simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kata Funua Aliyopigwa Simba SC pale Kwa Mkapa na Makhirikhiri, Mo Dewji Alaumiwe?

    Mnaweza Kuwalaumu Wachezaji, lakini kwa ubora ule wa wakina Sakho, Kanoute na Banda ni vigumu sana kwa mtu mwenye akili kichwani kutarajia makuu kutoka kwao. Mnaweza kumlaumu kocha lakini kwa wachezaji alioletewa na Mo Dewji...anakosewa heshima. Licha ya kuwa Didier GOMES sio mwalimu mwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Simba Sc ikipigwa nchi hutulia.

    Mitaaani kuanzia kariakoo Msimbazi hadi mitaa ya huku kwetu huwezi kusikia makelele. WanaSc punguzeni makelele mnaposhinda hasa mkipata kabao komoja.
  3. JamiiForums Tanzania Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

    Ni Simba Sports Club Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Fc Kutoka Botswana. Baada ya Mechi Iliyopita Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli Mbili Bila Ugenini, Leo Jwaneng Galaxy Wanakuwa na Kibarua Kizito mbele ya Miamba ya Soka Afrika Simba Sc kuhakikisha Wanapata Ushindi Wa Goli 3 bila Dhidi ya Wenyeji Wa...
  4. JamiiForums Tanzania Akiwa hajamaliza saa 24 tangu apewe uhamasishaji Simba SC, tayari Mwijaku ameanza 'kumchefua' Murtaza Mangungu

    Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu. Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa Simba SC 'Samjo Samjo' Mwinjaku muda si mrefu Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu amekasirishwa na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwijaku amewahamasisha muanze kutembea kama mlivyozaliwa, nadhani Simba mmepata mtu

    Muhamasishaji ndio huyo keshapatikana, mambo yameanza kwa mashabiki na viongozi wote wameshahamasishwa watembee uchi mitaa ya Mwenge hadi Kawe. Kama haitoshi kasema kabisa tuwapige mawe hadi mjifie hayo sio maneno yangu ni maneno ya muhamasishaji wenu. Tunasubiri ahamasishe wapi mtaanza kua...
  6. JamiiForums Tanzania Yaani kabisa Try Again, CEO Barbara na Chairman Mangungu mmeamua mumteue 'Samjo Samjo' Mwinjaku kuwa Mhamasishaji Mkuu wa Simba SC?

    Yaani kwakuwa tu alitumia mwanya wa Ugomvi wa aliyekuwa Msemaji wetu Haji Manara na kuanza Kumjibu kisha akaanza Kujipenyeza kwa CEO Barbara, Siku ya Simba Day akahonga 'Stewards' pale kwa Mkapa ili aende VVIP akapige Picha na Mwekezaji Mohammed Mo Dewji kisha akautumia ukaribu wa Kibiashara wa...
  7. JamiiForums Tanzania Simba sc tunajambo letu

    Kuna kasumba inayoendelea ya kuusu mwijaku kupewa kitengo cha huamasishaji watu kubeza naona kama wanakosea yule ni mwahamasishaji na wala si afisa habari wa timu. Kwa mpira wa bongo ulivyo tunaitaji watu kama hawa ili game ichangamke timu inaitaji hamasa naona kwa Mwijaku nafasi hiyo kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Muhamasishaji wa Simba Mwijaku

    Kwamba Mwijaku Ndio anaongea na Wachezaji anakuja Kuwaeleza Mashabiki Wa Makolo Fc? Ila Mwijaku alitafuta sana Huu Uhamasishaji wa Team, alikuwa anajipendekeza Sana kwa Baba. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya kuhamia Yanga SC na kuidhalilisha Simba SC, leo Haji Manara akishinda tuzo ya msemaji bora wa Simba SC ataikataa?

    Huenda leo kuna Mtu akadhalilika na Kujichoresha kwani anaenda Kupokea Tuzo ya Mhamasishaji na Msemaji bora ya TFF akiwa Simba SC ambayo ametumia muda mwingi Kuichafua na Kuidhalilisha baada ya kuhamia Yanga SC. Alivyo mtupu Kichwani najua akishinda ataenda Kuipokea ila kwa mwenye Akili Timamu...
  10. JamiiForums Tanzania Simba Sc yafunika vigogo wenzie ugenini

    Kama mechi za round ya kwanza ni timu 3 tu zilizopata matokeo ugenini. Kama hujui nakujuza kwamba timu zilizocheza ugenini ndio timu bora kuliko wenyeji, ndio maana miongoni mwao timu 10 zimeanzia hazikucheza preliminary stage. Katika timu hizo Simba Sc imefunika zote ikifuatiwa na Raja...
  11. JamiiForums Tanzania Hongereni Simba SC kwa 'Kutuheshimisha' Watanzania na Biashara United FC kwa 'Kutung'arisha' wana Mkoa wa Mara (Musoma)

