simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna Mechi ya Simba SC ninayoigopa kama ya leo dhidi ya Azam FC, ila tukishinda nitakuwa ni mwenye Furaha japo nina Hofu nayo

    Kiufundi nawaogopa zaidi Azam FC kuliko hata Yanga SC kwani Azam FC wana Wachezaji wenye Vipaji Asilia huku Yanga SC wakiwa na Wachezaji wenye Ushindani na Morali ya Juu. Hakuna Mechi ambayo inaniumiza Kichwa Kuiwazia mpaka kuwa na Hofu nayo kama hii ya leo kati ya Simba SC yangu dhidi ya Azam...
  2. Dabil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Thierry Hitimana avunja mkataba na klabu ya Simba

    Amevunja mkataba mchana huu na kila kitu kimeenda sawa kwa pande zote mbili. Ikumbukwe mechi ya Galaxy alikuwa benchi la ufundi la Simba na Gomes akiwa jukwaani ,anapigiwa simu na Gomes afanye mabadiliko akawa hapokei simu,tuliona hata kwenye tv Gomes anapiga simu haipokelewi,mwisho wa siku...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makocha Simba SC wafafanua sub ya Wawa

    Bongo kuna viwanda vya uzushi. Sub ya kocha Pablo mwenyewe lawama kashushiwa Matola, Rweyemamu na Hitimana. Shame on you all. Eti ooh Wawa anajisikiaje?! unadhani Wawa hamnazo?Hajui kocha alikuwa anaokoa point 3 kwa ujinga wa refa? Kwa msiojua English msikilize Hitimana
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale Wanasimba SC na wana Yanga SC mliokuwa 'mkinishambulia' JF nilipokuwa 'nikimsifia' Kibu Denis kuwa ni Hazina Kubwa mpo wapi leo?

    Kudadadeki GENTAMYCINE sijawahi Kumpenda na Kumsifia Mchezaji Mbovu au Mchezaji ambaye hafanyi kile nilichomsifu nacho. Nikisema au Nikichambua huwa nakuwa nina uhakika kwani hata huo Mpira wenyewe naujua na isitoshe nimeucheza vile vile tena katika Ngazi zote Muhimu za awali Mashuleni, Mtaani...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC upesi sana 'Watimueni' Kocha Matola na Meneja Rweymamu Kikosini kwani 'Wanamhujumu' Kocha Kipenzi Pablo

    Ni Shabiki wa Simba SC Mwendawazimu pekee ndiyo ataona Vitendo alivyofanya leo Kocha Pablo kwa Mchezaji Pascal Wawa na Kugombana na akina Matola pamoja na Rweymamu ni vibaya ila kwa Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE na tunaomjua Kocha Matola na Swahiba wake mkubwa Meneja Rweymamu wala...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sioni uzuri huo wa 'Sure Boy' ambao Wachambuzi wa Michezo leo mnamsifia nao. Wilson Oruma acha Unafiki na Kuichukia mno Simba SC

    Huko tunakoelekea mtatusababisha akina GENTAMYCINE tusiovumilia Upumbavu na Unafiki wenu tuwe tunakuja Kuwazaba ( Kuwawamba ) Vibao huko Studioni mliko kwani tumeshawachoka sasa. Eti Kiungo Aboubakary Salum 'Sure Boy' ndiyo Kiungo bora wa Uchezeshaji kuwahi kutokea Tanzania. Hivi nyie...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asanteni sana Uongozi wa Simba SC na Bodi ya Simba SC kutusikiliza 'Wadau' na kuamua kuwa Mchezaji Ousmane Sakho 'hatotemwa' Kikosini

    Naomba GENTAMYCINE nianze Kwanza kwa kutoa Pongezi kwa wana Simba SC Wenzangu wote ( hasa tuliopo hapa JamiiForums ) ambao tokea Juzi nilipoanzisha Uzi wa Kuzuia Mshambuliaji Ousmane Papi Sakho ( Raia wa Senegal ) Kuachwa ( Kutemwa ) Kikosini Simba SC kwa pamoja tulipaza Sauti zetu za Kuzuia...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama ni kweli ninapinga kwa Papi Ousmane Sakho 'Kutemwa' Simba SC

    GENTAMYCINE sijawahi Kukosea nikimpenda na Kumkubali Mtu kwani nina Jicho la Uhakika na la Kuona mbali pamoja na Ubora wa Mtu / Kitu. Simba SC koseeni kote ila msithubutu Kumuacha (Kumtema) Mchezaji Raia wa Senegal Ousmane Papi Sakho kwani mtakuja Kujuta na Kunikumbuka hadi Kumkubuka na Yeye...
  9. mugah di matheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saa 1500EAT Simba sc tuna Jambo letu

