simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania SAIKOLOJIA YA SOKA: Usajili wa Elias Mpanzu Simba SC ni usajili wa kisiasa ili kuwapumbaza mashabiki na wanachama kuficha makosa, Mpanzu ni Garasa

    Kama kawaida wakuu. Sijawahi kumuona Mpanzu akicheza uwanjani kama ambavyo wana Simba wengi hawajawahi kumuona akicheza uwanjani. Jana hotuba ya Mo akiwahutubia wwnachama alisema amesajili wachezaji 16 pia amemleta Mpanzu. Yaani ktk wachezaji 16 mpanzu ni wa 17, katajwa kivyake. Ktk hao 16...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji, Awaonesha Mashabiki Ramani Mpya ya Mo Simba Arena

    Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye. Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo, Mo Dewji amesema "Hii ni ramani...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu: Inakuwaje Timu Iliyoongozwa na Malofa Ikapigania Uhuru?

    Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, anasema kwamba historia inadhihirisha tofauti kati ya timu za soka, akitaja Simba kuwa na wachezaji wenye akili huku akieleza kuwa timu iliyoongozwa na Malofa wanawezaje kusaidia mapambano makubwa katika kuleta uhuru. "Tumesoma vitabu vya historia na klabu...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Haya ni maoni yangu kama mpenzi wa Simba: Ahmed Ally hatufai, anaichomesha timu

    Nimewahi kusema na narudia kusema huyu kijana ana gundu. Tangu afike hakuna chamaana Simba alicho fanya. Tutabadili wachezaji wote, makocha wote ila hatutafika popote. Hana bahati na Simba.
  5. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Mchawi wa Simba hua ni Simba nyie wenyewe

    Nilikua napita Twitter nikakutana na Clip ya shabiki mmoja wa Simba yule Tomboy wa Rasta anasema Kauli ya Ally Kamwe ichunguzwe ety kwanini alisema vile Kwa kujiamini na kweli imetokea.😂😂😂😂 Ally Kamwe alisema "Simba hii haiwez shinda Match 5 mfululizo Kamwe" Yana anasema Viongozi wa wajibike...
  6. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Simba SC yapewa ONYO na BMT kuhusu uvunjanji wa Katiba na Uongozi mbovu

  7. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 15 ya Kuwashauri Viongozi wa Simba baada ya kuambulia Sare vs Coastal Union Leo

    Mambo 15 ya kuwashauri viongozi wa Simba 1. Mikakati ya Yanga ni migumu nyie kuijua hivyo Yanga anaweza kubeba ndoo miaka 10 mfululizo 2. ⁠Msitumie neno Ubaya Ubwela vibaya coz mwisho wa msimu mtakosa cha kutuambia mashabiki wenu 3. ⁠Bado kuna wanafiki wapiga dili ndani ya timu yetu ambao sio...
  8. feyzal

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya mazoezi KMCC, Simba imeanza kufeli

    Napata sana mashaka na hili jambo. Iko hivi siku zote inajulikana uwanja wa mazoezi wa Yanga ni Avic town huko ndo kuna kambi yao na mazoezi yao. Lakini baada ya msimu kuanza na simba kua na speed kali ya kutia watu dozi kubwa katika uwanja huo,utopolo nao wakaenda kufanya mazoezi hapo jambo...
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mgunda alishindaje gemu zake na akina Chasambi na Kabaraka. Tena bila upendeleo. Huyu ana Mavambo, Ahoua, Ateba anawaua na refa lakini wapi

    Kuna vitu huwezi kufoji kabisa. Ukiwa na kocha mbovu utalaumu wachezaji bure tu. hamtaki onana, fred na mh. Hilo linauzi mnooo. Kocha ashindwe kila timu aje aibukie simba. Hakuna mtu kabisa hapo
  10. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kwanini Lamek Lawi hakuwa sehem ya Mchezo wa leo dhidi ya Simba

    Mechi Imetamatika Ikishuhudiwa Simba akiondoka na Sare ya goli Mbili Kwa Mbili Dhidi ya Coastal Union (Wana Mangushi). Lakini Mjadala Unabaki Kwa Nini Lamek Lawi Hakuwa Sehem ya Kikosi Cha Coastal union kilicho Cheza Mchezo Wa Leo Dhidi ya Simba. Soma Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini timu żenye udhamini wa GSM zinaisumbua sana Simba?

