siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Polisi wamekuwa na mamlaka makubwa,Yani siku hizi wakikukamata upelekwi mahakamani unaenda jela

    Ina maana polisi wamekuwa daraja ambalo wao ndio mahakama sasa,walikuwa wana jificha ia wapo wazi. Wanaweza kukamata mtu bila kumpa maelezo kosa lake,wakakushikiria watakavyo,wakaomba pesa kama msamahaa,wakaamua ufe au wakufanye chochote,wakaamua kukupeleka gerezani kama ni sehemu yao,wakaamua...
  2. Mwigulu atoa Siku 7 kwa TANROADS, TARURA Lindi, ataka watengeneze kwa haraka daraja la dharura lililoanza kutitia

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku saba kwa Mameneja wa TANROADS na TARURA wa Mkoa wa Lindi wakae na kutafuta suluhisho la ujenzi wa daraja katika eneo la Congo kwenye barabara inayoenda Masasi kutokea Nachingwea. Ametoa agizo hilo jana (Jumapili, Desemba 21, 2025) wakati akizungumza...
  3. Bado siku 4 kufika D25!!!

    📌 #D25 🇹🇿 #SAMIAMUSTGO #riseupTanzania #StopAbductionsTz #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #FreePolepoleNow #struggle_for_africa 🇹🇿🫂🇺🇬🇿🇦
  4. Kwanini mapolisi wanakufa sana siku hizi?

    Hivi karibuni matukio ya mapolisi kufariki yamekuwa mengi sana tanzania. Sijui kama na nyie mmegundua au nimeona peke yangu tu. Yaani ukiingia mtandao wowote ule iwe instagram, x zamani twitter au hata facebook ndani ya dakika mbili lazima ukutane na post ya msiba wa aliyekuwa askari polisi au...
  5. Kuna siku nilidobanga kwa mwanamke

    Mwaka 2000 nilikuwa namtongoza dada mmoja, alikuwa katibu mkuu wa wizara fulani, nilikuwa namtaka mno. Sasa nikamtumia sms ya kumsalimia, badala ya kuandika hujambo? nikamuandikia hujambi?Aisee nikapokea jibu kuwa, najamba. Duh kuja kuangalia ile meseji yangu nilisikia aibu, but nilifanikiwa...
  6. R

    Mzee Butiku elewa kuwa, Ili mshindi apatikane, ni lazima shindano liwepo, Oktoba 29 ilikuwa siku ya mauaji ya halaiki

    Nakusalimu Mzee, Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo. Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya October 29,2025 kulikuwa na tukio Gani kubwa nchini? Utajibiwa kuwa, October 29 ilikuwa siku rasmi ya...
  7. B

    Siku hizi chapati zimeshuka hadhi si kama zamani

    Zamani wakati nakuwa nilikuwa nikisikia kutapikiwa chapati hiyo siku nitafanya yote kwa umakini kuhakikisha simkeri bimkubwa maana kaka zangu wasingenielewa, lakini siku hizi chapati zimeshuka hadhi kila mahali zapatikana. Dar hadi kwenye vituo vya dalalada zinapikwa, sijui kama watu bado...
  8. Ndani ya siku sita hivi kuna taarifa nzuri wananchi watapata ,ila itakuwa kilio upande wa pili, japo kilio cha kinafki.

    Sina maneno mengi. Anzeni kuhesabu siku 6 kuanzia leo Ndani ya siku 6 huenda ikawa leo au kesho ila haitavuka siku 6. Mungu ataleta neema yake ambayo ni furaha kwa wananchi ila upande wa pili ni kilio japo cha kinafki.
  9. Zimebakia siku ngapi kutimia 100 za Samia? Katiba mpya iko wapi?

    Mimi sifi Leo Sina kumbukizi umebakiza siku ngapi ufikishe 100 days at state house? JE, katiba mpya i-wapi mama? Je umefanya nini ndani ya siku 100? Jitokeze ubonge nasi wajuba
  10. Wasira alisema CCM ilisimamisha mgombea wao lakini wanachama wa CHADEMA wakawa wanatukanana kwa siku 31 badala ya kuchagua mgombea wao

