siku

Siku (Quechua: antara, Aymara: siku, also "sicu," "sicus," "zampolla" or Spanish zampoña) is a traditional Andean panpipe. This instrument is the main instrument used in a musical genre known as sikuri. It is traditionally found all across the Andes but is more typically associated with music from the Kollasuyo, or Aymara speaking regions around Lake Titicaca. Historically because of the complicated mountain geography of the region, and due to other factors, in some regions each community would develop its own type of siku, with its own special tuning, shape and size. Additionally each community developed its own style of playing. Today the siku has been standardized to fit in with modern western forms of music and has been transported from its traditional roots.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siku 1: Watanzania Waangukia Pua kwenye Mashindano ya EAAR, Dar

    Watanzania Waangukia Pua Kwa siku ya kwanza kwenye mashindano ya Riadha ya EAAR kwa vijana wa chini ya umri wa miaka 18 na chini ya miaka 20 inayoendelea katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar. Matokeo yanaonyesha Ethiopia na kenya ndizo zinashikilia usukani kwa siku ya kwanza (Jana), Leo...
  2. JamiiForums Tanzania Kinondoni: Tuhuma za Mwalimu kulawiti na kubaka watoto wa Shule ya Msingi, Waziri atoa siku 7 za uchunguzi

    Siku mbili baada ya kuibua tuhuma za watoto 8 wenye umri kati ya miaka 6-8 kufanyiwa ukatili wa kingono na mwalimu wao katika Shule ya Msingi Global iliyopo Kinondoni, Dar es Salaam zimetolewa siku 7 za uchunguzi wa kina wa tukio hilo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii na Makundi Maalumu, Dkt...
  3. JamiiForums Tanzania Simba SC siku zingine msilirudie tena Kosa hili la Kiufundi na Binafsi mmenikera

    Watu tunaojua kuwa Kesho Kipa Aishi Manula hatocheza tunawashangaa kabisa Kutwa mnavyohangaika kututia Moyo. Yaani badala ya kutumia muda wenu mwingi kumjenga Kisaikolojia Kipa wangu bora Simba SC Beno David Kakolanya nyie mnahangaika na Aishi Salum Manula wenu kana kwamba ni mzuri kivile...
  4. JamiiForums Tanzania Zimebaki siku 50 Giniki Gisamoda na Gabriel Geay kutuwakilisha Kimataifa

    Emanuel Giniki Gisamoda na Gabriel Gerald Geay ni Wanariadha Wawili mpaka sasa wanaotarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya Dunia yatakayofanyika Eugene, Oregon nchini Marekani, kuanzia Tarehe 15 julai Hadi Agosti 25. Zimebaki takribani siku 50 kabla ya wao kwenda kutupa karata yao ya Kusaka...
  5. JamiiForums Tanzania Dar: Tozo za Daraja la Nyerere Kigamboni zimeshuka

    Rais Samia Suluhu na Mbunge Faustine Ndugulile wamevunja kikwazo kigumu kabisa Cha maendeleo ya kigamboni. Sasa tozo zimeshuka na zitalipwa kwa siku badala Kila mtu anapovuka Hiki kilikuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya kigamboni. Kigamboni ikianza kujengwa itakuwa mji mzuri sana na...
  6. JamiiForums Tanzania Kocha Nabi ataja siku ya ubingwa

    YANGA ina dakika 270 tu za uwanjani za kupeleka Jangwani taji lake la 28 la Ligi Kuu Bara na kocha wa vinara hao, Nasreddine Nabi ameitaja Juni 22 kuwa ndio siku ya kukamilisha furaha ya Wananchi. Vigogo hao ambao wameongoza ligi kwa takribani msimu huu wote kufikia sasa wakiwa na pointi 60...
  7. JamiiForums Tanzania Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

    Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton. Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba. Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo...
  8. JamiiForums Tanzania Siku nami nikiwa kama huyu nitafurahi sana. Nitayafanya haya ambayo kwa sasa Ni Kipengele Kweli Kweli

    huyu jamaa nilikuwa namchukia mwanzoni. kiukweli sikuwa nimezoea stories za namna hii. unajua sisi wabongo tunapenda stories za kutia huruma,manung'uniko,kukata tamaa, huzuni n.k yaani mtu akiandika nilikunywa sumu sikufa au nilitaka kunywa sumu sababu ya shida. watu watapenda sana huo uzi...
  9. JamiiForums Tanzania Eti hapa mtaani Hawa jamaa hawana kazi kila siku wanalewa

