siasa

Siasa
Siasa za Tanzania hufanyika katika mfumo wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Muungano, ambapo Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi, Amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa Serikali katika mfumo wa vyama vingi.

Tembelea Jukwaa la Siasa
  1. JamiiForums Tanzania Nipo Zangu Singapore ila Lissu wamuachie sikutaka kuingia kwenye siasa ila mzee wamuachie tu hana kosa

    Samia Acha uoga mzee huyo hana kosa we ndo una makosa Mnatuforce kuingia kwenye siasa bila kutaka Mnatulazimisha , Mpaka kuna watu Uzi fulan Walisema natumia Pesa haramu za samia kutamba nchi za watu! Kwanza Samia hana uwezo wa kunihonga na hako ka abdu kake! Pili nawasihi msikate Tamaa kama...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Doyo: Siasa za Tanzania zinahitaji fedha, kuna vyama vina wafadhili mpaka nje ya nchi

    Katibu Mkuu NLD na aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu mwaka 2025, Doyo Hassan Doyo, akizungumza kwenye mahojiano na Wasafi Media leo Julai 2, 2026 "Ni kweli siasa ya nchi hii inahitaji fedha. Ukizungumzia mikutano ya hadhara, mkutano mmoja mdogo ambao unaweza...
  3. JamiiForums Tanzania Siasa kwa wengine ni Biashara, wengine ni Wito, wengine ni fursa ya kujipatia umaarufu

    Hamjambo! Mimi sijambo Unapoingia kwenye siasa usiingie kichwa kichwa kama panya kwenye shimo ambalo hakulichimba. Asilimia kubwa ya watu siasa kwao ni fursa ya kibiashara na kiuchumi. Wao siasa wameingia kwa sababu ya Maslahi Yao ya kiuchumi. Hivyo chochote anachokifanya ndani ya siasa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ipende Kwanza Tanzania kabla ya kukipenda Chama Chako Cha Siasa (Mfano: CCM au CHADEMA). Chama kinakufa ila nchi haifi

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Ndugu zangu, ninawaombeni sana, sana, sana, sana, tena saana, msisahau kuipenda na kuwa wazalendo kwa Tanzania yetu. Ipendeni kwanza Tanzania, kisha baadae ndio ukipende chama chako cha siasa (Mfano: CCM au CHADEMA). Ndugu zangu, hivi vyama vinavyoitwa kuwa ni vya...
  5. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki: Katambi na Vyama vya Siasa Kainerugaba na Vyombo vya habari. Tunaelekea wapi?

    Huku waziri aloteuliwa na Samia akifungia vyama vya Siasa, Mtoto wa Rais wa Uganda amefungia vyombo vya habari. Kisa mtangazaji wake alihoji kutata kujua kama Janeth Mke wa Museven amekufa huko Marekani au yupo hai. Mnamo Machi 21, 2026. Yoweri Museveni alisema kwaamba ana hofu kubwa juu ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Matendo, maamuzi na kauli za viongozi wa serikali na CCM zinafanya hata wasiopenda siasa kuwapinga, kuwachukia na kujiingiza kwenye siasa bila kupenda

    Nitoe mfano wangu binafsi. Mie sio mwanasiasa, na wala sijawahi kujihusisha na siasa. Lakini mtu yeyote akisoma thread zangu anaweza kuhisi mie ni mwanachama wa Chadema au chama kingine cha upinzani. Si kweli. Nakiri walionifikisha hapa ni CCM na viongozi wa serikali. Unakuta mara nyingi...
  7. JamiiForums Tanzania Chama kilichosusia uchaguzi kinaachwa vipi kufanya siasa??

    Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
  8. JamiiForums Tanzania Tumezaliwa tukiambiwa magereza/Rumande nikubaya hebu ongezeni adhabu kwa hawa wahatarisha amani nchini ili wakitoka wawe mabalozi wa kulinda amani.

    Unajua amani ndo uchumi wenyewe pasipo na amani hakuna shughuli za uchumi, hakuna ajira, hakuna shule, hakuna madawa, hakuna nyongeza za mishahara, hakuna haki ya kuabudu nk. Haiwezekani mtu afanye kosa la kuhatarisha amani ya nchi au afanye vurugu halafu aende Rumande halafu atoke halafu...
  9. JamiiForums Tanzania Leo wafuasi wa CHADEMA hawajalala wamekesha jukwaani. Kuweni makini siasa zitawapa hypertension Tanzania is very strong than ever

    Nadhani wafuasi wa chadema huwa Wana high expectations za kisiasa ambazo hazipo nchini. wanajidanganya na kuamini. Nenda hapo Rwanda hakunaga siasa taka kama za chadema. Leo mmekesha mnaandika nyuzi 🤣🤣 Nendeni mkafanyie mikutano kwa mabeberu ili mkasalimie na wake na watoto wenu Poleni sana...
  10. JamiiForums Tanzania Hakupenda siasa ila aliingia kwa kutaka kuwakomesha na wakamzamisha kwenye kina kitefu