    Wasira alisema CCM ilifanya uchaguzi wa mgombea wao na wakafanikiwa kumpata na kumsimamisha huku wakiwa wanasubiri mgombea wa CHADEMA Badala yake CHADEMA haikupeleka mgombea wake ilikuwa ikitukanana kwa muda wa siku 31 Ilikuwa ikimtukana Mbowe na Wasira akashangaa sana kuona nguvu yao ya...
  11. Ni jambo jema Afrika Kusini kuwapokea wapalestina ila kuna siku mtajuta

    Kutokana na historia ya Palestina kila wanapokaribishwa na kupewa uhuru hujikuta wao ndio wanataka kuamrisha wenyeji na kutaka kutawala wao. Historia zimeandikwa nyingi sana kuhusu hawa. Hawa walitakiwa kumegewa eneo wakawa na taifa lao ili wafanye wanavyotaka sio kuwaingiza kwenye nchi...
  12. Kupinduliwa kwa CCM hakujapatikana chanzo ila siku kitapatikana chanzo kidogo mfano TUNISIA

    Zipo nchi nyingi zilizopata chanzo kidogo mfano ufaransa ilishawai kupindiliwa kwa mkate tu. Tuje tunisia hapa kulifikia shida zote zao mpaka kunuka shida huku watawala wakila keki ya nchi. Ilitokea kijana mmoja baada kumaliza chuo kwa tabu na kukosa ajira ikabidi kujiajili mwenyewe kuuza...
  13. M

    Sitosahau: Siku niliyosingiziwa natembea na mtoto wa darasa la sita, yaani mbakaji

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 1995 nikiwa naishi mbeya Sokomatola,. Nilikuwa nafanya biashara za maduka ya rejareja, sasa unajua mambo ya uswahilini kuzoeana na vitoto ambavyo vinakusaidia kuvituma vikakununulie bidhaa Basi siku hiyo nilikuwa nimetoka kuzindua duka langu jipya, mida kama ya saa moja...
  14. M

    Msiba Usio wa Kawaida: Mbwa Kuruhusiwa Kuunusa Mwili wa Marehemu kabla hajazikwa, ni sawa ?

    Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi. Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi...
  15. Maandamano siku ya Christmass ni ujinga,siungi mkono

    Kimsingi mimi binafsi siungi mkono maandamano hasa siku ya sikukuu ya wakristo. Ama sikukuu yoyote ile ya kidini. Inshu ni Kuikataa serikali ya wahuni basi maandamano hayo yalenge sikukuu za umma/serikali ili kudai haki tunazo zihitaji. Acheni waaamini washerekee sikukuu zao kwa utulivu.
  16. (Kumbukizi) Lema: Jenista, kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa

    Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema: "Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya siku si nyingi. Huwezi ku--defend kila jambo kwa sababu unataka uonekane. Kuna saa unachill, wisdom"
  17. Nahisi kuna Project ya wanamtandao kutumia Manabii kutoa tabiri zenye lengo la kuipooza Mioyo ya Wananchi

    Nianze Kwa kuwataka Wananchi, Hakuna Kupoa , Hakuna Kumwachia Mungu, tupambane ,tukimuomba Mungu ,Maandamano yakiendelea bila Kikomo. Ninahisi, Msululu wa Hizi Nabiii, lengo lake ni Kupooza mionyonya Watanzania, Wahisi kwamba Wao kama Watanzania hawana Wajibu wa Kupigania Nchi yao, Wananchi...
  18. Siku nzuri za ukombozi ni sikukuu zote za kidini (Eid na za kikiristo) na most importantly siku za mechi kubwa Simba na Yanga

    Kushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure...... UTANGULIZI Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji 1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye idadi kubwa ya watu na sio jokes (mfano ubungo mpaka magomeni ikajaa watu hamna wa kuzuia) 2...
  19. A

    Siri ya mafanikio ya Singapore ambayo Tanzania ilitakiwa kuzingatia sasa na siku zijazo

    Vitu ambavyo Singapore ilizingatia ambavyo Tanzania haizingati Kwa sababu ya kuchagua wasio weza kuwa viongozi.
  20. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) mnawambia nini waumini wenu kuhusu maandamano yaliyopangwa siku ya Christmas?

    Wanaukumbi. Mtu anaewaminisha mkaandamane siku ya X-Mass anawaita anadhihaki Jeshi Mnadhani Jeshi halioni hizo post za wanaharakati Nendeni mkaliwe vichwa muje muitwe mashujaa huku maiti zenu zikipostiwa na Mange na Maria Sarungi, cha kufurahisha haya maandamano yote TEC wameyapa baraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…