simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Simba SC inakwenda kuwanyamazisha wengi

    Nimeiangalia Simba sc kwa utulivu, ikicheza mechi zake tatu zilizooneshwa. Nikiri wazi kuwa Simba imebadirika na inacheza mpira mkubwa tofauti na mpira uliokua ukichezwa na kina babacar sarr, kina kanoute n.k (hapa mashabiki maandazi na mashabiki wa ile timu inayorukaga mageti ili ipate access...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ili kuuonyoosha Uongozi wana Simba SC tungekuwa na Akili tungesusia kwenda Viwanjani, ila kwakuwa tunapenda Kudanganywa kama Kuku tunaenda tu

    Nikiambiwa kwa sasa nitoe Alama za Kikosi cha Simba SC cha sasa baada ya Kukiona natoa ni 10% tu, ila 90% Kibovu. Soma Pia: Mashabiki wa Simba tukatae kukosa weledi kwa viongozi wa timu Mangungu Simba sc hapamfai,Na Mashabiki Hawamuhitaji Mangungu. Nawapongeza mno Mashabiki wa Simba SC kwa...
  3. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yanga imejipata, kuitazama Simba lazima uwe na msokoto wa bangi pembeni

    Yanga wapo kwenye kiwango bora cha maisha yao. Kweli itatuweka huru. Japo ni kweli iliyobeba gharama zenye hisia ya maumivu kwa mashabiki wa Simba. Yanga wanacheza kitimu katika muunganiko uliotukuka. Wame copy na ku paste maisha ya 'siafu.' Hakuna kutegeana, timu ina morali kama haijawahi...
  4. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kusajili bila kocha yameanza kuonekana Simba SC kabla hata msimu kuanza

    Wakati simba wanasijili bila kocha tuliongea na kusema sio utaratibu ila mashabiki wa simba walitukebehi na kutubeza amekocha kocha kuna baadhi ya wachezaji amesema haridhishwi nao kama lakred, ngoma, koblan na onana. Mpaka sahivi timu imeingia gharama nyingine ambazo hazikua na ulazima za...
  5. Labani og

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Simba ina mabosi wengi, Yanga ina watendaji wengi

    “Siku ya Mwananchi Uwanja Tulikabidhiwa saa 6 usiku, kama ingekuwa simba ndio wamekabidhiwa ule uwanja muda huo asubuh kila mtu angeshika kichwa, wangefanya mambo ya hovyo kwasababu wana maboss wengi watendaji wachache. “Ilivyofika saa 6 usiku kila mtu alishika eneo lakini hadi saa 12 asubuh...
  6. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba Wengi humu JF wanaongoza kwa mihemko na Wameingia kwenye Mfumo wa mashabiki wa Utopolo

    Mashabiki wa wenzangu wa Simba acheni Mihemko na lawama kwa viongozi zisizo na msingi kwa kuongozwa na mihemko na maneno ya mashabiki wa utopolo. Kocha Fadlu Davis tokayupo Pre Season kule Misri baada ya game mbili za kirafiki alisema kuna tatizo kwenye safu ya Ushambuliaji na mchezaji...
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Huyu coach wa Simba Fadlu Davids na viongozi wataikwamisha project ya Simba, wana wenge sana

    Nilivomuona sio mtulivu. Au labda hajawahi kuwa coach mkuu popote alikuwa msaidizi huko kote alikotoka, hivi Simba hawakupata cv za coach wa maana Kwa ajili ya project yao? Coach amekuja amefanya pre season na team, wamewaona mastriker wote Mukwala na Fred na akawa ana sifia ati ana team nzuri...
  8. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimehama Simba rasmi ni Yanga, Wananchi mnipokee

    Kusema ukweli nimevumilia miaka hii mitatu kuona kama hili litimu litabadilika nimegundua Simba SCni ya mambumbumbu fc haitobadilika miaka 10 mbele aisee nimeona Bora niamie Young Africans pira Gamondi. kilichonifanya nihamie ni Jana baada ya kuiadhibu tawi la Simba Kwa mpira safi jamani...
  10. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Simba haitoifunga Yanga, itaendelea kuchezea vichapo

    Kama nilivyosema hapo juu hii simba itaendelea kuchezea vichapo mpaka akili za mashabiki wa simba ziamke kwamba muhindi na mpira wapi na wapi. Wachezaji wote wa Simba usajili wao ni million 100 yaani mwaka huu Simba wametumia million 100 kusajili maana sio Kwa hii mizigo waliyoileta msimu huu...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani kabisa eti Kocha Msaidizi huko alikotoka leo hii mnategemea aje akutane na Warithi wa Maradona Kigamboni na mchukue Ubingwa NBC na CRDB FA Cup?

