siha

Siha District is one of the seven administrative districts of Kilimanjaro Region in Tanzania. It covers approximately 1,158 square kilometres (447 sq mi). It is bordered to the west by the Arusha Region and to the east by Rombo District and Hai District. The western part of Mount Kilimanjaro is located within the district's boundaries.
According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Siha District was 116,313.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    GE2025 Uchaguzi mdogo Fuoni na Siha kufanyika leo

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufaa Mhe. Jacobs Mwambegele, leo Desemba 29, 2025 ametoa taarifa kuhusu uchaguzi mdogo wa ubunge unaotarajiwa kufanyika Desemba 30, 2025 katika Jimbo la Siha, Mkoa wa Kilimanjaro (Tanzania Bara) na Jimbo la Fuoni, Mkoa wa Mjini Magharibi...
  2. DodomaTZ

    Kijiji chote cha Mji Mwema - Siha kijiji chatoka kuwasha taa ya Dkt. Samia

    Kijiji cha Mji Mwema wilayani Siha kimewaka kwa hamasa baada ya wananchi kuwasha taa za Dkt. Samia mara baada ya kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin. Katika mkutano huo wa kampeni, Dkt. Godwin aliwaeleza wananchi kuhusu kazi kubwa na mafanikio...
  3. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea ubunge CUF Siha auawa kinyama katika ugomvi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limesema linafanya uchunguzi tukio la kuuawa kwa Daud Mtuyehabi, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Wananchi (CUF) Jimbo la Siha. Tukio la kujichukulia sheria mkononi limetokea Oktoba 7, 2025 majira ya saa 1:30 usiku katika Kijiji cha Kilingi, baada...
  4. A

    Siha naombeni matokeo

    Taarifa zinatatanisha,naombeni matokeo huko Siha mkoa wa Kilimanjaro,mzee wangu wa Siha nilimuombea sana tangu anachukua form,vp matokeo yake
  5. BigTall

    GE2025 Baadhi ya Mawakala wadai Katibu wa CCM Siha anataka kuvuruga Uchaguzi wa Kura za Maoni

    Mchakato wa Upigaji Kura Jimbo la Siha umeanza kuingia doa baada ya kudaiwa kuwa upigaji Kura umekamilika lakini imetokea hali ya kutoelewana kati ya Wasimamizi wa Mchakato na baadhi Mawakala. Inadaiwa kuwa Katibu wa CCM Wilaya ametoa maelekezo kuwa msafara wa kubeba Kura uondoke bila kufuatwa...
  6. SSH2025_2030

    Tetesi: ‘Dkt. Shika’ apoteza Jimbo la Siha

    Asante Wajumbe wa CCM wilaya ya Siha kwa kumpeleka LIKIZO Dr wetu wa tiba asili
  7. DodomaTZ

    PreGE2025 Dkt. Godwin Mollel achukua fomu ya kutetea Ubunge wa Jimbo la Siha, Mkoani Kilimanjaro

    Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Siha, Dkt. Godwin Mollel, amechukua fomu ya kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Siha, mkoani Kilimanjaro, kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Fomu hiyo imekabidhiwa kwake na Katibu wa CCM Wilaya ya Siha.
  8. W

    GE2025 Kennedy Mmari achukua fomu ya ubunge Siha, Kilimanjaro

    Katika kilele cha siku ya kwanza ya mchakato rasmi wa uchukuaji wa fomu kwa ajili ya kugombea nafasi ya Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), jimbo la Siha limeandika historia yake kwa kumpokea mjasiriamali Kennedy Mmari (33) kama mgombea wa kwanza kutia nia. Ni majira ya saa 8:21 mchana...
  9. K

    Shule ya Msingi Lomakaa Wilaya ya Siha Hatarini Kufungwa

    Dunia iko katika karne ya 21 ambapo maendeleo ya sayansi na Teknolojia kwa sasa yanapewa nafasi kubwa katika kuchagiza maendeleo ya Nchi mbalibali duniani. Tunatambua juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita Chini ya Mhe. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha huduma za...
  10. Just Pray

    TANZIA Mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Siha afariki dunia

    Mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa Chadema (Bawacha) Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Elizabeth Mollel amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Ocean Road, iliyopo Jijini Dar es salaam. Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho, Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Siha, Imma Saro...
  11. and 998 others

