simba

  1. JamiiForums Tanzania Wasemaji wa team ya Simba na Yanga wamenishangaza sana leo!

    Yaani leo ndio nimejua kumbe mpira wetu nikama siasa zetu tu hatupoki professional kabisa. Wasemaji wote wa simba na yanga wameongea kuhusu mechi za kimataifa zinazokuja. Ajabu wapo bize kwenye press wakijiandaa kwenye kampeni kubwa kuanzia jumatano za kupita mtaa kwa mtaa ili kupata washabiki...
  2. JamiiForums Tanzania Simba tunaomba CAF watupangie Mamelodi robo fainali

    Niwaombe Caf, chonde chonde watupangie Masandawana au Mamelodi sundowns. Naona wanajitapa sana huko mitandaoni na mbaya zaidi wanasema wakikutana na sisi watatugeuza kama kitoto cha simba mbele ya kundi la fisi 40. Kwa heshima ya mpira wa Tanzania na afrika kwa sasa timu pekee inayoweza kuziba...
  3. JamiiForums Tanzania Simba atafungwa na Raja zaidi ya goli 6 huko Morocco

    Ndio, ni hesabu za CROSS MULTIPLICATION. Mwaka 1998 Yanga alidraw na Raja hapa Dar es salaam, Morocco akapoteza kwa goli 6. Sasa huyu aliyefungwa 3 Taifa, Morocco atapigwa ngapi?
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi Simba ilivyopata point sita inazotamba nazo

    Baada ya kuona kuwa in kikosi kibovu kuliko wakato wowote ule klabu ya Simba ilipoona imepangwa kundi moja na Raja, Horoya na Vipers wakaamua kuibomoa Vipers ili angalau wapate point 6. Wakamchukua Kocha wao ili wapate faida mbili katika mechi dhidi ya horoya kwanza Watakuwa wamevurugikiwa...
  5. JamiiForums Tanzania IFFHS yatoa timu 10 bora za CAF, Simba ya 9

    IFFHS imetoa orodha ya timu 10 bora za mwezi za CAF 1. Ahly - 220 points 2. Wydad - 170 points 3. Zamalek - 154 points 4. Pyramids- 140.5 points 5. Al Hilal - 132.75 points 6. Mamelodi- 127 points 7. CR Belouzidad - 117.75 points 8. Raja Casablanca - 117 points 9. Simba SC - 113 points 10. Petro...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo Ukubwa wa Simba: Timu 8 zitakazoenda robo fainali CAFCl, zote zinatokea nchi za Kiarabu isipokuwa Simba na Mamelodi

    Wakuu huwa tunaongea kimasihara hapa na kuiponda Simba, kumponda mwekezaji Mo Dewji na kimuita majina ya ajabu. Wacha-mbuzi uchwara nao utawasikia wakiiponda Simba na kuiita timu ya hovyo. Lakini kiukweli Simba japo haipo kwenye kiwango chake cha ubora, bado ni timu kubwa sana Afrika...
  7. JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

    Mchezo ni saa 16:00Vikosi vyote kwa timu mbili vimetolewa Timu zinaingia uwanjani Mchezo unaanza 1' Phiri anafika langoni mwa Mtibwa anashindwa kutumia nafasi vizuri 3'Goooooooooo Jean Baleke anafunga goli kwa kwanza kwa Simba licha ya kubanwa na walinzi 7' Goooooooooo Baleke anafunga goli la...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said: Simba anacheza mashindano bora kuliko Yanga, Magoli yake yana thamani kubwa kuliko ya Yanga

    Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho. Kutokana na kutofautiana ubora kufunga goli kwenye ligi ya mabingwa ni vigumu zaidi kuliko Shirikisho hivyo magoli ya...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga itaenda kuvunja rekodi zote zilizowekwa na Simba kimataifa

    Ukitazama kwa jicho la kimpira utakubaliana na mimi ya kuwa klabu ya Yanga itafika mbali zaidi ya ilipofikia Simba kwenye michuano hii ya CAF. Ikumbukwe Yanga inashiriki kombe la shirikisho Afrika ambalo mwaka jana Simba alifika robo fainali, ila hakuna klabu yoyote nchini iliyowahi kuvuka nusu...
  10. JamiiForums Tanzania Takwimu za mechi za Simba vs Vipers & Yanga vs AS Real Bamako

    Simba pasi 569 na zilizofika kwa usahihi ni 473, Vipers pasi 324 na zilizofika kwa usahihi ni 239, Yanga pasi 393 na zilizofika kwa usahihi ni 301, Bamako pasi 350 na zilizofika kwa usahihi ni 261. Pasi za Simba zilizofika kwa usahihi ni nyingi kuliko pasi zote zilizopigwa na timu nyingine...
  11. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC, niliwatahadharisheni mapema mno kuhusu hili hapa JamiiForums na leo ndiyo mnalifanya acheni Dharau sawa?

