siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Ipo siku wa Tanzania watapanga kwenye ardhi yao kwa mgongo wa uwekezaji

    Hakuna wa kumfunga paka kengele! Sasa ni mwendo wa kuchukua ardhi na kuwapa wawekezaji, huku wazawa wakilipwa fidia kwenye ardhi ya mababu zao na kuhamishiwa maeneo yasiyo na rutuba. Kwa mwendo huu, ipo siku Watanzania watapanga kwenye ardhi yao wenyewe kwa sababu ardhi yote imepewa wawekezaji...
  2. Mwana JF Chige yupo wapi siku hizi?? More than a year now

    MALCOM LUMUMBA eti Chige yupo wapi siku hizi??
  3. S

    Tumefika mahali kama nchi tunaadhimisha siku ya kondom duniani?

    Habari wadau! Leo maeneo ya Dodoma kwenye round about ya kuingia uwanja wa ndege wa Dodoma, kuna tangazo limewekwa chini kwenye hiyo roundabout likiisomeka: Siku ya kondom duniani(kama sio duniani basi ni siku ya kondom kimataifa). Swali: ni kondom hii mipira ya kufanyia mapenzi au hiyo kondom...
  4. U

    Dkt. Slaa mwanasiasa mkorofi, mjuaji , msaliti na asiye na shukrani. Katubu kwa mamlaka husika vinginevyo mikosi itaendelea kukuandama siku zote

    Wadau hamjamboni nyote? Sio kwamba namdharau au nampa sifa mbaya Mwanasiasa huyu maarufu, hapana! Ukweli ni kuwa Dkt Slaa ni miongoni mwa binadamu wanaoongoza kukosa kabisa shukrani kwa fadhila alizopewa. Kila sehemu anayokaribishwa na kufadhiliwa lazima avuruge mambo, sijui yukoje huyu...
  5. Feedback ya mpenzi wangu Kwa kuto pokea simu Jana siku ya wapenda nao

    Huyu mchumba siishi nae , kila mtu anaishi kwake, ila almost Huwa anakuja kwangu na anakaa Kwa muda wa hata week 2 .. Ok .. Jana nilijitahidi sana kumpgia simu mida ya asubuhi Ili tujue ratiba itaishaje like kutoka out , and other stuffs Kwa siku ya valentine's, simu haikupokelewa , piga sana...
  6. Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea Haki Wahitimu waumini wa kisabato

    Serikali kuweka siku ya jumamosi kuwa siku ya Usaili ni kuwakosea HAKI Wahitimu waumini wa kisabato. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Sabato Njema. (itikia Njema Sana). Wahitimu wa kisabato wanasikitika baada ya baadhi Yao kukosa kwenda kwenye Usaili kutokana na siku iliyowekwa kwaajili ya...
  7. Mwanaume wa kwanza kutumiwa pesa na mwanamke ni mimi siku ya valentine 💌

    Au kuna mwanaume mwingine uko katumiwa tujuane tulio pata wanawake wa hivi huyu si nione anaoneka sio kama wengine wa jf
  8. Mechi ukitolea pesa lazima ushinde kwa magoli mengi mwisho ya siku mnaweza kuwa sawa na mpinzani wako kwa point!

    Haishangazi kufunga goli nyingi zote ni hesabu za mwisho wa mwaka hizo goli nyingi kwa kipindi ndio wakati wake ukipewa hela ya watu lazima ufungwe 6 mpaka 7 ili mwisho wa ligi watu wahesabu magoli!......biashara wazi wazi!
  9. Siku Moja na Mwalimu Wangu Ahmed Rajab Nairobi

    SIKU MOJA NA AHMED RAJAB MWALIMU WANGU NAIROBI Ahmed Rajab akinipa kazi si haba nyingine ''investigative'' na hapa akitaka sana kusoma ubongo wangu na fikra zangu kwa jambo fulani hizo hazichapwi na jina si lake wala langu kwa hiyo hutoziona popote na akinilipa fedha. Makala hizi hazina...
  10. Mitandao ya kuingia kila siku

    Kijana wangu kafikisha miaka 18 na smartphone juu. Naomba orodha ya mitandao ya kujenga ambayo isipite siku mwenye maono hajapita. Binafs huwa nikipekua JF huwa najiaminisha nimejua yanayojiri siku hiyo! Milengo ni siasa(nje na ndan), uchumi, biashara, technolojia/ubunifu na afya.
  11. Je! Utafanya nini kama ukigundua kuwa kuna siku 10 hazipo kwenye kalenda?

