siasa za afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rorscharch

    Katiba Nzuri Sana Huvunja Taifa Polepole: Hadithi ya Afrika Kusini, Onyo kwa Watanzania

    Kuna maradhi ya kimyakimya yanayoshambulia mataifa ya Kiafrika, si kwa mapanga wala risasi, bali kwa nyaraka nzuri zilizopambwa kwa wino wa kimataifa. Maradhi haya si mengine bali ni imani butu kwamba katiba nzuri, yenye maneno matamu ya haki na uhuru, ni tiba ya kila ugonjwa wa taifa. Afrika...
  2. Mganguzi

    Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  3. kavulata

    Niwaombe watu wa dini wakae mbali na siasa za Afrika

    Dini zetu hizi mbili zina bahati mbaya sana Afrika, ujio wake Afrika uliambatana na watu waliotenda mabaya na wanaendelea kuyatenda mabaya Afrika mpaka leo. Bahati mbaya sana watu wa dini hizi hawakuwakemea na hawawakemei hadi sasa. Walikuwa wakiwasalisha na wanawasalisha mpaka sasa bila...
  4. Genius Man

    Haya mambo utayapata Africa tu Tamaa za madaraka wananchi wa tunisia waandama dhidi ya serikali kwa kukandamiza upinzani

    Haya mambo utayapata africa tu Tamaa za madaraka wananchi wa tunisia waandama dhidi ya serikali kwa kukandamiza upinzani. Haya mambo kama huelewi ndio anayofanya samira watu wamehamasisha uwepo wa haki kwenye taifa wanaitwa waahini, watu wameenda mahakamani wanaitwa wafanya vurugu, watu...
  5. lugoda12

    SIASA ZA AFRIKA NA MAREKANI

    Jamaa huyu ni Michael Langley kama kamanda mweusi wa Amerika kwa Afrikom. Wakati wa Imperialists White wanataka kuondoa viongozi wa Kiafrika hutumia uso mweusi. Mtu huyu anataka Ibrahim Traore, kiongozi mkubwa wa Afrika aliuawa. Wacha tumfunue mwongo huyu mweusi wa Amerika.
  6. Rorscharch

    Tunaishi: Lakini Hatufikiri: Nakerwa na Watu Wasiotafakari Maisha Yao, Kwa Nini Watu Wengi Hawajiulizi Maswali Muhimu?

    Kuna kitu kimoja huwa kinaniumiza ndani kabisa ya moyo wangu: watu wanaoishi bila kufikiria matendo yao, bila kujiuliza maswali ya msingi. Watu wanaoishi kwa mazoea, kwa haraka, bila kujali mambo yanavyowaathiri wao na wengine. Mimi ni mtu wa kutafakari sana. Nikiwa peke yangu, huwa nafikiria...
  7. J

    Siasa za Africa mashariki zina maigizo mengi ila Tundu Lissu anazichukulia serious, ajifunze kwa Raila Odinga

    Tanzania kwa mfano CCM ni chama chenye misingi na mfumo mkongwe hivyo kuondoka kwake madarakani ni hadi kizazi cha akina Jr kipite waingie akina X Musk Siasa za africa ni maigizo matupu ila uongozi wa Chadema wa sasa unataka kujitoa ufahamu na kujifanya wako serious Nashauri Watanzania...
  8. GENTAMYCINE

    GENTAMYCINE nikisema kuwa unahitaji Akili ya kama ya Mwendawazimu kuhangaika kufuatilia Siasa za Afrika, kuumizwa nazo na kuzipenda huwa nakuwa sahihi

    Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amewajibu wakosoaji wa Serikali ya Rais William Ruto wanaotaka aondoke madarakani huku akisema wanataka atoke aende wapi. Kauli ya Odinga inakuja zikiwa zimepita siku chache tangu asaini makubaliano ya kufanya kazi na Rais Ruto nchini Kenya...
  9. Mindyou

    Mahamoud Ali wa Djibouti ashinda nafasi ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) dhidi ya Raila Odinga kutoka Kenya

    Waziri wa Mambo ya nje wa Djibouti Mahamoud Ali Youssouf ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika maarufu (AUC). Katika Uchaguzi ambao ulikuwa nchini Ethiopia Mahamoud alishinda dhidi ya Raila Odinga ambaye alikuwa mwakilishi pekee kutoka Afrika Mashariki Raila alishinda...
  10. Mr Why

    Siasa za Afrika zina matatizo mengi sana, tukubali tu kuongozwa na CCM kikubwa waendelee kutii muongozo wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Siasa za Afrika zina matatizo mengi sana, tukubali tu kuongozwa na CCM kikubwa waendelee kutii muongozo wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, CCM ndicho chama kilicholeta Uhuru wa Tanganyika December 9, 1961 kwa hali ya utulivu bila kumwaga damu kipindi...
  11. K

    Tatizo kubwa wa serikali nyingi za Africa na mashariki ya kati

    Baada ya kukaa nchi ya USA kwa muda mrefu pamoja na mapungufu mengi wamefanikiwa sana kwasababu hizi 1. Wana mfumo imara ambao kiongozi yeyote anaweza kushinda na kushidwa 2. Mahakama na mfumo wa sheria mzuri 3. Uhuru na sio uchawa 4. Ubunifu 5. Mfumo wa uchumi ambao ni imara mfano bank kuu yao...
  12. K

    Tofauti ya Botswana Democratic Party na CCM!

    Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961. Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali. Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Top 5 viongozi bora Afrika 2024

    Kwangu mimi hii ndio orodha ya viongozi bora Afrika kwa sasa. 1. Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) 2. Dkt. Tulia Ackson (Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa IPU) 3. Rais Hakainde Hichilema (Zambia) 4. Rais Nana Akufo-Addo (Ghana) 5. Rais Cyril Ramaphosa (Afrika Kusini)
  14. chiembe

    Jana tu wananchi walikuwa wanalisema "Rutto Must Go" leo wabunge wanaimba "Gachagua must Go. Kuna haja ya siasa za Afrika kudhibitiwa na dola

    Nathan ni sahihi siasa za gulioni zikadhibitiwa ili zisiathiri usalama na utengamano wa nchi. Ndio maana China, Urusi, Tanzania zina siasa zenye mtangamano. Mambo ya siasa za gulioni (demokrasia iliyopitiliza) yakiruhusiwa, yanaitoa nchi kwenye mstari. Ndio kinachotokea Kenya, wananchi...
  15. ChoiceVariable

    Rais wa Zambia Hichilema awasimamisha Kazi Majaji 3 wa Mahakama Kuu.Walikuwa Watoe Hukumu ya Kumruhusu Mpinzani Wake Edger Rungu Kugombea Urais 2026

    Rais wa Zambia bwana Hajainde Hichilema amewasimamisha kazi Majaji 3 wa mahakama kuu Kwa madai ya mwenendo usiofaa na kusababishia lawama za Serikali kuingilia mhimili wa mahakama. Majaji waliosimamishwa walikuwa Watoe Hukumu ya kama Rais wa Zamani bwana Edger Rungu aruhusiwe kugombea au...
  16. ChoiceVariable

    Gen.Muhoozi: Hakuna Raia Atawahi Kuwa Rais Uganda

    My Take Na 🇹🇿 ilitakiwa kusema hakuna Mpinzani Atakuwa Rais bila kupepesa macho.👇👇 Mkuu wa Jeshi la Uganda, ambaye pia ni mtoto wa kiume wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hakuna raia atakayeiongoza Uganda kwakuwa hilo ni jukumu la wanajeshi au polisi wa...
  17. CARIFONIA

    Wengi wana macho ila ni wachache wanaoweza kuona

    Habari zenu waungwana, leo nimeona nifunguke hapa ili niweze kushea nanyi mambo nilyoyaona baada ya kufanya critical thinking ya hali ya juu Natambua watu wetu wa intelejensia wameshaliona hili jambo tatizo lipo kwa watanzania wa kawaida, wengi information zao uzipata kupitia vyombo vya habari...
  18. ChoiceVariable

    Rais wa Zambia alitoa onyo kali Julai 6, 2024 kwa vikundi vinavyochochea mgawanyiko wa Kitaifa

    Rais wa Zambia Hakainde Hichilema Maarufu kama HH alitoa Onyo Kali Julai 6, 2024 Kwa Vikundi vya Kisiasa na kikabila ambavyo vimekiwa vinaeneza chuki na kushadidia Mgawanyiko wa kijamaa Kwa maslahi ya Kisiasa. Bwana Hichilema ambae alitokea Upinzani amesema atawashighulikia wote wanaotaka...
  19. Lady Whistledown

    Afrika Kusini: Upinzani watikisika, Naibu wa Malema ahamia Chama cha Zuma (MK)

    Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF), kimepata pigo kubwa baada ya Naibu wake, Floyd Shivambu, kujiondoa na kujiunga na Chama cha aliyekuwa Rais Jacob Zuma - uMkhonto weSizwe (MK) Floyd Shivambu alikuwa anachukuliwa kama Mtaalamu wa Kiitikadi wa EFF huku Julius Malema, akichukua nafasi ya...
  20. hitler2006

    PreGE2025 Watanzania siasa haihitaji ushabiki, siasa inahitaji ufuasi

    Kuna shida sana ya watanzania tulio wengi,tumeathirika sana na ushabiki hasa wa namna ileile ya simba na yanga. Siasa zinahitaji ufuasi,mfuasi ni mtu anayeelewa barabara kile anchokifuata kimaono, kimtazamo, kisera Hizi siasa za kishabiki mtu anaunga mkono chama fulani kwa mihemko au kapewa...
Back
Top Bottom