    Kuna wasela hapa mtaani kila siku yani wanakunywa pombe kila siku Ipoje hii
  10. JamiiForums Tanzania Nimekumbuka nilichofanya siku kama leo mwaka 2019 katika safari yangu ya Mpanda

    Wadau natumaini mko njema kabisa. Heri ya Jumapili kwenu nyote. Technology ni kitu chema sana acha tu tukipe heshima yake. Leo kwakua nime dodge kwenda kanisani bas nilijikuta ratiba zangu ni za kutafutiza sana kwakua siku zote Jumapili kuanzia saa mbil asubuh mpaka saa Nane mchana huu muda...
  11. JamiiForums Tanzania Uzi wa siku ya leo tu

    Mmeamkaje? Mwenzenu nimeamka kwa kuchangamka na Ameno....you want to bambam.Umeamka na song gan Leo?
  12. JamiiForums Tanzania Usimuamini Mwanasiasa hata siku moja: Hili kuongeza mshahara lipo kisiasa sana

    Mwanasiasa akiingia ndani na akakwambia nje mvua inanyesha toka kahakikishe... Mwanasiasa akisema anakupenda... Geuza kwa upande wake kinyume... Akisema amekufanyia hivi au vile... Chunguza vizuri.. Kuna nini baadae... Mkikaa baadae mkatulia kwenye akili zenu mtajua tumepigwa changa la...
  13. JamiiForums Tanzania Coin ya Tera Luna yapanda thamani mara elflu ndani ya siku moja

    Coin ya Tera Luna imepanda thamani kwa zaidi ya mara elfu moja ndani ya saa 24 baada ya kuporomoka kwa speed. Hii ni sawa na kusema kama jana ulinunua coin hiyo ilipokuwa bei ya chini kabisa kwa shilingi 10,000 leo hii ukiiza unapata zaidi ya shilingi milioni 10.
  14. JamiiForums Tanzania Katavi: Wastani wa Watoto 9 ufanyiwa ukatili kila siku

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko amezungumzia kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea katika Mkoa huo, watoto wakiwa sehemu kubwa ya waathirika. Amesema matukio 887 sawa na 65.17% ya matukio 1,361 yaliyoripotiwa kuanzia Januari hadi Machi 2022 yalihusu watoto. Takwimu hizo zimeonesha...
  15. JamiiForums Tanzania Picha ya siku ambayo sitii neno😂

    😁😁😁
  16. JamiiForums Tanzania Ijuma-ni siku nyeupe

    Kulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Serikali akisafiri nje analipwa zaidi ya dola 350 Kwa siku sawa na zaidi ya Tsh 400,000

    Nilikuwa wa kwanza kushtuka kusikia fedha walizolipwa wafanyakazi wa MSD, lakini Baada ya kufanya utafiti nimebaini Kila mfanyakazi wa Serikali akisafiri nje ulipwa zaidi ya dola 350. Kabla ya kulalamikia MSD ni vyema tukafahamu sheria inayotumika kufanya malipo. Kwa viongozi wakuu wa Nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya Kiserikali nchini Uganda kwa siku mbili

  19. JamiiForums Tanzania Mnamaanisha nini kila siku kutuletea sura zilezile katika uongozi?

    Mwisho wasiku mkikaa kwenye vipaza sauti mnatusema tunawivu,ndio lazima tuwe na wivu haswa wivu wa maendeleo!. Haiwezekani kila wakati ktk nafasi za uongozi mnatuletea sura zilezile kwani hamuwezi kuibua watu wengine vijana wasomi wakashika hizo nafasi..? Nafikiri katika teuzi zenu muanze...
  20. JamiiForums Tanzania Je, ipo siku yatajirudia ya Magufuli kwamba Ndege zimeleta faida! Rais Samia atatulazimisha kusema Royal tour imeingiza mabilion? Swali tu

    Niliuliza kwamba je mwaka 2025 tutalazimishwa kusema TANZANIA iko uchumi wa kati ? Wakati ni Data za kupika? Je ipo siku tutaambiwa kwamba Royal tour imezaa matunda wameongezeka watalii mamilion ? Na mapato ya Utalii yamefika mabilioni? Mama usiingie mtego huu hata kidogo Najua zitapikwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…