Huyu ndiye simba ninayemjua!

Huyu ndiye simba ninayemjua!

Ngwathra

Platinum Member
Joined
Jul 11, 2007
Posts
6,363
Reaction score
12,303
IMG_2865.jpeg
 
Najua chawa wa mama wanapata kichefuchefu wakiona na kusikia haya ila wafanyaje sasa wakati lazima wapate choo! Maumivu yakizidi kamuone mganga tu maisha yaendelee!

Ila inawalipa coz hapa mchelengwa ataongeza dau na overtime ya kuchafua jamvi hili... ni mgawanyo tu wa majukumu
 
Hakimu ukute ana mambo mengi yanayomsongasonga asitoe uamuzi.Wakili mkuu wa serikali ANAZUNGUKAZUNGUKA tu,anasubiri maelekezo ya nini aseme.Teknolojia itawafanya wajisikie vibaya sana miaka ijayo.

Hakimu anapata wakati mgumu sana kumbuka dhamira inamshtaki kila anapoona anavunja haki makusudi ili awafurahishe mabwana walipaji!

Kazi ya kutumwa mbaya sana na hasa kama inahusu hisia za binadamu wenzako unaoona kabisa huwatendei haki kwa kuwa kuna mtu kakutuma!
 
Anatamani angemwambia Lissu nini kinamfanya asitoe uamuzi,kwani Lissu anasisitiza kabisa kua hii kesi ni ya kutengeneza tu,na hakimu anajua ni ya kutengeneza,wakili mkuu wa serikali naye anajua kua ni ya kutengeneza ila hana jinsi.Maelekezo ni mabaya sana.Wakili mkuu anaonekana mjingamjinga ili kuwafurahisha watawala,hakimu pia anaonekana FALA kwasababu ya influence ya watawala.
 
Anayoyadai Lissu yote ni ya msingi kabisa, CCM ni watu wa gizani. Pilepole kada wao pia kawastukia.
 
Anatamani angemwambia Lissu nini kinamfanya asitoe uamuzi,kwani Lissu anasisitiza kabisa kua hii kesi ni ya kutengeneza tu,na hakimu anajua ni ya kutengeneza,wakili mkuu wa serikali naye anajua kua ni ya kutengeneza ila hana jinsi.Maelekezo ni mabaya sana.Wakili mkuu anaonekana mjingamjinga ili kuwafurahisha watawala,hakimu pia anaonekana FALA kwasababu ya influence ya watawala.
Hakimu afanye kazi yake bila kumwangalia wakili wa serikali... wanapuyanga tu, kila siku ahilisho, ahilisho, ahilisho... Sasa umma tumekwisha jua kwamba ni halimu ndio magumashi... hata kitu kilicho wazi, hawezi kukitolea maamuzi... ni suala la kusema, " naifuta kesi hii, mkiwa tayari mkamateni tena na mleteni hapa tuendelee"... au akishindwa hilo, ni kutoa amri for contempt of court kwa mawakili wa serikali kutotimiza matakwa au amri ya mahakama na kuwapa adhabu ya kwenda gerezani siku sawa alizokaa tundu Lissu... huu mchezo wa ahirisho wakauonje huko gerezani
 
TAL alipaswa kuwa nchi kama Kenya, sisi tukishashiba tunakuja na fake id kumsifia na maneno matupu ya kinafiki.
 
Mambo ya kiroho ndiyo ni mambo ya Siri isiyoonekana kwa logic ya kawaida.Mambo ya Siri ni ya Bwana,Mungu wetu Kum 29:29.

Mahakama ya kibinadamu hutumia logic kupima hoja mbalimbali za utetezi na ushahidi ndipo majaji ambao ni binadamu pia hutoa hukumu.

Sio sahihi, sio sawa na sio haki kwa mahakama ya kibinadamu kutumia logic kupima hoja za mashahidi wa siri(mashahidi waliofichwa).

Kikomo sahihi cha mahakama ya kibinadamu ni kwamba mahakama ya kibinadamu inatakiwa kutumia logic kupima hoja za mashahidi wa wazi sio kuficha mashahidi.Tofauti na hapa,wanatafuta kuingia katika vita ya kiroho kitu ambacho kiko nje ya uwezo wao.

Kwenye kesi ya Lissu nina kubaliana naye kupinga kuficha mashahidi maana hiyo ni mahakama ya kibinadamu tu mashahidi hawatakiwi kufichwa.
 
Hakimu afanye kazi yake bila kumwangalia wakili wa serikali... wanapuyanga tu, kila siku ahilisho, ahilisho, ahilisho... Sasa umma tumekwisha jua kwamba ni halimu ndio magumashi... hata kitu kilicho wazi, hawezi kukitolea maamuzi... ni suala la kusema, " naifuta kesi hii, mkiwa tayari mkamateni tena na mleteni hapa tuendelee"... au akishindwa hilo, ni kutoa amri for contempt of court kwa mawakili wa serikali kutotimiza matakwa au amri ya mahakama na kuwapa adhabu ya kwenda gerezani siku sawa alizokaa tundu Lissu... huu mchezo wa ahirisho wakauonje huko gerezani
Hahahahaa! nakuunga mkono.
 
Mawakili hairisho (gvt) wanaboa sana mwamba anatoka anyongwe wao wanaomba mahairisho mudawote

wapumbavu sana
 
Back
Top Bottom