Jana kulikuwa na harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM yanga iliwakilisha vizuri tu lakini simba hakukuwa na mwakilishi wwte yule pamoja na mama kuwapa kila kitu mpk ndege kikubwa wangechangia hata milion 50 bhad sio ivo kukaa kimya sio picha nzuri kwa serikali yetu kwani CCM ndo chama...
Familia ya wamiliki wa Simba kina MO dewji wanasifika kwa ubahili na kubana matumizi kama Wapare, Familia hii inayomiliki club ya Simba huwa wakinunua wachezaji wa Bei Rahis ili kuweza kubana matumizi, hali inayopelekea ushindani na club ya yanga kuwa ndogo, kwani yanga kupitia bilionea GSM huwa...
Wakuu!
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka."
"Lakini hatutapokea...
Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine).
Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi)
Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba...
Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza.
kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa...
1.Dua kubwa na nzito inatakiwa kufanyika kuwalinda wachezaji wetu, narudia kama hakuna Dua wachezaji Hawa wakitua uwanja wa Ndege tu wakati wanarudi wameyakanyaga, asikwambie mtu Utopolo hawana wanachokitegemea zaidi ya kuwategeshea miba.Uwanja wa Bunju hadi wanakokaa wachezaji walindwe kwa Dua...
Mkiambiwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni habari nyingine kwa Taarifa za Ndani na sina Mpinzani hapa JamiiForums muwe mnakubali tu na hata kunipigia Saluti Kudadadeki. Haya upesi sana huyu Mchezaji wetu mpya na Fundi wa Kufunga Magoli Jonathan Sowah aitwe na aonywe kuwa Simba SC hatutaki Ndodi za...
Na hata Timu yao ya Uganda Cranes ilipoweka Kambi yake si mbali na Kwangu na isitoshe Rafiki yake mkubwa wanayecheza nae Vipers FC Hillary Mukindane ni Mwanangu na alishanikutanisha nae miezi kadhaa. Na ndiyo Mchezaji huyu huyu hapa hapa JamiiForums niliwaambia Simba SC nimemwona na atatufaa...
1. Sio mchezaji mahiri kama tunavyoaminishwa
2. Yuko slow kama Jean Charles Ahoua
3. Hana maajabu yoyote uwanjani
4. Hana uwezo Kama Rally Bwalya ambaye style yake na Meama zinafanana
5. Wachezaji wa afrika kusini hawawezi kufua dafu ligi yetu
6 Meama kutolewa kwa mkopo ni sawa kabisa...
Katika viwango vipya vya Shirikisho la mpira Afrika CAF 2025, simba sc imeibuka kinara wa afrika mashariki na kati huku ikishika nafasi ya 5 barani afrika, wakati yanga sc ikishika nafasi ya 12 kwenye orodha hiyo ya vilabu bora.
Klabu ya Simba SC imeshika nafasi ya tano kwenye orodha ya vilabu bora Barani Afrika kwa mujibu wa viwango vipya vilivyotolewa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF).
Simba SC wamekusanya jumla ya alama 48, wakizidi vilabu vikubwa kama Pyramids FC, Wydad Athletic Club na Zamalek SC ambavyo...
Baadhi ya Mashabiki wa Simba SC wamechukizwa na post hii ya kumpongeza Mohamed Dewji kutajwa kuwa ndie Tajiri namba Moja Tanzania.
Je Kuna shida yoyote kumpost Mohamed Dewji na kumpongeza kwa Utajiri wake kupitia ukurasa wa Klabu ya Simba ambapo yeye ndie muwekezaji wa Klabu.
Wakuu, hivi hawa Simba Scouting yao ipoje? Yaan wamemuacha Zimbwe Jr eti Zimbwe Mzee? Nyie Simba mna akili kweli nyie Zimbwe Jr Mzee? Wakati Zimbwe Jr anapiga mpira vizuri sana tu, sasa mmemuacha Yanga wamemchukua subirini kufungwa na Zimbwe Jr.
Mlianza na Shomari Kapombe, Show Me The Way "Baba...
Moja ya jambo ambalo wengi hamjashtuka lililofanywa na Simba kuanzia mwishoni mwa msimu uliopita waliposaini mkataba na JayRutty hadi usajili wa sasa wa wachezaji wa Mamelodi, ni kuipa pressure ya kifedha Yanga.
Hizi timu mbili zinapenda sana kuigana. Kuna wakati hadi nakereka jinsi...
Hili nawahakikishia mtabaki kuwa mikia tu piga ua galagaza. Kombe mtakalo chukua labda liwe na Uji.
Kikwete anaipenda sana Yanga yeye na kundi lake kubwa nyuma yake. Na Samia naye automatically amekuwa mpenzi mkubwa wa Team ya Yanga. Hapo sasa nani atatusumbua? Nani?
Serikali ikiwa upande...
Ngoja leo niongelee kidogo timu yangu ya zamani ya Simba SC.
Hapo nyuma niliwahi kusema Jonathan Sowah siyo chaguo sahihi kwa Simba na nitakupa sababu kubwa tatu.
1. Sowah ni mzee na hajawahi kuonyesha uwezo wowote kimataifa. Huyu jamaa hata ukiangalia tu maumbile yake utagundua anachezea...