Ni katika harakati za kuimarisha uhusiano wa kiulinzi meli hii kubwa ya kijeshi kutoka USA inafika bandari Salama ikiwa ni zaidi ya muongo mmoja kutokea kwa tukio hili.
Kenya ilifanya uchaguzi siku ya Jumanne mpaka leo bado wanakusanya matokeo ambayo hayabadilishiki kwenye vituo na kujumlisha kura za urais.
Sisi kulingana na umakini wetu, rais angetawazwa Jumatano na leo ingekuwa siku yake ya tatu kitini.
Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Maasai Mara ameaga dunia baada ya ‘jogoo’ wake kuwika kwa siku tatu mfululizo katika Kaunti ya Narok nchini Kenya.
Ripoti ya Polisi imeeleza kuwa mwanafunzi huyo aliyekuwa na umri wa miaka 22 alifariki akiwa katika Hospitali ya Shepherd alikokuwa amelazwa...
Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi.
Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
CCM YAJIFUNGIA SIKU TATU KUWAPIGA MSASA WATENDAJI WAKE
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ndugu Philip Japhet Mangula Leo Novemba 03 amefungua Mafunzo ya Makatibu wa Mikoa Na Wilaya Nchi Nzima katika ukumbi wa H/KUU Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.
Pamoja na Mambo mengine ya msingi lengo...
Baada ya watu watatu kufariki wakati wa mazishi na hivyo kusababisha misiba kufika minne, wakazi wa Kangaye Mwanza wameamua kufunga kwa siku tatu mfululizo kuomboleza misiba hiyo pamoja na kuombea amani katika eneo lao.
Itakumbukwa siku sio nyingi wakati mazishi yakiendeleaa, mtu mmoja alitoa...
Mabibi na mabwana mheshimiwa Rais wetu mpendwa mama Samia amepasua mbarika tena leo.
Akiongea na vijana Mwanza, mh. Rais katamka angependa kuendelea kukaa zaidi Mwanza, ila taratibu na sheria hazimruhusu kukaa zaidi ya siku 3 katika mkoa mmoja.
Bila shaka akimaanisha kukaa siku 3 mkoani nje ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.