    GENTAMYCINE zaidi ya mara Tatu (tena hapa hapa) JamiiForums na Threads zangu zipo niliwaonyeni (niliwatahadharisheni) kuwa mkikaribia Kucheza Mechi Kubwa za Kimataifa na Kitaifa msiwe mnajiandaa (mnafanya Mazoezi) katika Uwanja wetu wa Bunju wa Mo Arena kwa sababu za ndani nilizowapa ila...
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli unaoonesha Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu

    Hizi ni baadhi za facts kuonyesha kuwa sisi mashabiki wa Simba El de colo ni mbumbumbu; 1. Kuamini kuwa timu yao itavuka Robo Fainali kwa hili pira butua butua - tunashinda ila hatuna furaha. 2. Kuendelea kuwaamini wazee kwenye kikosi. 3. Usajili mbovu - timu ilijisifu kupata uwekezaji mkubwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Simba ni timu tishio kwa sasa klabu bingwa, imekamilika kila idara

    Hii ni timu tishio kwenye kundi lao kwa sasa, inacheza direct football ikiwatumia wachezaji wao hatari wenye kasi na nguvu kusukuma mashambulizi mbele, ni timu yenye beki imara sana wakiongozwa na beki kijana bwana joash onyango, Na ilo limeonekana kwenye mechi zote mbili walizocheza na timu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Simba bado kuna mgogoro, usipotatuliwa Horoya watatutia aibu kwa Mkapa kama tulivyofanyiwa kwa Galaxy Gwaneng

    Dah, we acha t
  15. JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba Roberto asepe

    Mpira anaocheza simba ni wa hovyo na ni style ya huyu mwalimu mpya Roberto. Wachezaji wapo ila hawapangwi ktk sehemu zao wachezaji wana struggle sana kucopy style ya kocha huyu na hawapo teyri. Yanini kung'ang'ania mfumo usioendana na style ya wachezaji waliopo. Kwa kikosi cha simba kama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ahsante Simba kwa kushiriki ligi ya Mabingwa

    Mechi za ushindi Kwa timu ya Simba zimemalizika rasmi Leo Kwa ushindi mnono dhidi ya vipers. Mechi hivyo imeifanya Simba kuwa nafasi ya pili Kwa alama sita nyuma ya vinara Raja club athletic. Timu ya Simba inachuana vikali na Horoya katika nafasi ya pili hivyo yeyote kati Yao atafuzu. Kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Opah Clement aondoka Simba Queens, apata dili Uturuki

    Opah Clement aliyekuwa mshambuliaji na nahodha wa Simba Queens ameondoka kwenda kuanza maisha mapya katika timu ya Wanawake ya Besiktas ya Uturuki. Hadi sasa kwenye Ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women's Premier League) mzunguko wa kwanza umemalizika Opah ndiye kinara wa ufungaji akiwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kila la heri Simba SC. Tanzania kwanza

    Leo Simba SC, wahuni wa pale mitaa ya kati katika mitaa ya Msimbazi, watajaribu tena bahati yao kuwania nafasi ya kushiriki hatua ya Robo Fainali katika Ligi ya Club Bingwa Afrika. Leo watakipiga katika dimba la nyumbani Uwanja wa Benjamini Mkapa, wakiwakaribisha vibonde wenzao katika kundi...
  19. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 1-0 Vipers SC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa Stadium | 07.03.2023

    Leo majira ya saa 1:00 usiku, katika dimba la Benjamin Mkapa, Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika watakuwa wanawakaribisha Vipers Sc katika mchezo muhimu sana. Huu ni mchezo ambao Simba anahitaji alama zote 3 kwa hali na mali ili kujiwekea mazingira mazuri ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Chaka la simba halilali nguruwe

    Kuna hofu kubwa imetanda juu ya mwelekeo wa uongozi wa Mama Samia kulingana na matukio mengi yanayojitokeza kila siku iwe ya Ukiukaji wa maadili, uvunjaji sheria, haki na Usalama wa Wananchi upo mashakani. Kuna hofu kubwa imetanda mioyoni mwa watu kama ugonjwa ya Uviko maana hawajui hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…