siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    Gharama ya vita ya Israel ni US dollar 260 milioni kila siku

    Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku (sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo. Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali. Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na...
  2. Leo ni siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, hauna tiba zaidi ya Insulin for life. Je, tiba asili na tiba mbadala ni Effective?

    Wanabodi, Leo ni Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, huu ugonjwa uko kwenye kundi la magonjwa yasiyo ambukiza, ugonjwa huu hauna tiba za kihospitali zaidi ya kudungwa sindano ya Insulin for Life! kwa maisha yako yote. Kuna wanganga wa kienyeji wa tiba asili na riba mbadala ambao...
  3. HAMAS waomba Israel ikisitisha mapigo kwa siku tano wataachia mateka 70

    Jamaa wameongeza idadi, mwanzo walisema wataachia 15, sasa wameongeza idadi hadi 70. --- Hamas Says Ready To Release 70 Hostages In Return For 5-Day Truce The armed wing of Palestinian group Hamas said on Monday they told Qatari mediators that the group is ready to release up to 70 women and...
  4. Huwa mnapiga story gani siku ya kwanza kukutana na ndugu yako ambaye hujaongea nae zaidi ya mwaka

    Za usiku wana JF na poleni na shughuli za kujenga taifa. Nina ndugu yangu wa kiume upande wa maza mkubwa kidogo ila ni kama tunalingana na mimi pia ni kiume tulikuwa close saana kipindi cha nyuma karibia mwaka sasa hivi ule ukaribu ulikufa wote. Kwa mara ya kwanza tulipingana kauli hadi...
  5. Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania watoa siku 30 kwa Uongozi la sivyo watatangaza mgogoro

    Baraza Kuu Maalum la Chama cha Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania, limetoa siku 30 kwa uongozi wa shirika hilo kuweka mkataba wa hali bora kwa Wafanyakazi ambao rasimu yake ilishakuwa tayari tangu Februari 2023, tofauti na hapo watatangaza mgogoro na Mwajiri wao (TRC). Baraza hilo limetoa...
  6. Makonda atoa siku 4 kwa Mkurugenzi wa Ilemela kukamilisha Vitambulisho kwa Mawakala Stendi ya Nyamongoro

    Mkurugenzi Ilemela amhakikishia Mwenezi Makonda ndani ya wiki mbili kukarabati eneo linalotuama maji katika stendi hiyo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda kimetoa muda wa siku 4 hadi kufikia tarehe 17 Novemba, 2023...
  7. Mwimbaji Harrysong aoa wanawake 30 ndani ya siku moja

    Mkali wa muziki wa Afrobeat kutoka Nigeria, Harrysong ameweka rekodi mpya kwa kuoa wanawake 30 kwa siku moja. Rekodi hiyo ilikuwa imeshikiliwa na gwiji Fela Anikulapo Kuti ya kuoa wake 27 kwa siku moja. Mwanzilishi huyo wa rekodi lebo ya Alter Plate records, Harrysong, kwa sasa anatrendi kwenye...
  8. B

    Asanteni sana Orlando Pirates kwa kunipa furaha siku ya leo

    Orlando Pirates ndio timu ninayo ipenda kuliko timu yoyote ile duniani. Asanteni sana kwa kuwapiga Amakhosi goli moko leo. Credit: Ukurasa wa instagram wa Likudd wa Jamii Forums. Cc LIKUD Kumbe Likud ni shabiki wa Pirates? Sikujua hilo
  9. B

    Kupata hati wizara ya ardhi inachukua siku ngapi?

