simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kocha mwenye sifa za kuporomosha kila timu anayopewa. Fadlu David kaishaua uwezo wa kila mchezaji Simba Na mbeleko zote toka mechi ya Azam

    Sikuwaelewa Simba kwa Fadlu David. Record mbovu mno aakiwa kocha mkuu. Anakuja kupewa timu kwa record za akiwa asistance kocha. Kila timu ikienda mapumziko inarudi ikiwa mbovu kuliko awali. Timu ilishinda kwa uwezo binafsi tu wa wachezaji sio mfumo. Mechi ya mbili za awali Simba inabebwa...
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Refa amepiga filimbi ya kumaliza mpira baada ya kuona Simba SC wanataka kufungwa goli nyingine

    Leo tumeona maamuzi mabovu ya refaree mechi ya Simba SC vs Coastal Union Mwamuzi kamaliza mpira mchezaji akiwa kwenye move ya kufunga goli hivi hizi mbeleko mpaka lini Hawa Simba SC aisee naagiza huyu refa afungiwe Simba SC hoi huko KMC Complex tukiwaambia timu hamna hapo wanakataa haya Leo...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

    Simba SC VS Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024 Mechi itachezwa uwanja wa KMC Complex saa 10: 15 Jioni
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Speed hii ni kali sana, round ya 4 tu tayari Simba ana 100% ya upendeleo

    Mwaka huu Simba wamedhamiria kwelikweli: Simba imecheza mechi nne na tayari zote (100%) imebebwa kupata matokeo. Round 1. Simba imepangiwa mechi na timu (Tabora) ambayo haikukamilisha usajili wa wachezaji, ikapata ushindi. Round 2. Simba imepangia mechi na timu (Fountain gate)ambayo pia ilikuwa...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba SC yazidi kuimarisha kikosi chake na yamtangaza Elie Mpanzu

    Vigogo wa Tanzania, Simba SC wamethibitisha kumsajili Elie Mpanzu Kibisawala kwa mkataba wa miaka miwili akitokea As Vita Club. Mpanzu anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza ya Premier League mapema mwakani. Hata hivyo, winga huyo huenda akajumuishwa kwenye kikosi cha Simba kinachoshiriki...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Simba wana jambo lao usiku wa leo? Je, ni jambo gani?

    Kupitia ukurasa wao rasmi wa Simba Sports Club wanaandika: Kwa tunachokwenda kufanya leo saa 5:00 usiku mtegemee malalamiko mengine Je, wana jambo gani hawa watu?
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF Yapendekeza Hersi Said apate posho ya Milioni 136.5 kwa mwaka kama Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limependekeza posho ya kila mwaka ya dola za Kimarekani 50,000 sawa na Shilingi Milioni 136.5 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika (African Club Association - ACA). Pendekezo hilo litajadiliwa kwenye Mkutano wa 46 wa Kawaida wa CAF, unaotarajiwa...
  8. uran

    JamiiForums Tanzania FT: Dodoma Jiji FC 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 29.09.2024

    Another game, Mzunguko wa Nne. Dodoma Jiji wanaikaribisha Simba SC ya Dar es sala Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma. Kikosi cha Dodoma Jiji Kinachoanza. Kikosi cha Simba Kitakachoanza #nguvumoja# Ushindi mwingine ugenini. Updates za Mchezo Kipindi cha Kwanza. ===========================...
  9. utopolo og

    JamiiForums Tanzania Sioni wa kuitoa Simba nafasi ya pili kwenye ligi kuu NBC

    Nilikuwa nina matumaini sana na Azam kwamba watamaliza nafasi ya pili msimu huu, ila baada ya mechi ya leo nawaondoa kwenye kinyang'anyiro hicho.. Singida Black Stars nao bado wana nafasi ila nadhani katikati ya msimu pumzi itawaisha nao kurudi kwenye nafasi yao kama mid-table team. Simba...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Azam: Timu yangu imecheza vizuri, tatizo refa

    Soma Pia: FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024
  11. Chief Ortambo Ikumenye

    JamiiForums Tanzania Simba iachane na hawa wachezaji

    1. Mutale - anacheza kama ana shoti kichwani, mbio nyingi output zero... ukiwa na mchezaji type hii ushindi wako utakuwa ni ule wa mafuluku na magoli ya papatu papatu... huwezi ku achieve sustainability. Huyu makocha wasijichoshe hafundishiki tena kwa level yake 2. Kijili - huyu naye ni kama...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 Niliyoyaona leo Azam vs Simba Uwanja wa Amani

