simba sc

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1936 as Queens, the club later changed their name to Eagles, then to Sunderland. In 1971 they were renamed Simba (Swahili for "Lion").
Simba is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Young Africans. Simba have won 21 league titles and five domestic cups, and have participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.
Nicknamed "Mnyama" (The Beast) or "Wekundu wa Msimbazi" (The Reds of Msimbazi), Simba play their home games at the Benjamin William Mkapa Stadium and the National Stadium. In 2020 Simba were the fastest growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba kwanini mnafuraha na draw ya Al Ahly Tripoli?

    I will be short Simba fans are actually happy with the goalless draw against Al Ahly Tripoli despite the 50% - 50% chance of qualifying in the group stage here at home. Simba had a bad game. Imagine: 1. Zero shots on target. 2. Low ball possession. 3. Outrun. 4. Outperformed. 5. Referee...
  2. chibuOG

    JamiiForums Tanzania Simba SC wamechea kikubwa na kimkakati

    Simba Sports Club pamoja nakuwa na kundi kubwa la wachezaji wapya pamoja na benchi la ufundi jipya kabisa lakini bado wameonyesha kuwa wao ni timu namba moja kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na Namba 6 kwa ubora kwa vilabu Afrika nzima.Yaani ule mpira waliocheza jana ndio huwa unampa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania ANGALIZO muhimu sana kwa Uongozi wa Simba SC na Mashabiki wote wa Simba SC kutoka kwa mwenye Simba SC yangu GENTAMYCINE

    Baada ya Jana Timu yetu Kujitahidi na kutoa Sare ya Suluhu (siyo Samia) na Wachezaji wetu kufanyiwa Fujo pale Uwanjani (nchini Libya) nina uhakika wa 100% ili Kuingiza Timu yetu matatizoni (kama sehemu ya Kulipiza Kisasi) kuna Timu moja yenye Utoto, Roho Mbaya, Ushamba, Chuki iliyopitiliza dhidi...
  4. Labani og

    JamiiForums Tanzania Bora hata Azam FC alipiga on target nyingi Kwa APR kuliko Simba SC hii

    Uchambuzi wangu Bora hata Azam tunaweza kusema walikufa kiume....Kwani walipambana Kwa kupiga mashuti mengi ambayo yalilenga lango japo hawakuwa na bahati. Ila ndugu zangu makolo. Wana kikosi heavyweight cha thamani ya 7b billion.....lakini hawapiga suti hata Moja la kulenga goli...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimemuona Kagoma. Simba imrudishe Kagoma ni mali yetu. Acheni figisu ni bonge la mchezaji

    Simba wametufanyia uhuni. Kagoma jana aliwafanya waarabu wakimbie pale kati. Wakaamua kukimbilia pembeni. Jamaa si mwoga kabisa. Na ni mjeuri jana kacheza kama vile ni mzoefu. Yanga hii mali tuliiwahi. Simba wamekuja kutupora. Mungu anawaona nyie Mkia. Tunawapeleka CAS. Soma Pia: Mwanasheria...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kibu Denis wewe sio wa kuanzia benchi. Uamuzi sahihi ni kuondoka

    Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis. Nikiangalia Simba yote naona hakuna striker wa kukuweka benchi. Ondokana na ujinga huu. Soma Pia: Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka Kibu kuisumbua Simba, Taswira mbaya kwa timu
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 niliyoyaona leo Simba vs Al Ahly Tripoli

    1. Kama Simba ingefungwa leo lawama angebeba kocha wetu, kocha kabisa una taaluma zako umeaminiwa kufundisha klabu kubwa kama Simba unadiriki kumnyanyua na kumuingiza Valentine Mashaka akawasumbue waarabu kweli? Fahdu umeniudh sana. 2. Wanasimba lazima tukubali wapo wachezaji katika timu yetu...
  8. Half american

    JamiiForums Tanzania Kwa Simba SC hii kama taifa tujiandae kwa aibu

    Leo simba wamecheza chini ya kiwango sana, mashabiki wengi wanasema sababu ni heshima ya ugenini ila sikubaliani na hilo. Hawa wajukuu wa Ghaddafi wapo vizuri sana, kwa kiwango hichi cha simba sitoshangaa wakifungwa hapa nyumbani. Soma Pia: Mashabiki wa Simba Sc hawapaswi kuwa na matarajio...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly Tripoli 0-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Tripoli International Stadium | 15/09/2024

    Mnyama Simba SC, yupo Tripoli, Libya tayari kwa kukipiga na Al Ahly Tripoli, kombe shirikisho Afrika. Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 2:00 usiku. Kaa karibu na uzi huu ili ujue kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC

    Beki wa kati, Lameck Elias Lawi, ameanza rasmi leo katika kikosi cha Coastal Union kinachocheza dhidi ya Mashujaa FC, mechi ya ligi kwenye uwanja wa KMC Complex. Lawi amejiunga na Coastal Union baada ya majadiliano ya muda mrefu kati ya Simba Sports Club na Coastal Union, ambapo Simba ilikubali...
  11. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania TFF itoe adhabu kali kwa Simba kwa kumchezesha mchezaji wa timu nyingine, Singida FG na kagoma waadhibiwe kwa udanganyifu