    Timu zote kuanzia Yanga, Dodoma, Coastal, Namungo, Pamba, Singida, Tanzania Prisons nao sijui wapo katika udhamini kila zinapocheza na Simba ngoma inakuwa ngumu sana. Hawa Coastal wachovu nao eti wamedinda, sio wao ni wale wauza magodoro mipango yao imefanikiwa leo na itaendelea kufanikiwa...
  12. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Simba SC siyo timu ya kuiamini

    Nilitegemea Simba watapata ushindi tena mnono kulingana na status za timu zote mbili ni kama mbingu na ardhi, Leo Simba wamenikera sana, mbaya zaidi wamenichania mkeka, nimekwazika mno. Hata dabi ya October 19 nina wasiwasi inaweza kuahirishwa tofauti na hapo Simba inaweza kuchapwa kwa mara...
  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Simba Kama ilitaka kocha mzungu, Mpenda vijana na mkuza vipaji basi Julien Chevalier wa Asec. Kama ni huyu Fadlu. Bila bahasha tunaweza shuka daraja

    Julien yupo Asec toka 2017. Kila mwaka anauza nyota wote lakini msimu unaofata anakiwasha kimataifa. Kajaza nyota kibao ulaya na Africa. Tunaenda kuchukua kocha mshusha viwango. Aliishusha kiwango Orando Pires wakamfukuza. Akarudi timu ya awali Murtzsburg akaishusha daraja kabisa. Na huko...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 12 niliyoyaona leo Simba Vs Coastal Union

    1. Kocha Fahdu na Jean Charles Ahoua ndio walioiua Simba leo, Ahoua yuko slow, mchoyo na hajui kupiga faulo, kila nikitoa maoni mnatukana leo mmeona 2. Jean Charles Ahoua kama ndio MVP ligi ya kwao basi Ditram Nchimbi ana uwezo wa kucheza soka Ivory Coast 3. Kama Simba ingecheza na timu nzuri...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Yanga, Sasa umeanza kunasa

    Watu walianza kushangilia ushindi wa goli nyingi Kwa kucheza na wagonjwa yaani team ya Fountain gate na Tabora United ambao wachezaji wao walikuwa hawajakamilisha vibali mkawapiga mkataba mpaka BBC, Yanga tukawachek tukaaema mtanasa tu Sisi taratibu tukaanzia Away mechi mbili za mwanzo...
  16. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kocha mwenye sifa za kuporomosha kila timu anayopewa. Fadlu David kaishaua uwezo wa kila mchezaji Simba Na mbeleko zote toka mechi ya Azam

    Sikuwaelewa Simba kwa Fadlu David. Record mbovu mno aakiwa kocha mkuu. Anakuja kupewa timu kwa record za akiwa asistance kocha. Kila timu ikienda mapumziko inarudi ikiwa mbovu kuliko awali. Timu ilishinda kwa uwezo binafsi tu wa wachezaji sio mfumo. Mechi ya mbili za awali Simba inabebwa...
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Refa amepiga filimbi ya kumaliza mpira baada ya kuona Simba SC wanataka kufungwa goli nyingine

    Leo tumeona maamuzi mabovu ya refaree mechi ya Simba SC vs Coastal Union Mwamuzi kamaliza mpira mchezaji akiwa kwenye move ya kufunga goli hivi hizi mbeleko mpaka lini Hawa Simba SC aisee naagiza huyu refa afungiwe Simba SC hoi huko KMC Complex tukiwaambia timu hamna hapo wanakataa haya Leo...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024

    Simba SC VS Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024 Mechi itachezwa uwanja wa KMC Complex saa 10: 15 Jioni
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Speed hii ni kali sana, round ya 4 tu tayari Simba ana 100% ya upendeleo

    Mwaka huu Simba wamedhamiria kwelikweli: Simba imecheza mechi nne na tayari zote (100%) imebebwa kupata matokeo. Round 1. Simba imepangiwa mechi na timu (Tabora) ambayo haikukamilisha usajili wa wachezaji, ikapata ushindi. Round 2. Simba imepangia mechi na timu (Fountain gate)ambayo pia ilikuwa...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba SC yazidi kuimarisha kikosi chake na yamtangaza Elie Mpanzu

    Vigogo wa Tanzania, Simba SC wamethibitisha kumsajili Elie Mpanzu Kibisawala kwa mkataba wa miaka miwili akitokea As Vita Club. Mpanzu anatarajiwa kucheza mechi yake ya kwanza ya Premier League mapema mwakani. Hata hivyo, winga huyo huenda akajumuishwa kwenye kikosi cha Simba kinachoshiriki...
Back
Top Bottom