simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC na Pamba SC afariki dunia

    MOROGORO: Kocha na mchezaji wa zamani wa Pamba SC, Simba SC na Taifa Stars, Amri Ibrahim amekutwa amefariki jioni ya jana Jumamosi Aprili 08, 2023 baada ya majirani kuona hajatoka nje kwa muda mrefu, wakalazimika kuita mwenyekiti wa mtaa na kubaini kuwa amefariki. Baadaye polisi walifika na...
  2. S

    Kocha wa Wydad nilikuwa sifahamu kuhusu Simba SC

    📝 "Nilikua siijui Simba, nimekuja kuijui baada ya kupangwa na Raja Casablanca kwenye makundi,Kwa jinsi nilivyoiona mechi mbili na Raja,inabidi mashabiki wao wazidishe maombi" Juan Carlos Garrido kocha wa Wydad
  3. Simba SC haiwezi kuwa kubwa bila kupigana na wakubwa

    Lazima tukiri kuwa tumepata mpinzani mgumu kwenye hatua ya Robo Fainali, na pengine ni mpinzani mgumu zaidi tangu tuanze kushiriki hatua hii. Hapa unamzungumzia bingwa mtetezi, unamzungumzia mshiriki wa Club World Cup, unazungumzia timu yenye wachezaji waliotoka Nusu Fainali ya Kombe la Dunia...
  4. Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

    Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku. Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi • ES Tunis 🇹🇳 • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • Wydad Club Athletic 🇲🇦 Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya • A = USM Alger...
  5. Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe acha Kuhangaika kukua katika Usemaji kwa Kuichafua Simba SC

    Hakuna asiyekujua kuwa Wewe ni Yanga SC 100% na hivi sasa unatumika na Watu wa Yanga SC yako ya Moyoni ( japo upo Azam FC na Azam Media ) kama sehemu yako ya kujipatia Ugali wako wa 24/7. Tunaokujua ndani nje ( hasa GENTAMYCINE kwakuwa tuko katika Tasnia Moja ) tunatambua kuwa Rafiki yako...
  6. D

    Kila la kheri Mnyama Simba SC

    Me ni Yanga lialia ila kesho nataka mnyama apate matokeo mazuri dhidi ya Raja Casablanca! Timu zetu zimefika hatua nzuri sana kimataifa na ningependa kuona zinasonga mbele zaidi ili tuweke historia! 😂 Kuonesha nipo serious naweka mkeka Sokabet, asa ole wenu mnichanie mkeka wangu! Tarehe 14...
  7. Shaffih Dauda: Nani anawafelisha Simba?

    Imeandikwa kwenye ukurasa wa Shaffih Dauda. Muda mwingine nikikaa nikifikiria natamani nikae kimya, ila ndani ya moyo wangu kuna sauti inaniambia, "Dauda Sema Baba, Sema tu, Chungu siku zote ndio dawa" Japo nafahamu muda mwingine usajili ni kama KAMARI, au tuseme bahati nasibu. Lakini kwa...
  8. Kuumizwa na mafanikio ya Simba Sc ni maradhi ya kujitakia

    Mafanikio ni nini? Mafanikio ni hatua ya kufikia au kuzidi malengo uliyojiwekea. Kwa lugha ya kigeni tunaita Goal Achievement. Simba tumekuwa na malengo kadhaa kila mwaka. Moja ya malengo yamekuwa ni kufanya vizuri kimataifa na kwa kiwango kikubwa tumekuwa tukifanikiwa kifikia malengo yetu...
  9. Kapombe, Zimbwe JR waitwa Stars haraka kuiwahi Uganda

    Licha ya ushindi bado mapengo yao yalionekana Sasa aibu imewatoka wamewarudisha kundini fullbacks bora afrika nzima. ====== Taarifa hiyo imetolewa na Rais wa TFF, Wallace Karia wakati akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam alitoa taarifa iliyokuwa ikinahusu kuogezwa kwa...
  10. Tukisema Simba sc ni timu kubwa Africa huwa mnabisha haya jioneeni wenyewe hapa

    Cheti timu zilizoingia robo fainal caf champions kisha lingalisha na hizo zilizoingia shirikisho. Simba baba lao, hakuna kunguni yeyote aliyepo shirikisho anaweza kugusa hapo.
  11. Yanga iongeze bidii kujifunza kwa Simba Sc

