Pamoja na kupanda kwa gharama za maisha, bado tunashuhudia ongezeko kubwa la kodi kila siku. Maneno ya viongozi yamekuwa yaleyale kila siku, hakuna matumani, jahazi linataka kuzama.
Sisi wananchi wa kawaida ni kama watu tuliotoswa baharini ingali hatujui kuogelea. Tumepokwa hata maboya tunayo...