    Wananchi wamuomba Dr Godwin Mollel agombee tena ubunge jimbo la SIHA (2025-2030)

    Wananchi wa Jimbo la SIHA wamemuomba Dr Mollel agombee tena Nafasi hiyo kwa 2025-2030 ili azidi kuleta maendeleo ikiwamo Mwendokasi
  12. Roving Journalist

    LGE2024 Dkt. Mollel: Hii sio kodi yenu, ni CCM ndio imeleta hela

    Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.
  13. BigTall

    LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA (Siha - Kilimanjaro) adai kuna Watu 200 wameandikishwa ambao sio wakazi wa kitongoji chake

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro, Imma Saro anadai katika ziara ya kuangalia majina yaliobandikwa aliyofanya amekuta Kitongoji chenye Makazi 101 kimeandikishwa Watu zaidi ya 375 ambao Watu 200 sio wa Kitongoji cha Ekunywa Kata ya Makiwaru.
  14. chiembe

    Mama Janeth Magufuli anazidi kung'ara kwa siha na wajihi katika awamu hii ya sita

    Mama Janeth Magufuli kwa kweli amezidi kupendeza, nimefuatilia sana matukio yake katika awamu ya sita, ni mtu mwenye furaha sana, anatabasamu, kwa kweli anaonekana mtu mwenye amani sana, hana mawazo, amesakata dansi pale ikulu chamwino, Mwenyezi Mungu amuweke.
  15. M

    Saa nne na nusu Dar es Salaam - Morogoro, haina siha kwa uchumi wetu

    Dar es salaam mpaka Morogoro ni umbali usiozid kilometa mia mbili lakini muda unaotumika kwa sasa hasa mabus ya Abiria ni masaa manne mpaka matano.Hii haina tija kwa uchumi wa nchi. Ni lazima lifanyike jambo la haraka.
  16. W

    Mkate wa Siha

    Kwa wale wahenga wenzangu wa Oysterbay na Masaki, mnakumbuka kipindi cha miaka ya 80, pale Morogoro stores, kulikuwa na duka lina uza Mikate ya Siha, kipindi hicho niko mdogo sana sikumbuki vizuri ila ninachokumbuka kama vile ilikuwa inapaikana mara moja kwa week na kulikua kama inagombewa...
  17. Chagu wa Malunde

    Rais Samia: Nawashukuru wote mlionitakia heri ya kuzaliwa na siha njema

    "Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia neema ya kutimiza miaka 63. Nawashukuru nyote kwa salamu zenu nyingi za upendo katika siku hii. Ahsanteni sana kwa dua za siha njema, umri mrefu na utendaji bora, ninapoendelea na jukumu hili la kulitumikia Taifa letu kusonga mbele zaidi," Rais Samia.
  18. Lady Whistledown

    Siha: Madiwani waugomea mradi wa Maji, Mbunge aagiza kukamatwa kwa Mkandarasi

    Mbunge wa Siha (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, Dk Godwin Mollel amemtaka mkandarasi aliyejenga mradi wa maji wa Gararagua kutafutwa popote alipo kwani umejengwa chini ya kiwango. Amesema hayo leo Alhamisi, Julai 21, 2022 katika Ofisi ya Bodi ya Maji, Magadini Makiwaru iliyopo Karansi wilayani humo...
  19. John Haramba

    Huduma mbovu yamponza Mganga Mfawidhi hospitali ya Wilaya Siha, Waziri amshusha cheo

    Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel ameonyesha kukasirishwa na huduma mbovu inayotolewa katika Hospitali ya Wilaya ya Siha baada ya wananchi kulalamikia huduma mbovu huku akikiri kujionea kwa macho yake baada ya kushuhudia mgonjwa akiachwa zaidi ya saa moja bila kuhudumiwa. "Ninaagiza...
  20. waziri2020

    Vigogo halmashauri ya Siha wadaiwa “kutafuna “mil 140 ,wadaiwa kuigeuza halmashuri shamba la Bibi.

    Vigogo halmashauri ya Siha wadaiwa kuchota milioni 140 fedha za makusanyo ya ndani. *Wadaiwa kuigeuza halmashauri “shamba la bibi “ *Yumo mwanasheria,mhasibu,mkaguzi wa fedha za ndani pamoja na mtaalamu wa mfumo wa mashine za kukusanya mapato . Na,Mwandishi Maalumu SIRI mbalimbali za...
Back
Top Bottom