    Tajiri keshajua kuwa anamiliki Timu yenye Majuha wengi na Mashabiki wenye Ujuha ndiyo maana anafanya alitakalo.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Young African imekuwa tishio kutokana na uongozi imara. Simba jifunzeni kwao

    Hongera sana Young African kwa kiwango bora na chakushangaza. Hakika hakuna timu ya kuifunga Yanga hapa Tanzania. Hatua hii ni kutokana na uongozi imara usio na tamaa. Simba S.C sio kwa ubaya ila yafaa mjiulize na kujifunza kwao kwani kujiuliza kwa aliyefanikiwa sio vibaya. NB: Young African...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaomba TFF wachukue mapema alama zote za Simba SC wapewe Yanga na Azam kabla Ligi Kuu ya NBC haijaanza

    Kwa UPUMBAVU niliouona nina uhakika Alama zangu zote 6 naziacha kwa Yanga SC ( nikimaanisha Nakandwa ndani nje ) na Alama zangu 4 ( nikimaanisha Azam watanifunga Mechi moja na nyingine nitajitutumua nao kwa Sare ) hivyo GENTAMYCINE niwaombe tu TFF wala wasichelewe kufanya hili kwani wenye Kuujua...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Taja members ambao hujawaona tena hapa JamiiForums tangu Simba SC ifungwe na Yanga SC ili tuwatafute popote walipo wasije wakawa labda walishajinyonga

    naanza na huyu rodrick alexander yupo wapi?
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kuna member mmoja maarufu sana hapa JF akisema ukweli wake kuhusu Simba SC, wana Simba wanampuuza

    Na baada ya kujua kuwa wana Simba SC wa jamiiforums wanapenda kusikia unafiki basi nae pia amekuwa mnafiki tu.
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jonas Mkude alivyowaponza wachezaji watano wa Simba kwa tuhuma za kuuza mechi ya derby

    Ile mechi ya derby Simba anakufa goli 5 haikuiacha timu salama. Inadaiwa Wachezaji 5 wa Simba, Chana, Manula, Saidoo, Inonga na Baleke, walituhumiwa kupokea kiasi kikubwa cha pesa toka jangwani. Muhusika mkuu aliyefanikisha hiyo miamala anadaiwa kuwa ni Jonas Mkude ambaye uongozi wa Simba...
  17. feyzal

    JamiiForums Tanzania Yanga inatoa wapi wachezaji? Inaniuma sana aisee, jana nimeshindwa kulala

    Hata kusalimia sisalimii kifua kimenibana kwa uchungu ,hivi hawa Utopolo wanapata wapi wachezaji jamani haiwezekani kila mchezaji wakichukua anakua moto yaani hawakosei na kama wakikosea basi kidogo sana. Mfano nimzungumzie namba 3 yao ,yule Boka dah lile jamaa refu,lina control,spidi na lina...
  18. Megalodon

    JamiiForums Tanzania SIMBA SC na Azam, kuna kitu Yanga anawafundisha lakini hamuelewi. Mpira hauna shortcut

    Yanga imechagua professional football over drama na traditional ways of doing things na kimsingi wapo serious . Hakuna mambo ya ulaghai. Kalumanzila na mpira wa mdomoni.. everything ni kwenye pitch , tuoneshe kikosi cha bil 7, otherwise ni drama na traditional ways of doing things. Very soon...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Itoshe kusema kuwa Mfalme wa soka nchini Tanzania, Simba Sc imepata mshambuliaji hatari Abubeker Nessir. Mabeki ya NBCPL wajiandae kulala na viatu

    Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika. Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji wa kimataifa wa Ethiopia, Abubeker Nessir kutoka klabu ya Mamelodi. Niwape tu habari kuwa huyu jamaa...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Full Time: Coastal Union 0-1 Simba SC | Mkapa Stadium | Mshindi wa tatu | 11/08/2024

    Mchezo wa Ngao ya Jamii kutafuta mshindi wa tatu mchezo unachezwa uwanja wa Benjamin Mkapa kati ya Coastal Union dhidi ya Simba SC. Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi kubwa sana. Dakika 5, Simba wanaumiliki mpira sana na kufanya mashambulizi kwenye lango la Coastal. Dakika 8, Mutala anakosa goli...
Back
Top Bottom