Nchi washirika wa USA + ISRAEL vs Nchi rafiki wa IRAN?
Hizi silaha za nuklia soon zitatumika,kuna nchi zikizidiwa zitaanza kuzitumia....na majibizano ya mashambulizi ya kutumia silaha za nyuklia baina ya nchi na nchi zilizo katika vita.
Unyakuo wa watakatifu utatokea kabla ya silaha za nyuklia...
Afisa mwandamizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu ya Japan hivi karibuni alisema hadharani kwamba, kutokana na mazingira magumu ya usalama yanayoizunguka Japani, nchi hiyo inapaswa kumiliki silaha za nyuklia. Baada ya hapo, Waziri wa Ulinzi wa Japan Shinjiro Koizumi alisema hakuna chaguo linaloweza...
Wakati mwingine tushukuru kwa kila jambo. Waafrica huwa tunalia sana kwa nini hatuna nguvu duniani na kutamani na sisi tungetawala dunia.
Ila embu waza aina ya viongozi tunaowapata karibu nchi zetu nyingi. Ukimaliza, waza hawa viongozi wangekuwa na access ya silaha za nyuklia. Kwamba nchi...
Marekani haishambulii Korea Kaskazini kwa sababu kuu kadhaa, zikiwemo:
1. Tishio la silaha za nyuklia
- Korea Kaskazini ina silaha za nyuklia na imekuwa ikitishia kutumia dhidi ya Marekani na washirika wake (kama Korea Kusini na Japan) ikishambuliwa.
2. Hatari kwa Korea Kusini
- Mji wa Seoul...
Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo?
NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
Kiukweli, sipendi vita wala sishabikii matumizi ya nguvu katika kutatua migogoro ya kimataifa. Lakini inasikitisha mno kuona mataifa yanayojiona kuwa “ya kidemokrasia” na “yenye maadili ya juu” yakijihusisha katika kampeni za unafiki na uharibifu wa wazi. Hapa nazungumzia hasa Marekani na...
Iran imesema haitakuwa na njia nyingine ila kutumia silaha za nyuklia endapo itashambuliwa na Marekani au
Ali Larijani, Mshauri wa kiongozi mkuu wa Iran, Ayatullah Ali Khamenei, amesema kwenye mahojiano na televisheni ya taifa la Iran kwamba "hawaelekei kwenye kuunda silaha za nyuklia, lakini...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Trump warns of ‘bad, bad things’ for Iran if nuclear deal not reached
14 hours ago
Share
US President Donald Trump waves at reporters at the White House, March 28, 2025.
US president Donald Trump warned Iran on Friday that “bad...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekuchaa maandalizi yanaendelea kukamilisha malengo makuu
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Usiku mwema inshallah
IAF continues preparations for potential strikes in Iran
IDF sees chance for strikes on Iran nuke sites after knocking out Syria air defenses...
Serikali ya Russia imeadhimisha matumizi ya nuclear dhidi ya Ukraine....azma hii imetokana na raisi wa marekani kutoa silaha za masafa marefu yenye kupiga ndani ya Russia
Ni Bora trump aingie madarakani pengine hii vita itaisha
========================================================
Russian...
Wadau hamjamboni nyote?
Hotuba nzito mbele ya bunge la Israel
Waziri Mkuu Benjamin Netanyau
Iran kamwe haitoruhusiwa kumiliki silaha za nyuklia
Israel itaendelea kusaini mikataba ya amani na nchi za kiarabu
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Netanyahu says Israel’s strikes on Iran...
Katika hali isiyotarajiwa jana kuliripotiwa kuwepo kwa tetemeko la ardhi lenye kipimo cha Ritcher 4.5 katika eneo la Semnan nchini Iran tukio linalokuja siku kadhaa tangu mzozo kati ya Israel na Iran kuongezeka.
Chazo cha tetemeko hilo kiliripotiwa kuwa takriban kilomita 10 chini ya ardhi na...
Kinachoendelea mashariki ya kati nyuma yake kuna Mungu na Shetani. Vita za mashariki ya kati ni roadmap ya mwisho wa dunia. Kutokana na Vita zinazoondelea ulimwenguni sasa, kuna vitisho vya baadhi ya mataifa kutumia silaha za nuclear.
Nataka kuwatoa hofu hizo silaha hazitatumika kwenye hizi...
Mpango wa Marekani kuzuia baadhi ya nchi kuwa na silaha za nuclear sio sahihi tena kipindi hii ambapo kuna kushuhudia kuongezeka kwa vita na migogoro kati ya nchi.
Kinachotakiwa sasa hivi ni kila nchi iruhusiwe kumiliki silaha za nuclear kwa ajili ya ulinzi na hii inaeweza kueleweka vyema...
Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na...
Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha kwa DailyMail.com kwamba makombora hayo "yako tayari kulenga shabaha yoyote ya kijeshi, pamoja na...
Baada ya mgogoro wa kivita wa Ukraine kuanza, waziri wa mambo ya nje wa Urusi Bwana Sergey Lavrov alitahadharisha kuhusu matumizi ya Nyuklia na kusema Urusi haitasita kutumia silaha za nyuklia pale itakapobidi.
Sasa naanza kuelewa kwamba ile ilikua ni defense mechanism ili kuficha udhaifu wa...
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema amekubaliana na Rais wa Belarus Alexander Lukashenko kupelekea silaha za nyuklia za kimkakati nchini Belarus.
Katika mahojiano na chombo cha habari cha Urusi yaliyotolewa jana Jumamosi, Putin alisema Lukashenko kwa muda mrefu aliibua suala la kuweka silaha za...
Rais wa Urusi Vladimir Putin atisia kupeleka silaha Belarusi.
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema Jumamosi Machi 25 kwamba Moscow itapeleka silaha za 'mbinu' za nyuklia kwenye ardhi ya mshirika wake, Belarusi, kwenye milango ya Umoja wa Ulaya, inayogawana mipaka na nchi mbili za Baltic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.