitoto tena mitoto isiyo na akili. Aliyefanya hivyo anataka habari gani itrendi? Je habari ya maneno ya Sowah ikitrendi,wameshafikiri itamuathiri vipi kisaikolojia mchezaji? Vipi asipofanya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa kitendo Cha Simba Sc kupost video wakichana picha ya Eng. Hers, ni wazi kabisa Vichwa vyao vinamiwaza mno

    Wamejikaza sana mpaka Leo wamepost video wakichana picha ya Eng Hers, Ni wazi kabisa jamaa kawatesa mno na amewakaa mno vichwani mwao maana toka jamaa atue Yanga Simba SC hawajawahi kujua utamu Wa kombe
  6. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye simba ninayemjua!

  7. JamiiForums Tanzania Kwa huu usajili wa Simba, Azam na Yanga, tutarajie ligi yenye ushindani kwa msimu wa 2025/2026

    Kutokana na huu usajili wa hapa tz tutarajie ligi yenye ushindani kwa msimu wa 25/26??
  8. JamiiForums Tanzania Msimu wa 2025/2026 Azam au Simba mmoja atakuwa Bingwa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kwanini Nasema Azam au Simba mmoja wapo atakuwa Bingwa Msimu huu? 1.Kocha Fadlu Davis amekuwa kocha wa Simba huu unaelekea msimu wa pili;mazingira ya ligi Kuu tayari keshayajua,tayari kesha tambua na kufahamu kikwazo Cha yeye kutochukua Ubingwa kilikuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mchambuzi Uchwara na mwana Yanga SC lia lia Hans Rafael uliwaaminisha Watu kuwa Elie Mpanzu iwe isiwe anaenda Yanga SC, mbona yuko Simba SC bado?

    Yaani kununuliwa tu hiyo Laptop na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ndiyo umeamua sasa kuwa Mnazi na Mtu wa Hovyo hapo Crown FM?
  10. JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa nahodha mpya Simba Sports Club?

    Kufuatia kuondoka kwa Mohamed Hussein Tshabalala pale Simba nafasi ya captain imebaki wazi. Taja jina la mchezaji anayefaa kuwa nahodha mpya wa Simba
  11. JamiiForums Tanzania Sababu kuu tatu zinazokwamisha Feisal Salum asiende kuchezea Simba

    Mijadala mingi inayohusiana na uhamisho wa Feisal Salum kutoka Azam kwenda Simba imejikita kwenye gharama za uhamisho huo ila ukweli ni kuwa kuna sababu tatu kuu zingine tofauti kabisa zinazokwamisha uhamisho huo. Gharama inayotajwa ya bilioni 2 na ushee siyo pesa nyingi kulinganisha na faida...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Simba sc imekamilisha usajili wa Alassane Kante

    Klabu ya simba imekamilisha usajili wa nyota wa kimataifa wa Senegal Alassane Kante anayehudumu nafasi ya kiungo wa ulinzi, akichukua nafasi ya fabice Ngoma ambaye ametangazwa kutokuwa sehemu ya kikosi Cha simba msimu ujao, je unafikiri kwa sajili hizi ambazo simba inaendelea kuzifanya zitaweza...
  13. JamiiForums Tanzania Simba Yamsajili Alasanne Kante

    Karibu Simba SC, Alassane Kante. Kwa taarifa zaidi tumia Simba App, Simba Mastori (piga 0900010000) au Instagram Subscriptions. #NguvuMoja
  14. JamiiForums Tanzania Hizi hapa ndizo jezi mpya za simba msimu huu unaoanza 2025

    Kazi kwenu wachawi toka utoporo
  15. JamiiForums Tanzania Usajili wa kwanza msimu huu Simba

    Karibu Simba SC, Rushine De Reuck. Kwa taarifa zaidi tumia Simba App, Simba Mastori au Instagram Subscriptions. #NguvuMoja
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Simba mlishindwa nini Kumfuata Diadora moja kwa moja? Hadi mumtumie dalali JEYI-RUTY?

    Beberu la kihaya ni mjanja sana. Kaomba tenda ya bilion 5.6 kwa mwaka, Yeye kaiuza tenda kwa third party ambaye ni DIADORA (kampuni ya vifaa vya michezo kutoka Italy) kwa bilion 7.9 kwa mwaka. Wakati huo huo ako na kamisheni yake kwsnye kil jezi inayouzwa.(Kamisheni approxmatly USD 2 per...
  17. JamiiForums Tanzania VIDEO: Shabiki wa Simba adai App ya klabu imejam wakisubiri utambulisho wa mchezaji

    Shabiki wa Simba SC adai App ya klabu imejam kutokana na wingi wa watumiaji wakisubiri utambulisho wa nyota mpya usiku huu.
  18. JamiiForums Tanzania Nini kimewafanya Simba kukubali mkataba wa Bilioni 20 wakati wadhamini waliopita walikuwa wanatoa Bilioni 26?

    Je M-beti na Simba walitudanganya? Inakuwaje Simba wakubali pesa ndogo (bilioni 20) wakati mkataba ulioisha ulikuwa bilioni 26? Je club hiyo inaporomoka thamani? Kwanini wasingekomaa wapate angalau Bilioni 30? Au hata bilioni 27?
  19. JamiiForums Tanzania Huwezi kuisaliti pakubwa Simba SC halafu LAANA ya Wazee wao ambao huwa HAWATANII pale WAKIKUAMULIA isikupate na kukuharibia

    πŽπ…π…πˆπ‚πˆπ€π‹: Aliyekuwa beki kisiki wa Simba Sc, Henock Inonga Baka amepewa mkono wa kwaheri na klabu ya AS FAR Rabat ya Nchini Morocco aliyokuwa akiitumikia kwa msimu mmoja baada ya kuondoka Simba Sc. Chanzo Taarifa: maulidkitenge katika ukurasa wake wa Mtandao wa Thread Haya sasa wale WANAFIKI...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Vilabu vingi vya Tanzania vinapenda sana Kuchukua Makocha wa kujirudia rudia hasa walipoita Yanga na Simba?

    Sasa nyie Majirani zangu KMC FC huyo Kocha mnayemtambulisha leo hii Marcio Maximo ana jipya gani hasa la Kimpira?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…