simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Manara: Kama Simba SC akimfunga Dodoma basi niitwe Ashura cheupe

    Sasa ni Rasmi Manara ni Ashura cheupe 🤣🤣 Hivi ile kauli ya kuwa pale Yanga sc wenye akili ni wawili ina ukweli wowote?
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tukishinda leo nitafurahi, ila kiufundi nina wasiwasi na mazingira yake

    Tukishinda itakuwa ni furaha kubwa kwangu, ila kwa mazingira ya huu mchezo na mikakati fulani fulani naiona ni mechi ngumu kwa Simba SC, hadi kuhisi kuwa tunaweza kutoka sare, suluhu au hata kufungwa pia na Dodoma Jiji FC kama tusipojipanga vyema ndani na nje ya uwanja. Kwanini GENTAMYCINE nina...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji Mo Dewji please Say something hali si Shwari ndani ya Simba SC kama tunavyolazimishwa Kuamini

    Nimedokezwa na Mtu wa Ndani ambaye pia ni 'Credible Source' wangu kuwa hili la Dejan Mzungu ni cha Mtoto, ila kuna Fukuto Kubwa ndani kwa ndani ila linazimwa kwa Nguvu ya Soda tu. Nawaona taratibu sana Yanga SC wanaanza Kutoka katika Upuuzi uliopo na unaoendelea Kukomaa ndani ya Klabu yangu...
  4. black angel

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Dejan Georgijevic, Mzungu wa Simba Wavunjwa

    Nipo natafakari hapa ni hasira, masimango au kuna kitu kingine hadi mchezaji pendwa Dejan kusitisha mkataba wake? ==== Mshambuliaji Dejan Georgijevic ametangaza kuvunjika kwa mkataba na Klabu ya Simba kutokana baadhi ya vipengele kukiukwa. Dejan ameandika kwenye ukurasa wake “Nathibitisha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kitu pekee nilichokiona kwa Wasemaji wa sasa Ahmed Ally Simba SC na Ally Kamwe Yanga SC ni hiki Kifuatacho...

    Wote wana Corporate Personalities za Asili hasa na siyo ile ya Kulazimisha, Wasomi wazuri wa Mass Communication na wana Mvuto wa Kiushawishi hasa kwa Biashara na Mashabiki wa Vilabu vyao husika. Siyo unakuwa na Msemaji muda wote ukiwa nae Jirani unasikia tu harufu ya Sigara, Bangi, Pombe na...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc ijiandae na fitna nchini Angola

    By ELIUS KAMBILI NILIKUWA pale Luanda, Angola na Namungo iliyokwenda kucheza na Clube Desportivo 1 de Agosto mwaka jana. Lakini wageni hawakugusa mpira hata wa mazoezi kutokana na vihoja kutawala nje ya Uwanja. Simba msimu huu imepangwa kucheza na klabu hiyo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc kukomba zaidi ya Bilioni 2.3 CAF

    CAF wameongeza zawadi katika mashindano CAF Champions League ▪︎ Mshindi atapewa $3.5 Million (Kabla zawadi ilikuwa $2.5 Million) ▪︎ Mshindi wa pili: $1.750 Million ▪︎ Timu zitakazofika nusu fainali: $1 Million ▪︎ Timu zitakazofika robo: $800,000 Ikumbukwe kwamba Simba Sc wana malengo ya kufika...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu acha 'Kujishtukia' na 'Kujihami' tunakujua Wewe ndiyo 'Kirusi' Kikuu ndani ya Klabu yetu

    Kama kuna sehemu ambayo GENTAMYCINE nilikuwa nakutamani ujilete Mwenyewe na nikuparure Kihasira kama Simba Mnyama afanyavyo Msituni ni hii uliyoingia ( uliyojiingiza ) Mwenyewe. Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu hivi karibuni umekuja na Shutuma kuwa kuna Watu ndani ya Simba SC...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC nawaomba Okra awe anaanza Kikosi cha Kwanza na Sakho atokee Benchi au hata asipangwe kabisa

    Kama kuna Mchezaji wa Simba SC ambaye Kutwa anatupandisha Hasira wana Simba SC na hatujui ni kwanini Makocha huwa wanapenda Kumuanzisha First Eleven ni huyu Pape Ousmane Sakho. Na kama kuna Mchezaji ambaye Simba SC ni muhimu, tegemeo na Lulu Kwetu kutokana na Kipaji chake Tukuka ( tena kumzidi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kuchakata uongo dhidi ya Simba na mawakala wake, wapandieni dau wako sokoni wanajiuza

    Mara mojamoja tu Simba warushieni vijisenti hawa ndalakyuya, wako sokoni wanajiuza hawana tofauti na wale viumbe wa corner bar mwenye dau kubwa ndiye watamuheshimu na kumnyenyekea, wengi wao hawajui hata taaluma ya uandishi ni kitu gani, hopeless creatures Kwa sasa PESA ZA MWARABU...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni Simba SC ipi kati ya zifuatazo iliyoshinda Jana dhidi ya Nyasa Big Bullets FC kule Malawi?