    Ngoja nikuelezee kwa ufupi, Mwezi Oktoba mwaka 1582 ulikuwa wa kipekee kwa sababu ya mabadiliko ya kalenda yaliyotokea. Huu ndio mwezi ambao Kalenda ya Kijuliani ilibadilishwa na Kalenda ya Kigrigori, ambayo ndiyo tunayotumia leo. Mabadiliko Muhimu: Papa Gregory XIII aliamuru Kalenda ya...
  12. M

    Sihukumu: mwanaume ku-post status 100 kwa siku?

    Habarini ndugu Wananzengo! Miongoni mwa vitu vinavyonishangaza na kunichukiza sana binafsi ni habits za wanaume kupenda ku post post status nyiiiiiiiingiii WhatsApp. Kwa nini inanichukiza? Kwa sababu usipo view, ama uki mute, more of them go angry with you. Au la, wanalalamika sana hali ambayo...
  13. Naomba kujua siku za kushika mimba

    Hello!!! Habari za jioni madactari na nurses,mwezi wa kwanza nilipata hedhi yangu tarehe 10(10/1/2025) mwezi wa pili huu nimeanza kupata hedhi yangu jana saa 11 Asubuhi ,je? Nina mzunguko wa siku ngapi na siku zangu za hatari ni tarehe ngapi na tarehe ngapi nahitaji kupata mtoto.ikimpendeza...
  14. Kocha Mpya Asema Yanga wanapangiwa match kila baada ya siku 3. Jamaa ana kitu atafika mbali

  15. F

    Askofu Bagonza anaiponda CCM na wanasiasa wa siku hizi kupitia Sauti ya Ujerumani muda huu

    Anaponda kauli ya CCM wanayosema CCM itakaa madarakani hadi Yesu atakaporudi Wanasiasa wanaoelewa nini maana ya siasa wamekwisha sasa Anazungumzia hofu kubwa za kutekwa kwa watanzania kutokana na kuwa na mawazo tofauti na serikali 4R imetekwa na hakuna utekelezaji tena Walio madarakani...
  16. Kuna mke wa mtu nilianza kama utani ila nimemkaribisha kwa siku moja nyumbani kwangu siku hiyo hiyo nimemtamkia ndo nikaanza nakumtafuna

    Nimeleta mada kwenu tajwa hapo juu. Katika harakati zangu za mizunguko ya hapa na pale , nimejikuta naanzisha mazoea na mke wa mtu ,mwisho wa siku nikamkaribisha kwangu kwa bahati nzuri akaniambia anakuja ile alivyokuja nikamtamkia nampenda ila alichonisihi akaomba iwe siri yangu mimi na yeye...
  17. Heri ya Siku ya Kuzaliwa Young Africans (Yanga SC )

    Leo mtani wetu klabu ya Yanga imetimiza miaka kadhaa tangu kuanzishwa,, ingawa imeangukia siku mbaya baada ya Jana kuangukia pia baada ya kutoa sare na Jkt ya masau bwire ila ndio hivyo maisha lazima yaendelee TU hakuna namna. Nawaza TU hapa sherehe na shamra shamra zitafanyika kweli??, au...
  18. Umewahi kufukuzia mpenzi ila siku mmepatana ukapoteza mzuka naye nae?

    Wakuu kwema.. Nimekuja kuamini sometimes expectations zetu ndio hupelekea disappointment. Unaweza kuwekeza muda mwingi, hata budget ili kufukuzia mtoto mkali from the head to the toe ukaweza hata kuwin ila dakika za mwisho ukashindwa kuamini ulichokutana nacho ni kweli au unaota.. Binafsi...
  19. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Wanajukwaa heshima iwe kwenu. Hivi kweli wenye mapenzi mema wanashindwa na walaghai na wafitini wenye kumshikilia Mzee Slaa na kumnyima dhamana kusiko haki? La Hasha, Mbinu hizi zitumike, huenda zikazalisha mengi zaidi mazuri ya neema kwa WaTz nchi ikapata mabadiliko muhimu sana kupitia...
  20. Itoshe kusema CHADEMA inapendwa, tazama vaibu la Wanawake wa Nkasi wakijiandaa kwa Siku ya Wanawake Duniani

    Wakuu Itoshe kusema kuwa CHADEMA inapendwa, jambo linalodhihirishwa na hamasa kubwa ya wanawake hawa wa Nkasi, Kasikazini, katika Kata ya Kirando wakijiandaa kwa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani itakayofanyika Jumamosi, Machi 8, 2025. Soma, Pia: Siku ya Wanawake Duniani watumishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…