siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Tundu Lissu anataka biashara zifungwe na magari yazuiwe siku ya maandamano ya CHADEMA

    Kutoka Jambo Tv, Lissu anasema wakiwa wanaandamana inatakiwa polisi wafunge barabara na biashara zifungwe ili kupisha maandamano hayo
  2. Tusishabikie Vita, kuna hatari kubwa sana mbeleni

    Kwa Mara ya kwanza mabomu ya nuclear yalitumika mwaka 1945 pale Hiroshima na Nagasaki Athali zake zilikuwa kubwa sana. Watu walikufa, miundombinu iliharibika. Lakini cha ajabu, pamoja na madhara makubwa wa haya mabomu, wanadamu wameendelea kuyatengeneza na kuyaboresha Haya mabomu...
  3. Picha yangu bora ya siku

  4. Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dkt. Abiy Ahmed Ali kuwasili nchini kwa ziara ya siku tatu

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mheshimiwa Dkt. Abiy Ahmed Ali anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 29 Februari hadi 02 Machi, 2024 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  5. B

    Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

    February 5, 2020 Kilosa, Tanzania Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia...
  6. Tatizo la umeme linamfanya kijana huyu kupoteza 170,000 kila siku

    Wakati mwanasiasa Lucas Mwashamba akiridhika na hali ya upatikanaji wa umeme kwa sababu kazi yake ya uagent wa costa hauhitaji umeme kijana mdogo Sam Junior anapoteza 170000 kila siku kutokana na kukatika umeme. Kijana huyu anamwaga kuku 20 kila siku. TRA wamemwambia kodi yao waikute mezani.
  7. Zimebaki siku 18 ahadi ya kumalizika Mgawo wa Umeme itimie, Watafanikiwa?

    Zimebaki siku 18 mgawo wa umeme iwe historia! Ndivyo unaweza kusema baada ya kauli ya matumaini ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko kuwa ifikapo katikati ya Machi 2024 hakutakuwa na kadhia hiyo tena nchini. Dk Biteko amebainisha hayo leo Februari 25, 2024 alipotembelea...
  8. Kwanini Februari inakuwa na siku 29?

    Karibia kila baada ya miaka minne mwezi wa februari hupata siku ya nyongeza, yaani siku ya 29 ambayo huweza kuitwa ''leap day''. Kama sehemu ya gregorian claendar. Hii ndio sababu... Gregorian calendar ilianzishwa 1582 kwenye kalenda hii karibia kila baada ya miaka minne mwezi februari huwa na...
  9. Wiki ya siku 4 kikazi imefanyiwa majaribio UK. Je, tutafuata mkumbo na jee inatufaa?

    Makampuni kadhaa yametoa matokea chanya kuhusu kuwa na siku nne tu za kazi kwa wiki. Utafiti huo ulioonza mwaka 2022 umeshaanza kushirikisha na makampuni ya nchi nyengine nje ya Uiengereza. Cha kujiuliza ni jee watanzania na waafrika kwa ujumla wiki hii itawafaa na jee watafuata mkumbo kama...
  10. S

    Siku hizi kuna urafiki tu

    Mapenzi na mahusiano hayapo kabisa ,hata ndo za siku hizi hazidumu .ukiangalia wabibi na wababu wapo kwenye ndoa tokea na kabla ya uhuru ila ndoa za kuanzia miaka ya 90 zinamatatizo makubwa sana. Lipi la kufanya ? Maana tupo na miaka ya drones ,huna unalofanya lisionekane na kujulikana hata...
  11. Siku hizi teknolojia inasoma akili za watu kuandaa matangazo ya mitandaoni

    Siku ya leo Teknolojia imenishangaza kidogo, nimewaza akilini kuhusu vikombe vile vidogo kwa kufunika na kutembea navyo, nikamuuliza jirani yangu pembeni yangu kuhusu lini anaenda kariakoo nimuagize, hata swali lenyewe halikuwa specific, nimesema tu "Lini unaenda kariakoo nikuagize vile vikombe...
  12. Natangaza tarehe 01/03/2024 iwe siku ya mandamano ya kukataa mgawo wa umeme Tanzania

    Kiukweli wanaichi tumechoka mbona magufuri aliweza kumaliza tatizo hili na mvua zilikuwa za mapicha picha ila mgao haukuwepo Wadau karibuni kwa mawazo tuanzie wapi tuishie wapi
  13. Ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wewe ni kuwa vuvuzela la siasa, kazi yako kubwa ni 'kutrend'

    Kiukweli sifa za kuwa mkuu wa mkoa zimebadilika sana hususani kwa Dar es Salaam. Yaani mkuu wa mkoa an amajukumu kuliko hata Meya, Mkurugenzi na wengine ambao wapo kwa ajili ya majukumu yao. Imekuwa sifa siku hizi kuwa trend sana mpaka ukiwauliza watoto wadogo kuwa kazi za wakuu wa mikoa...
  14. Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama: Unajua kuzungumza Lugha Mama yako? Watoto wako je?

    Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama husherehekewa kila mwaka tarehe 21 Februari. Ni siku iliyotambuliwa na Umoja wa Mataifa kukuza utofauti wa lugha na tamaduni na kuhamasisha ufahamu wa urithi wa lugha na tamaduni ulimwenguni kote. Siku hiyo inakumbuka Maandamano ya Lugha ya Kibengali ya mwaka...
  15. DKt. Nchimbi: Wasiotimiza wajibu wao, wabinafsi, siku zao zinahesabika

    Awataka wanaosuasua kukaza buti Asema anaweza kula kiapo, Kamala alichukia rushwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewatahadharisha viongozi wote wanaotokana na CCM wasiotimiza wajibu wao kuwatumikia watu, kwa kadri ya matarajio ya Chama na wananchi...
  16. Prof. Janabi: Nakula mara mbili kwa siku

    Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Mohamed Janabi, amesema katika maisha yake na kile anachoishauri jamii anamaanisha na kukiishi. Amesema kwa siku anapata mlo mara mbili, na kila mlo unapishana kwa saa kadhaa, akijieupusha kula mara kwa mara. Prof. Janabi...
  17. Picha ya siku kutoka Mbalizi, Mbeya

    Imepatikana kwenye Maandamano kabambe ya Chadema , kwenye ile Ruti ya kutokea Mbalizi Hii hapa, inahusiana na Madhara ya Kikokotoo
  18. Ndoa zinakufa kila kukicha siku hizi

    Mitaani huku ndoa zinavinjika kila kukichaa, leo asubuhi nimekutana na magazeti mawili mmoja mke wa rafiki yangu na mwingine mke wa mjomba wangu wote wanataka kutundika daruga nimekosa cha kuwashauri maana mimi mwenyewe ni mhanga miezi kadhaa iliopita nimepigwa pia na kitu kizito... Sababu...
  19. Wanawake kuongoza Treni ya kwenda Hifadhi ya Nyerere kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani (Machi 2)

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) wameandaa safari ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Nyerere mnamo Machi 2, 2024 katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Februari 19, 2024...
  20. Nimeamua kuwa na Mchepuko. Mke Haeleweki, mawasiliano kila siku na wakwe, mashemeji, mawifi, wa X- Wake

    Leo nimeamua kutafuta Mchepuko,baada ya kuona mke nilie nae Haeleweki. Tatizo kubwa linalonikera kwa mke wangu, ni mawasiliono na ndugu wa X-Wake(wakwe,mashemeji,mawifi,nk) Nimejaribu kumueleza Hilo Jambo silipendi Naona mke wangu Hilo Jambo linaendelea, Sasa nimeamua kutafuta tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…