    A. Simba SC ya Mgunda? B. Simba SC ya Matola? C. Simba SC ya Wachezaji wa Kufurahia Kuondoka kwa Kocha Maki? D. Simba SC ya Wachezaji Wenyewe kuamua Kuwajibika na Kujitoa kuipigania Jezi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nilidhani kwenye Upuuzi ni kule Simba SC tu kumbe hata huku kwa Yanga SC ndiyo kuna Upuuzi zaidi?

    Rasmi Kocha JUMA MGUNDA ameidhinishwa na CAF kwahiyo atakaa kwenye benchi la Simba SC hapo kesho. Wakati huo huo Kocha NASRIDINNE MOHAMED NABI amezuiwa na CAF kukaa kwenye benchi kwa kukosa vigezo hivyo KAZE CEDRIC ataongoza benchi la Yanga SC. Nimeitoa katika Ukurasa wa Twitter wa Mchambuzi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Niliposema kwa kujiamini kabisa kuwa ndani ya Simba SC kuna matatizo makubwa nilikuwa namaanisha

    CEO Barbara alituletea Kocha Pablo akituaminisha ni Kocha bora hakukaa akamtimua. CEO Barbara akatuletea Kocha Zoran na kusema ni Kocha bora hakukaa juzi wamemtimua Kidiplomasia. CEO Barbara Msimu mpya wa Ligi ulipoanza akaja na Slogan kuwa Simba SC haishikiki na haizuiliki na kwamba itabeba...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Sijaona kwa sasa Timu Bora Tanzania kama Yanga SC na Mbovu kama ya Simba SC

    Kwa mziki huu unaachaje kuipenda Yanga SC kwa mfano.....? 1. Djigui Diara 2. Djuma Shaaban 3. Lomalisa Mutambala 4. Dickson Job 5. Yannick Bangala 6. Khalid Aucho 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum Fei Toto 9. Fiston Mayele 10. Stephane Aziz K 11. Bernard Morison Na hawa ndiyo Mabingwa tena wa...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hivi Juma Mgunda alichukuliwa kama kocha au Mganga wa timu?

    Katika hali ya kawaida , jambo lililotokea kwenye timu yetu ya Simba, si rahisi kusema kwamba limetokea kwa bahati mbaya. Sisi wengine tukiangalia uwezo na elimu kubwa waliyonayo viongozi wa Simba, akiwemo mtendaji mkuu tunaona hili jambo lilikuwa mpango maalum. Kutokana na kufahamika kwa elimu...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Coastal Union yatoa tamko kuwa haina mkataba na Kocha Mgunda

    Klabu ya Coastal Union imetangaza kutokuwa na mkataba na Kocha Juma Mgunda ambaye kwa sasa anaitumikia Simba akiwa kocha wa muda. Coastal imeeleza mazungumzo ya kusaini mkataba mpya baina yao na Mgunda yalikuwa kwenye mchakato, hivyo suala la Mgunda kujiunga na Simba ni la kwake binafsi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshaanza kuwasaidia Big Bullets FC ya Malawi ili Waifunge Simba SC ya Barbara na Matola tarehe 10 Sept 2022

    Na sotoishia hapo niliahidi na sasa natekeleza hata Mechi ya Marudiano Wiki ijayo Dar es Salaam pia nitawasaidia kwa kutoa Siri Kubwa za Kimchezo za Simba SC na mpaka Uchawi Wao wanaoutumia. Na nikiona bado Kocha Msaidizi Matola hajatimuliwa Simba SC na Barbara nae hajatuachia Simba SC naahidi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kutoishabikia Simba SC kwa muda na kuisema vibaya mpaka Kocha Msaidizi Matola ang'olewe Simba SC

    Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
  19. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC tafadhali kama Matola ni Kocha Msaidizi wa kudumu, mtueleze sisi mashabiki

    Sina tatizo na Juma Mgunda (Guardiola Mnene) kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC kwani natambua uwezo wake ila tatizo langu ni kwanini Matola Yeye haondoshwi Simba SC kama wanavyoondoshwa makocha wengine? Uongozi wa Simba SC tafadhalini sana kama wenyewe kisirisiri kutokana na upumbavu wenu...
  20. Singo Batan

    JamiiForums Tanzania Matajiri watatu wanavyonogesha Ligi yetu ya NBC

    Ligi yetu ya NBC sasa inaonesha kuwa na ushindani mkubwa na malengo ya kufika mbali. Hii inachagizwa sana na jeuri na nguvu ya pesa kutoka kwa matajiri wetu wa Bongo. Battle ya fedha sasa inaonekana kwenye soka, hii sio tu inaleta raha na ushabiki kindaki ndaki katika soka, pia imezidi kufungua...
Back
Top Bottom