    Hamjatutangaza vibaya Watanzania na Tanzania ya sasa ya Rais Samia kama 'Wendawazimu' wengine ambao Furaha yao na Ubingwa pekee walionao ni Kukusanya Waganga wa Kienyeji nchi nzima, Kukata Kiganja cha Mtoto Mkoani Tanga na kwenda Kuroga eneo hatari la Nungwi kwa Msaada wa Boti ya Taasisi Moja...
  12. JamiiForums Tanzania Azam Tv, Simba SC na Watangazaji wa Michezo Redioni mnatuchanganya kuhusu Muda wa Mechi ya Simba SC na Wabotswana leo

    Azam Tv katika Ukurasa wao wanasema Mechi ni Saa 9 Alasiri leo. Simba SC katika Kurasa zao wanasema Mechi ni Saa 10 Jioni leo. Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni wamegawanyika wapo wanaosema ni Saa 10 na wengine wakisema ni Saa 9. Tafadhali mwenye uhakika Kamili wa muda wa Mtanange (...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nimezima East Africa Radio, kuna jamaa anasema Manara ndiye aliyeifanya Simba SC kuwa kubwa

    Nimezima na redio kabisa kuna jamaa anasema manara ndiye aliyeifanya simba kuwa kubwa na kwa sasa hamna kitu sababu mashabiki wengi wamemfata utopoloni. Hivi ile sheria ya kuwa na chetti kwa hawa watangazaji inaanza lini jamani Kipindi kinaitwa kipenga xtra zengwe, kama walevi vile
  14. JamiiForums Tanzania Haji Manara nawapeleka Simba mahakamani kwa kunifanysha kazi bila mkataba

    Msemaji wa Dar es Salaam Young Africans HAJI SUNDAY MANARA amekaririwa na vyombo vya habari akisema ya kuwa anaenda MAHAKAMANI kuishtaki Simba kwa kosa la kumfanyisha kazi kwa miaka mingi bila kumpatia mkataba. Vilevile kosa Hilo ni sambamba na kutomwekea pesa zake katika mfuko wa hifadhi za...
  15. JamiiForums Tanzania TFF Ishaanza Kuwasetia Simba SC Viporo Kwenye NBC Premier League

    Ni mizunguko ya mechi mbili tu ambazo zimepita tangu ligi kuu Tanzania bara ya msimu wa 2021/22 ianze. Tayari TFF (Wallace Karia) imekwishaanza kuweka mazingira ya kuzalisha viporo kwenye ligi. Yaani ndio kama hivyo, mapeeeeeemaaaaa! Hebu fikiria. Ratiba ya mechi ya inapelekwa mbele siku saba...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwako Beki Dickson Job japo Mimi ni mwana Simba SC, ila kuendelea Kucheza Kwako NBC Tanzania Premier League ni sawa na Kututukana Watanzania

    Tanzania miaka hii ya karibuni tumemtoa Mshambuliaji Hatari kabisa Mbwana Ali Samatta na kiukweli ametutangaza Watanzania ma Kaitangaza vyema Tanzania yetu. Na leo Mightier natabiri hapa hapa kuwa kwa huu Uchezaji mzuri na wa Kiwango cha Juu na cha Kimataifa anachokicheza sasa akiwa Yanga SC na...
  17. JamiiForums Tanzania Simba SC vs Yanga SC nje ya uwanja

    Top 10 timu zenye wafuasi wengi katika mtandao wa Tweeter kwa ukanda wa CECAFA 1. SimbaSCTanzania - 647 K 2. Yangasc1935 - 167 K 2. OfficialGMFC - 161 K 4. Azamfc - 142 K 5. AFCLeopards - 100 K 6. Rayon_sports - 67.2 K 7. KCCAFC - 58.5 K 8. VipersSC - 47.9 K 9. Aprfcofficial3 - 46.8 K 10...
  18. JamiiForums Tanzania Wachezaji Wengi Wa Simba SC Walioenda Kwenye Timu zao za Taifa Wamezisaidiaje?

    Jana na Juzi tulishihidia mitanange ya kufuzu kuelekea World Cup huko Qatar. Nilikuwa na hamu na shauku kubwa kujua ni namna gani wachezaji wamezisaidia timu zao za Taifa kushinda. Hasa timu fulani hapa nchini ambayo ilijinasibu kupeleka wachezaji wengi kwenye Mataifa yao. Ni timu moja tu...
  19. JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba amjaribu Onyago beki ya kulia

    Naangalia mechi ya WC qualifications Africa Kenya dhidi ya Mali kocha kamuweka beki ya kulia na anaimudu vema. Simba tangu aumie pale kati anacheza Kennedy Juma au Mkongo yule akiwa na Wawa na ngoma inakwenda. Kulia kule anaanzaga yule Isra naona hajatulia sana kama Kapombe ambaye kasi yake...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Leo Mightier sikuishia tu Kuufurahia Ushindi wa Taabu wa Simba SC, bali hata Machozi yalinitoka na Kumshukuru mno Mwenyezi Mungu?

    Kama kuna Mechi ambayo kwa msiojua wengi wenu kwamba Simba SC imefanyiwa kila Hila na Kampeni ya Kimkoa na Kibunge ili iziache Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) zote pale Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma basi ni hii ya leo dhidi ya Dodoma Jiji FC. Tokea Siku ya Jumatano mpaka Alfajiri ya leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…