    Nina ardhi yangu iko mkoa wa Dar es Salaam haijapimwa bado. Je, process za wizara ya ardhi kukupimia zikoje?
  10. Masihara haya ni hatari afya yako....Endeleeni tu ipo siku tu

    Msije sema sijawaambia!Angalia yaliyomkuta mwenzenu
  11. Kitu alichofanya Yesu ambacho watumishi wa siku za mwisho wanakiogopa

    Kuulizwa maswali. Yesu alikuwa haogopi kuulizwa maswali. Hata kama ni ya kijinga atatafuta namna ya kukujibu ili uache huo ujinga. Watu wengi wanaelewa kwa njia ya maswali. Nimeona wengi wanapenda kuongea mambo yao ila hawana ujasiri wa kuwaacha wanaowasikiliza wahoji na kuuliza maswali ili...
  12. D Voice amebakisha siku chache kutambulishwa WCB, dogo ameshaula tayari

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye ile ndoto ya muda mrefu ya msanii wa singeli kutokea Temeke ukipenda muite London boy D voice jinii inakaribia kutimia siku chache zijazo. Msanii D voice yupo wasafi muda mrefu sana, kula yake, vaa yake mpaka sehemu anapoishi yote ipo chini ya wasafi. D...
  13. Mchawi wako akifanikiwa tu Kukuroga kupitia Jezi zako kupitia Mwenzao Uliyenae utalia tu kila Siku

    GENTAMYCINE ni Kit Manager wa Timu ya Ukwamani FC, ila Kiuhalisia na Kiukweli Mimi ni Shabiki Tukuka wa Timu yangu pendwa ya Kawe Rangers FC. Nawaonea mno Huruma Mashabiki wa Ukwamani FC kwa Kuniamini Mimi GENTAMYCINE ni Mwenzao na kunipa Tenda ya Kutengeneza Jezi zao kwa Fedha nilizoingia nao...
  14. Usomaji wa Biblia kila siku unaongeza IQ kuliko kusoma kitabu kingine duniani

    Watu wengi wenye IQ kubwakubwa mindset zao zilishawishiwa na Biblia. Newton, Galileo Galilei, Mendel na wanasayansi wengi walikuwa wanazi wa maandiko ya Biblia. Paulo kwa usomi wake maandiko aliwaoutsmart wasomi majiniasi wa kigiriki Pale Aelopagas. Daniel aliwazidi akili wachawi,waganga...
  15. M

    Wabeba Mizigo Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku?

    Wakuu swali langu ni hilo wale wagumu aka ma-porter wanaopanda Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku au kwa mwezi?
  16. Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

    Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Museveni huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wana nafasi gani hapo serikalini Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi...
  17. Kenya yatangaza Novemba 13, 2023 kuwa siku ya Mapumziko ya Umma kwaajili ya Kupanda Miti

    Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani na Utawala wa Nchi imetangaza kuwa Novemba 13, 2023 itakuwa Siku ya Mapumziko kwa Nchi nzima ambapo Wananchi wote watatakiwa kushiriki katika Upandaji Miti. Taarifa ya imesema hatua hiyo ni mpango wa Serikali kurejesha na kulinda mazingira...
  18. DED Halmashauri ya Igunga akamatwa, siku chache baada ya kudaiwa kuwepo kwa upigaji kwenye Halmashauri aliyotoka

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Athumani Francis Msabila amekamatwa na Jeshi la Polisi wilayani humo na kuwekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi wilayni humo. Mkurugenzi huyo alikamatwa Novemba 05, 2023 majira ya mchana wakati akiwa amerejea kutoka mkoani...
  19. Dar es Salaam: Wakazi wa Kijijini Mbezi Beach B wapewa Siku 14 Wahame

    SERIKALI imetoa muda wa wiki mbili kwa wakazi wa eneo la Kijijini Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam kuwa ufikapo muda huo wawe wameondoka eneo hilo kwa hiari yao. Agizo hilo limetolewa mwishoni wiki iliyopita na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad...
  20. Prof. Jay: Nimekaa ICU kwa siku 127, nimeugua kwa siku 462

    Rapa Mkongwe na Mbunge wa zamani wa Mikumi, amesema hayo na kuongeza kuwa safari yake ya kuugua tatizo la Figo ilifanya afikie hatua ya kutobolewa Koo ili kuondoa uchafu uliokuwa ukisababisha ashindwa kuongea, pia, alikuwa akichoma Sindano inayogharimu Tsh. Milioni 5 ambapo alitakiwa kuchoma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…