    1. Refa ni wa simba Mpira wetu matokeo tunapanga sana. refa katumwa na simba washinde mechi. shame ila alikwau na maelekezo 2. Magoli yote offiside ya simba. Kibendela nae katumwa. yani hii ligi refa ni alajiga tu. wengine wote ni wezi. sio kwamba quality awana ila wanatumwa. kitu awajui ...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 12 Niliyoyaona leo Azam vs Simba Uwanja wa Aman

    1. Hivi kocha wetu kweli haoni tofauti kati ya Jean Charles Ahoua na Awesu Awesu? Hata asiyejua mpira anaweza kuwatofautisha wachezaji hao 2. Hivi kocha unawezaje kumtoa Kibbu ambaye ametolewa akiwa bado Ana energy ya kutosha na madefender wa Azam bado walikuwa wanamhofia? 3. Shomari Kapombe...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tunautaka Uongozi wa Simba Sc uhakikishe Ateba habadilishani jezi yake baada ya Mechi na vifaa vyake vya mazoezi vilindwe kwa gharama yoyote

    Ni kipindi kirefu washambuliaji wetu wa kigeni kila wanapofika hapa Bongo huwa wanahujumiwa na Mahasimu wetu licha ya kuwa na rekodi nzuriya ufungaji magoli huko watokapo. Chondechonde tunautaka uongozi wa Simba Sc uhakikishe safari hii washambuliaji wetu hawafanyiwi vitendo vya kishirikina...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 0-2 Simba SC | NBC Premier League | New Amaan Complex Zanzibar | Septemba 26, 2024

    Alhamis hii katika NBC Premier League ni Mzizima Derby, Azam FC kukipiga na wekundu wa msimbazi Simba SC Mtanange huu utapigwa katika dimba la New Amaan Complex, Dakika ya 15 Goooal Ateba Azam 0 - 1 Simba
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Simba inajilinganisha na miamba ya Afrika lakini Yanga wamekomaa kujilinganisha na Simba

    Simba kimataifa kwa miaka ya karibuni inajitutumua ili iwe kama vilabu vikubwa barani Africa, Al Ahly, Zamalek, Al hilal, As Vitta, Nkana, TP Mazembe, Mamelod, Kaizer Chiefs nk Lakini cha kushangaza watani wanataka kuvunja rekodi za Simba na muda wotewabajiringanishana kuiongelea Simba kama...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Azam FC yangu mbovu. Kesho Simba wachukue tu point 3

    Nimewacheki Chama langu Azam fc . Bado wana a lot of individualism . Kila mtu yupo kivyake . Awana timu , in short kesho Simba Ana point 3 zake mapema tu. Azam fc sijui nani aje ? Sema deal ni kuchukua Makocha wa Simba au yanga wakisuke KIKOSI vizuri. Sema Azam fc Dini nyingi sana . Huu ndo...
  18. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ KEN GOLD vs YANGA Sc saa 10 kamili jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Ken Gold SC🔰💪🏽 Mpira umeanza Dakika ya 2 boka anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 3 Max anafanyiwa madhambi Dakika ya 6 Ken 0-0 yng Dakika ya 10 Max anafanyiwa madhambi Dakika 12 Goal...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mutale akiachwa Simba SC ili Mpanzu aingie nitakuwa ni mwenye Furaha kubwa ila kwa aliyemsajili Mutale Simba SC atuombe Radhi upesi

    Mchezaji huwezi kuwa Mfupi kama Mutale halafu hapo hapo Umenenepa hovyo na una Kichwa Kikubwa ukawa mzuri.
  20. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Mama Samia vilabu vya Simba na Yanga vipe sapoti mwaka kesho wasajili wachezaji wa viwango vya hali ya juu utanishukuru nakuambia

    Mama Samia wewe na wanasiasa wenzako endeleeni kubanana hivyo hivyo huku ukiendelea sisi wananchi tupe zindiko tu la kusapoti vilabu vyetu vya Simba na Yanga tupate burudani ya mpira na nyie muendelee kufinyana huko na kutembelea magari yenu ya kifahari. Soma Pia: Rais Samia kununua kila goli...
Back
Top Bottom