siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Matumizi yangu ya mwezi

    Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2) Kula 15,000/siku - 450,000 Tv azam 35,000 Umeme 30,000 Maji dawasco 15000 Beki 3 - 50,000 Wazazi 80,000 Nauli job 4000/siku - 120,000 Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi Silipi kodi Total 1.1m Income 1.3m
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe leo ni siku ya mfanano na siku ya kuzaliwa kwangu

    Maisha yanaenda kasi sana, yaani sijapata wishes kutoka kwa mtu yeyote hata Wazazi wangu wenyewe naona wameisahau, marafiki na ndugu zangu pia:rolleyes: zaidi nimepata kutoka mitandao ya simu ya mkononi Airtel na Tigo nikaona isiwe tabu labda naweza ambulia toka huku jamvini. Mwenzeni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania NMB Kariakoo Siku ya Huduma kwa Wateja haiwahusu

    Tawi lenu lililipo mtaa wa Livingstone Kariakoo ni tawi linalotoa huduma mbovu zaidi ya matawi yote niliyowahi kuhudumiwa. Ni mara kadhaa inanichukua hadi saa tatu kuhudumiwa huku nikiwa na kadi yenu ya Loyal customers ambayo pia nailipia. Kuna madirisha manne lkn mara nyingi kama sio zote...
  4. N

    JamiiForums Tanzania TBL imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu

    Katika kusheherekea siku ya bia duniani, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL), inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa nchini, leo imezindua Kampeni yake ya ‘Smart Drinking’ yenye lengo la kutoa elimu ya kunywa kistaarabu. Kampeni hii inalenga wauzaji na watumiaji wa bia ili kuwahimiza kunywa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi watu wanakufa mapema kuzidi miaka ya zamani

    Ukiangalia pamoja na teknolojia kuwa kubwa. Hospitali kuwa nyingi Madawa kuwa mengi Ila watu wanakufa wakiwa na umri mdogo Sana. Life expectancy Kama imeshuka. Kwenye familia yangu hakuna MTU hata mmoja mwenye umri wa miaka 80+ yrs. Ila Bibi yangu alifariki mwaka 2003 alikufa na 84. Sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Hi I Kuna siku tanesco mtaacha kukata umeme?

    Aisee mnazingua Sana yaani daily laza mkate,. umeme .acheni Mambo hizo.mmekata asubuhi mmerudisha saa kumi na mbili.umekaa dakika tano mmekata Tena. Kaeni nap basi msirudishw Tena,milele na milele. Sijui niwatukaneeeeee,,😠😠😠
  7. JamiiForums Tanzania JF members waliopotea siku nyingi jukwaani

    Masanilo a.k.a Rev. Masanilo BAK a.k.a Bubu Ataka Kusema klorokwini kwinini Numbisa Nazjaz mfuga majoka Jemima Mrembo Sumbalawinyo @kidukulilo Bill Lugano a.k.a tajiri litutumbwe Hebu ongeza wengine
  8. JamiiForums Tanzania KERO Foleni Kubwa Barabara ya Mwai Kibaki: Kila Siku ni Kizungumkuti Asubuhi na Jioni

    Kumekucha Wadau. Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara hii ya Mwai Kibaki. Katika mji wa Dar es Salaam, foleni barabara ya Mwai Kibaki imekuwa ni kero...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nikajua Israel huwa inajibu mapigo muda huohuo. Leo ni siku ya nne

    Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE. Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tarehe 03 October siku ya Boyfriend Duniani

    Siku ya ‘Boyfriend Day’ huadhimishwa kila Oktoba 03 ya kila mwaka. Ni siku inayotumiwa na watu kuonesha upendo na shukrani kwa wapenzi wao wa kiume.
  11. JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 16 aliamua kuvaa suit ya skirt siku ya prom

    Prom ni sherehe ya kumaliza mitihani ya NECTA. Nisiku ambayo vijana wanavaa mavazi wanayopenda na huwa wanapendeza sana. Kijana huyu pichani aliamua kuvaa suit ya skirt, kitendo hiki kiliwasikisha wengi. Dunia hii tunakoelekea tunahitaji maombi na kufunga kwa sala.
  12. JamiiForums Tanzania Watu wote hapa ambao hawaamini kama Mungu yupo someni hapa

    Shalom watu wa Mungu. Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia. Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ? Je ulikuwa unajitambua kwamba tayari mimi ni binadamu na ile miezi tisa wakati uko tumboni ulikuwa unahisi...
  13. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sehemu zilizopigwa na makombora ya Iran huko Israel siku ya jana!

