siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama haufanyi kazi ngumu, mlo mmoja kwa siku unatosha

    Huwa nashangaa Sana MTU anakula milo mitatu ikiwa Kazi zako ni za Ofisini Mwisho unapata kitambi , kisukari na pressure . Ukila mchana usiku usile
  2. JamiiForums Tanzania Siku ya Usonji Duniani, Usonji sio Ugonjwa

    Siku ya Usonji Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 Aprili kwa lengo la kuongeza uelewa na kuhamasisha jamii kuhusu haki za watu wenye usonji Kaulimbiu ya mwaka huu, 2025, ni “Kukuza Neuroanuwai na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (SDGs)”. Kaulimbiu hii inasisitiza umuhimu...
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO Mkoa wa Katavi mmepatwa na nini, mbona kila siku mnakata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku?

    Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?. Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuishi kwa bajeti ya 5000 hadi 10,000 kwa siku? Hebu tujadili!

    Maisha ni magumu, gharama za maisha zimepanda, lakini bado kuna familia zinazoishi na bajeti ndogo. Swali ni moja: Ukiwa na 5000 hadi 10,000 tu kwa siku, unaweza kupata milo mitatu kwa familia yako na ikatosha? 🤔 Hebu tuweke hali halisi mezani. Unaamka asubuhi na hiyo bajeti mkononi. Unahitaji...
  5. JamiiForums Tanzania Tuungane tuipinge siku hii April Prank fool day

    Nashukuru hadi muda huu sijakutana na prank yoyote ile. Asili halisi ya Siku ya Wajinga (April Fools' Day) haijulikani kwa hakika, ingawa nadharia kadhaa zimependekezwa. Kuna mjadala kuhusu uhusiano kati ya tarehe 1 Aprili na ujinga katika kazi ya Geoffrey Chaucer, The Canterbury Tales (1392)...
  6. JamiiForums Tanzania Bondia wa Nigeria Gabriel Olanrewaju Amefariki Baada ya Kuanguka Wakati wa Pambano la Uzani wa juu Nchini Ghana

    Oluwasegun, bingwa wa zamani wa kitaifa na Afrika Magharibi katika daraja lake la uzani, alipoteza fahamu katika raundi ya tatu ya pambano lake la Ligi ya Ndondi ya Kulipwa ya Ghana dhidi ya bondia wa Ghana Jon Mbanugu kwenye Uwanja wa Ndondi wa Bukom mjini Accra siku ya Jumamosi Mamlaka ya...
  7. JamiiForums Tanzania Picha ya siku

    Halafu utasikia fulani kalazwa taabani ,ndugu na majirani roho zipo juu.
  8. JamiiForums Tanzania 26 Oktoba 2024, Usiku Wa Kutisha na Usiosahaulika Kwa Marubani Wa Jeshi La Israel

    Hii ni siku ambayo jeshi la Israel waliamua kwenda kufanya mashambulizi ya anga nchini Iran kama kulipiza kisasi baada ya mashambulizi yaliyofuatana ambayo Iran iliita 'true promise one' na 'true promise two'. Naomba nisielezee sana huko, story itakuwa ndefu, ningependa niende kwenye mada moja...
  9. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya wajinga duniani

    Leo ni siku ya wajinga duniani Aprili Mosi... Usiamini chochote na usimwamini mtu yeyote. Kama siku nyingine yoyote. 🤪
  10. JamiiForums Tanzania Tarehe 1 Aprili ni siku ya wajinga au ya waongo?

    Nashangaa bado kuna watu wanaiita tarehe 1 Aprili, "Fools' day," au siku ya wajinga. Siku hii ingefaa zaidi kuitwa siku ya waongo kwa sababu watu wengi wanaongea uongo ifikapo Aprili Mosi. Kama umekuwa ukiitumia tarehe 1 Aprili kusema au kuandika habari za uongo basi ujue baba yako ni...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Siku makanisa yakijaa waumini matajiri na kuongozwa na nabii mmoja aliye masikini basi yesu atakuwa alikuwepo kweli!!

    Siku ikitokea waumini wote wa mwamposa wakawa matajiri kumshinda mwamposa basi itakuwa ni ishara ya wazi kuwa yesu alokuwepo na anafanya kazi. Kinyume na hapo ni ujinga tu ma hadithi za kusadikika!!
  12. JamiiForums Tanzania Bado unatoka siku za sikukuu

    Bado na wewe siku ya sikukuu , unatoka kama mtoto , na una demand nguo mpya kabisa au umeacha hayo mambo? Mimi nipo kazini
  13. JamiiForums Tanzania Taarifa: Kitimoto yaadimika siku ya Idd

    Duru za kuaminika zikimuhusisha jamaa yangu wa karibu ambaye ni mfanya biashara wa vilevi pamoja na nyama ya nguruwe(kitimoto) maeneo ya misufini huko morogoro , Zinadai Leo biashara ya kitimoto na bia imechanganya sana. Duru zimeenda mbali na kudai kuwa mpaka kufika majira ya saa 9 mchana wa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Siku ya sikukuu kuna wakati hazina maana kabisa

    Wakina Baba na mama ,kaka na dada pamoja na watoto wakiwepo ndugu na jamaa hujumuika katika sikukuu mbalimbali za kidini ( ukristo na uislamu) kama desturi zao za kusherekea kila mwaka. Chakusikitisha 😮‍💨 hizi sikuu zimekuwa ni chanzo cha maovu meeeengii........ngingingi Yaani chukulia mtu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimezaliwa siku kama ya leo

    Nimezaliwa tarehe na siku kama ya leo,ilikuwa sikukuu ,namaanisha tarehe 31:jumatatu
  16. JamiiForums Tanzania Kuishi na kutenda yaliyo mema ni utaratibu wa kuishi kila siku na sio kipindi fulani

    Tukiwa tunahitimisha kipindi cha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan ningependa tukumbushane kuwa kuishi kwa kutenda mema na kumuomba Mungu yapaswa kuwa utaratibu wa kila siku na sio utaratibu wa mwezi fulani tu na ukipita basi watu tunarudia maovu yetu. Hii ni fursa ya mabadiliko ndani ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kama una internet radio station yenye wasikilizaji 1000 au zaidi kwa siku tuwasiliane

    Nitumie link ya station yako na idadi ya wasikilizaji (average number of listeners per day) tuone uwezekano wa kuweka matangazo ya biashara. Whatsapp 0656388678 au private message.
  18. JamiiForums Tanzania Nasikia harufu mbaya sana ya udini IPO siku bomu litalipuka

  19. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa ungewaambia hapa kwamba siku moja watahimizwa kwenda VETA wasingekuelewa unamaanisha nini

    😂😂
  20. JamiiForums Tanzania Iko siku Yanga italilia kucheza na Simba huu mchezo wanaogomea

    Kwa mfano mechi ya Simba na Yanga isichezwe tena. Kati ya Simba na Yanga, mbele ya safari Yanga ndiyo itatamani hiyo mechi ichezwe tena hata bila ya mashabiki uwanjani. Kwenye mechi 7 zilizobakia za Yanga, Yanga watafungwa mechi mbili na kutoa droo Moja. Kwa upande wa Simba kati ya mechi 7...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…