    KUNA wakati huwa hatupendi ukweli. Tunapenda kudanganyana kwa sababu tu ya ushabiki. Ni kama hili la Simba na Yanga kimataifa. Nimeona tambo za Yanga katika michuano ya Kombe la Shirikisho. Wanatamba kuwa watafanya vizuri na kufika mbali. Wanatamba kuwa wao ni bora kuliko timu yoyote nchini...
  12. Mfungaji Bora NBC: Simba Sc imetuheshimisha

    KINARA wa mabao wa Ligi Kuu Bara kwa msimu uliopita, George Mpole anayekipiga FC Lupopo ya DR Congo kwa sasa amesema kutinga kwa Simba katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imeiheshimisha Tanzania na kutoa fursa kwa vijana kupata nafasi zaidi za kutoka nje ya nchi. Simba...
  13. Haji Manara vs Ahmed Ally na Ally kamwe, nani ameweza kujaza uwanja wa Mkapa?

    Nakumbuka zile mechi za CAF za Simba kipindi Haji Manara Afisa habari wa Simba, alikuwa anajaza uwanja wa Mkapa alikuwa ana press nyingi sijui, atembee kwenye masoko, gereji, kariakoo n.k, Haji Manara kwenye uhamasishaji Yuko vizuri kuliko Ahmedy Ally na Ally kamwe Ahmedy Ally kwenye...
  14. Simba SC yavunja rekodi ya Raja kuifunga Yanga goli 6

    Hii ni rekodi ya vipigo vikali kuwahi kutolewa katika mashindano ya klabu bingwa Afrika. Tulichofanya leo ni kuvunja rekodi ya Raja kumchapa Utopolo goli 6. 1998: 🇲🇦Raja [6-0] 🇹🇿Yanga 2001: 🇮🇪ASEC Mimosas [7-0] CR 🇩🇿Belouizdad 2019: 🇨🇩TP Mazembe [8-0] 🇹🇳Club Africain 2023: 🇹🇿Simba [7-0]...
  15. Kama una Mwanamke Muongeaji mwenye ma Stori halafu anashabikia Simba SC, tulia naye!

    Uko kazin? Upo wapi sahiz? Umekaa na nani?. Umekula nn?. Umelala na nani? Mnaongea nn?. Hizo ndio Stori za Bidada wangu Mchepuko wangu madam Fulani Hivi Mwalimu 🤣🤣 Hana Stori kabisa, yeye ni maswali mwanzo mwisho, ni maswali mwanzo mwisho !!.Maswali mpaka Anaboa, nimeshamwambia hivi wee...
  16. FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

    Mnyama Mkubwa Mwituni asiyefugika, Simba Sports Club anashuka dimbani leo kuikabili Horoya AC katika mchezo muhimu wa kundi C. Simba itaingia uwanjani ikiwa na alama 6 huku Horoya wakiwa na alama 4. Ushindi wa aina yoyote utawafanya Simba wafuzu robo fainali. Leo ni ama afe kipa au afe beki...
  17. Simba Sc yaendelea kuingiza timu 4 mashindano ya CAF

    SIMBA imeshaipa neema Tanzania 🇹🇿 baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo. Kitendo cha Simba kuwepo katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hadi sasa kimeihakikishia Tanzania pointi moja. Aidha Yanga kuwepo...
  18. Hassan Dilunga "HD" amepona na ameanza mazoezi Simba SC

    Hassan Dilunga amerejea tena Simba Sc mara baada ya kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu. Picha zimemuonesha HD akiwa mazoezini huku akitupia jezi mpya za mazoezi za Simba SC. Hii itakuwa habari njema kwa Wana Simba na Taifa Stars.
  19. Simba tunaomba CAF watupangie Mamelodi robo fainali

    Niwaombe Caf, chonde chonde watupangie Masandawana au Mamelodi sundowns. Naona wanajitapa sana huko mitandaoni na mbaya zaidi wanasema wakikutana na sisi watatugeuza kama kitoto cha simba mbele ya kundi la fisi 40. Kwa heshima ya mpira wa Tanzania na afrika kwa sasa timu pekee inayoweza kuziba...
  20. FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

    Mchezo ni saa 16:00Vikosi vyote kwa timu mbili vimetolewa Timu zinaingia uwanjani Mchezo unaanza 1' Phiri anafika langoni mwa Mtibwa anashindwa kutumia nafasi vizuri 3'Goooooooooo Jean Baleke anafunga goli kwa kwanza kwa Simba licha ya kubanwa na walinzi 7' Goooooooooo Baleke anafunga goli la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…