    Baada ya Timu Yanga kuthibitisha pasi na shaka, Tena kwa kutoa vithibitisho vya mikataba halali vinavyothibitisha kwamba mchezaji Yusuph kagoma, ambaye ni mali ya SFG kuingia mkataba na Yanga, Kisha mchezaji huyo kutumika katika michezo miwili ya Simba, mmoja dhidi ya Tabora utd na mwingine...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Yanga: Mchezaji Yusuph Kagoma alisaini mkataba wa miaka mitatu na Yanga

    Mwanasheria wa Yanga, Simon Patrick, ametoa ufafanuzi juu ya umiliki wa mchezaji Yusuf Kagoma baada ya mazungumzo marefu na klabu ya Singida Fountain Gate. Patrick alisema, "Tulianzisha maongezi ya muda mrefu na Singida Fountain Gate kwa lengo la kununua rasmi Yusuf Kagoma." Kwa mujibu wa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba Sc hawapaswi kuwa na matarajio makubwa sana Timu yao kuifunga Al Ahly Tripoli

    Naweza kusema kwa sasa klabu ya Simba SC hususani mashabiki wa klabu hiyo hawapaswi kuwa na matarajio makubwa kwa timu yao kupata matokeo chana mbele ya Al Ahly Tripoli ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika. Ukitazama kikosi cha Simba kwa sasa kina wachezaji wapya wengi na kocha pia ni...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida

    Mdau wa michezo, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Waziri wa Fedha, ameeleza matamanio yake ya kuona kiungo wa Azam FC na timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars", Feisal Salum (Fei Toto) akiichezea klabu ya Singida Big Stars baada ya kuvitumikia vilabu vya Yanga, Azam na Simba. "Mwanangu buana...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally atoa kauli kuhusu sakata la Yusuph Kagoma na Yanga SC

    Mmesikia huko 😂 Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametumia ukurasa wake wa Instagram kuelezea kuhusu mchezaji wao, Yusuph Kagoma, na uvumi unaozunguka hatma yake. Ahmed Ally ameandika: "Klabu yenu inampenda sana Yusuph Kagoma, yaani kila mkilala mnamuota. Roho zinawauma...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Vilabu mmesikia huko: Kukodi Uwanja wa KMC ni milioni 6

    Vilabu vya Tanzania ambavyo havina viwanja na kila msimu wanakodisha viwanja wakiwemo watoto wa Kariakoo Yanga SC na Simba SC ambao wamekuwa watu wakukodi viwanja kwa miaka mingi ili kutumia katika mechi zao za nyumbani. Mfano katika msimu uliopita wa 2023/2024 Yanga walitumia uwanja wa Azam...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mpanzu alilia Simba baada ya kufeli KRC Genk, hataki tena ucheza AS Vita

    Inaelezwa kuwa Winga hatari wa DR Congo, Ellie Mpanzu amefeli majaribio yake na KRC Genk, kwa sasa amerejea Kishansa kuangalia mustakabali wa maisha yake, ukweli ni kwamba Mpanzu hataki tena kucheza AS Vita Club, ingawa bado wanajaribu kumshawishi. Inaelezwa kuwa Simba wapo kwenye nafasi nzuri...
  18. Shark

    JamiiForums Tanzania Simba S. C yaachana rasmi na Kocha Juma Mgunda

    Klabu ya Simba imeachana na Kocha Juma Ramadhani Mgunda ambaye alikuwa akiinoa Timu ya Wanawake ya Simba Queens huku mara kadhaa akipewa jukumu la kufundisha timu ya wakubwa ya klabu hiyo. Soma Pia: Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika...
  19. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kuelekea CAFCC: Simba vs Al-Ahly Tripoli msisahau rekodi hizi muhimu

    *Simba na AL Ahly tripoli zote ziliingia makundi shirikisho mwaka 2022 Simba ikaishia robo fainali (ile wanachoma moto uwanjani na Orlando) na Al ahly Tripoli wakaenda mpaka nusu fainali * Timu zote mbili ziitolewa na Orlando Pirates Simba ilitolewa robo fainali na Al Ahly tripoli ilitolewa Nusu...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Simba ijenge uwanja wake tu,maana kwa uchawi wa Yanga keshatia mguu KMC msitarajie mafanikio yoyote

    Tunajua mbinu za yanga nje ya uwanja ni chafu na kali sana. Tutaendelea kuona wachezaji bora wa Simba wakiumia na kujitibia muda mrefu,ama wakicheza chini ya kiwango kutokana na mbinu chafu za hii timu nje ya uwanja. Hizi mambo ya kuchinja ng'ombe na kunywesha watu supu sio nzuri kabisa Simba...
Back
Top Bottom