    Ukitumia akili na siyo mahaba, haya makombora yalileta madhara coz mbinu iliyotumika ni kuupa mzigo mkubwa huo mtambo wa kuyazuia! Yaani ni kutumia hesabu za kawaida tu, mzigo una uwezo wa kuzuia kombora moja kwa dakika (huu ni mfano), ili kuuzidi unatuma makombora kumi kwa dakika! Hatimaye...
  14. JamiiForums Tanzania Hatimae siku imefika ikiwa na hali nzuri.

    Ni hivi leo naenda kujitafunia mchumba mtu. Lengo la kuwaletea huu uzi ni kuwaasa vijana wa kiume walio kwenye miaka 19 hadi 29. Kuwa msiwekeze kwenye mapenzi jiwekezeni kwenu wenyewe. The more utajiwekeza ndivyo nafasi yako kubwa ya kufuatwa na hawa watoto wazuri inakua kubwa. Japo maboya...
  15. JamiiForums Tanzania Kesho pia ni siku, maneno yanayoumiza Vijana wengi

    Salaam... Jana ni ile juzi, leo ni ile jana uliyokuwa unaisubiria ili uamue au ufanye jambo fulani. Uanze biashara, uache kazi moja kutafuta kazi nyingine, uache fursa moja kukimbilia fursa nyingine, kuchagua njia moja na kuacha ingine. Yale maamuzi ambayo umeamua kuyapa muda. Muda, siku...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nina siku tatu Mbeya, katika kuzunguka mitaani tayari nimeshuhudia kina mama watano wakiporwa handbag na waendesha pikipiki!

    Kitu kimoja nimeona Mbeya tofauti na mikoa mingine ni wingi wa Bajaji hizi na bodaboda. Ni nyingi hadi zinakera. Naambiwa kwamba wingi wake umeletwa na Tulia Foundation ya spika wa Bunge ambaye amekuwa akiwawezsha vijana hapa mkoani, yote haya yakiwa ni katika kuungwa mkono dhidi ya Sugu! Sawa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Yanga bado Siku 3 watimize Mwaka 1 bila kufungwa kwenye ligi Kuu ya NBC!

    Nimeona mtandaoni Mkuu wa kitengo cha Digital, Crown Fm ameandika kuwa Mara ya mwisho Yanga SC kufungwa kwenye Ligi Kuu ni Oktoba 4, 2023 bado siku 3 itimize mwaka mmoja pasipo kupoteza mchezo kwenye Ligi Ligi Kuu ya NBC PL. Eti wadau huyu anasema kweli au anatupanga maana huwa naona kama...
  18. JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

    Jeshi la Israel limethibitisha kuuliwa kwa GS wa Hezbollah Hassan Nasrallah baada ya mashambulizi ya jana. Hapo mwanzo ilisemekana ni mzima ila Israel ilisubiri kuthibitisha kuuliwa kwake. Yasemekana kuwa ndani ya eneo hilo hakuna chochote kilichobaki kizima, na huenda mwili wa Nasrallah...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu kila siku anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu

    Wakuu, kuna mtu yeye huwa anakuja kujisaidia pembeni ya Nyumba yangu. Najua huyu anafanya ushirikina Ila nimwambie tu ntampoteza vibaya Sana.
  20. JamiiForums Tanzania Angalizo: Watu wa Mbeya mnaoishi Mbeya Mjitathimini mienendo yenu kinidhamu inalichafua Jiji, ipo siku jiji litafutwa

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Tofauti na ilivyo kwenye majiji mengine Kama vile Dodoma, Arusha, Tanga na kwingineko Ila tabia na matendo ya watu wa Mbeya kwa wageni na kwa miundombinu ni hatari mno kwa usitawi wa amani na maendeleo ya jiji Hilo la Mbeya. Haya yafuatayo ndo yanakichafua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…