    Hlw In his life he cannot come to like Tanzania's politics, and even if one day he gains his freedom I don't know if he will get back into politics again. And if he does get back into politics or meddle in it again, he will have deeply into politics Kijana alijitengeneza vizuri sana kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania "Mchango wa Siasa katika maendeleo ya jamii (The contribution of politics in Communities development"

    African's politics Affairs
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TLS na vyama vya siasa na hata CCM wenyewe, ni kwenda mahakamani kupinga katazo la waziri la mikutano ya hadhara, jambo la kikatiba

    Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi mengi ya kukiuka katiba, kufikia hata kiwango cha kuua raia wasio na silaha kwa sababu tu...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Je hii ndo Sheria ya vyama vya siasa na je hiki kipengele Cha namba E ndivyo kilivyo ??? Ni swali TU Wataalamu wa Sheria watusaidie ?

    Wataalamu watusaidie kuitambua hii Sheria kama ndivyo ilivyo ?? SHERIA YA VYAMA VYA SIASA (SURA YA 258) ------------- KANUNI (Zimetungwa chini ya fungu la 22(b)) KANUNI ZA MAADILI YA VYAMA VYA SIASA ZA MWAKA 2007 SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI 1. Kanuni hizi zinaitwa kanuni za Maadili ya Vyama...
  14. JamiiForums Tanzania Siasa Banah, Baba Levo ndo MBUNGE Bora mpaka Sasa kwenye Bunge la serikali iliyoingia madarakani 20 October?🤣😂

    Mpaka sasahivi Baba Levo ndo MBUNGE Bora, anafatiwa na simai aliyemwambia Nchimbi ni msaliti🤣😂 kama ndo hivyo nauliza kwa Nini majeshi hamtaki watoto waliomaliza darasa la 7 wawe wabunge? Baba Levo anatetea wanaume wanao pigwa na wake zao, anatetea boda boda, anatetea darasa sa Saba wenzake...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiunganisha uongozi wa Uganda wanacho kifanya ndio Tanzania wanacho kifanya

    Kuna kauli za Museveni na mwanae kama inavyoonekana Tanzania imeshakuwa mali yao bado kenya kwa mfumo wake wa utawala. Kitu kinacho nipa kufikiria zaidi embu mfatilie museveni na mfatilie samia kauli zake na matendo ya serikali .
  16. JamiiForums Tanzania Checkmate ya Siasa: Pale Mfumo Unapolazimika Kujilinda Dhidi ya Shinikizo baada ya kufanya blunders

    Anaandika Robert Heriel Mtibeli Post zilizopita nilisema serikali au mtu hutawaliwa na kwa kutumia mambo matatu. Yaani ili serikali yeyote dunia iongoze hutumia. Mambo haya matatu; a) Hofu Kile watu wanachokiogopa. Serikali nyingi za kimabavu hutumia njia hii. Hata hivyo hasara ya njia hii ni...
  17. JamiiForums Tanzania Siasa UNALIPa hizo Milioni 100 alizotenga Katambi wa CHADEMA kwa watakao ripoti taarifa kwake kazitoa wapi?

    Hizi ni fedha zake au za serikali? Kutoa taarifa za waarifu ni wajibu WA kila raia Ukiona. Hazitoki basi kaa kimnya yulozana
  18. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Prof Asad-Ni kosa kuruhusu wafanyabiashara kuiteka siasa!

    Tanzania kikatiba ni nchi ya kijamaa. Lipo kosa kubwa lililofanyika kuruhusu Wafanyabiashara,mabepari kuingia kwenye siasa na hivyo kufifisha nguvu ya wakulima na wafanyakazi. Hili ni kosa linalopaswa kurekebishwa. Kosa hili linafanana na kosa lingine ambalo tunaona madhara yake...yaani...
  19. JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu Assad: Kosa kubwa tulilofanya ni kuruhusu Wafanyabiashara kuingia kwenye siasa!

    Kosa kubwa tulilofanya ni kuruhusu Wafanyabiashara kuingia kwenye siasa! Wakati wa Nyerere kulikuwa hakuna kitu kama hicho! Ukishamruhusu Mfanyabiashara kuingia kwenye Siasa kuna muda atafanya maamuzi ya kumnufaisha yeye” - Professor Assad Profesa Assad amezungumza hayo kwenye kipindi Jahaza...
  20. JamiiForums Tanzania Nje ya siasa ntakuja na Simulizi ya Maisha ya waafrika nje ya Africa na wanavyopata pesa Asia, Ulaya na Marekani, wengi wanawake wanateseka episode 10

    Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…