    Stay tuned Nasikia uwanja umeivaaa
  10. Efendi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya CEO wa Simba SC, Barbara Gonzalez kuzuiwa kuingia uwanjani, Simba huenda ikaanza ujenzi wa uwanja wake

    Habari Wanajamvi baada ya kupita siku moja toka ile Derby ya kukata na shoka ya watani wa jadi ambayo ilikuwa na kashkash ya hapa na pale na likishuhudiwa tukio la Madame CEO Babra Gonzalenz kuzuiwa kuingia VVIP leo kiongozi wa Simba crescentius Magori ambaye ni mshauri wa Rais ameandika haya...
  11. Bwajilo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Simba tuliingia mechi ya leo tukiwa hatujiamini

    Ni ukweli usiopingika kama timu hatukupenda kuingia game hii kwa wakati huu. Nilitazama barabarani, vibanda umiza na popote hata mashabiki wetu hawakujiamini kama msimu ulioishaId Idadi ya watu waliovaa jezi zetu bado ilikuwa ni ndogo sana kulinganisha na miaka ya karibuni nafikiri ni...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shikamoo Simba SC kwa Uchawi nilihakikishiwa Mvua ikinyesha Asubuhi leo Yanga SC anafungwa na inanyesha kweli sasa

    Asante CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah 'Try Again' kwa Kusikiliza Ushauri wa Wanachama na Kazi imeshamalizika hivyo leo wana Simba SC tunaenda kupata Furaha ya Ushindi. Kwa Uchawi uliofanyika, Umakini mkubwa wa...
  13. demigod

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC hamna uwezo wa kugomea mechi kama Yanga SC tulivyofanya

    Ukubwa wa Simba SC haujai hata kiganjani ukilinganisha na Yanga SC. Nasema haya nikimaanisha namna ambayo Yanga ilivyo more influencial kuliko Simba. Kama Simba ikigomea mechi kuna uwezekano mkubwa sana rungu la kukatwa point likàwashukia kwasababu hawana watu makini wa kutafsiri kanuni za...
  14. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benchi la Ufundi la Simba liwapange kikosi cha kwanza Paschal Wawa, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein na John Boko Mechi ya kesho!

    Wadau wa JF, Watanzania wote, Wapenzi wa Soka, Mimi ni mpenzi wa Klabu ya Yanga ila kwenye Mechi ya kesho ya Watani wa Jadi naombea sana Benchi la Ufundi la Simba liwapange wachezaji wafuatao kwenye Kikosi cha kwanza yaani 1st Eleven. John Bocco, Paschal Wawa, Shomari Kapombe & Mohamed...
  15. vnn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC yashika namba 105 kwa ubora Africa

    kwa mujibu wa CAF simba sc ya Tanzania imekua ya 105 kwa ubora Africa hii ni taarifa ya 5 December 2021 hongereni simba sc.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji na Viongozi wa Simba SC, nyie ndiyo wa kuniokoa; tukifungwa na Yanga SC Desemba 11 nitakoma hapa JF

    Viongozi wa Simba SC (hasa Poti wangu Crescetius Magori ) na Wewe Rafiki yangu mkubwa Kassim Dewji bila Kumsahau Mtani wangu wa Kiha (Muha) Mwina Kaduguda, Benchi la Ufundi (hasa Rafiki yangu wa Kimpira Kocha Selemani Matola) pamoja na Wachezaji wote wa Simba SC (hasa Mwanangu mwenyewe Jonas...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba Sc tuliona habari za TFF na GSM kupitia mitandao

    Naambiwa hapa hata Mdhamini Mkuu hakushirikishwa. Yeye kahoji kimya kimya asiharibu hali ya hewa. Hivi viongozi wa hovyo kama hawa wataisha lini.
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliapa na nilimaanisha Kazi imeisha Yanga SC anakufa 'nyingi' tarehe 11 Disemba, 2021 Wana Simba SC wote 'furikeni' Uwanjani

    Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!! Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu. Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunamsifu Bernard Morrison, ila kwa 75% hana Msaada kwa Simba SC na ni Mzigo, lakini kwa 25% ndiyo huwa anatusaidia

    1. Hakabi akipoteza 2. Anajiona Messi tayari 3. Ana Dharau zilizopitiliza za Mpira 4. Mchoyo (Mbinafsi) 5. Anaharibu Mashambulizi ya Tija 6. Amejipa Mamlaka asiyoyaweza 7. Utoto na Upuuzi vimeshamzoea Klabu iache Kumdekeza na Benchi la la Ufundi limwambie Klabu ( Simba SC ) Kwanza na...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

    Soma mwenyewe
Back
Top Bottom