shule za bweni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania HOJA Mwanafunzi anayemaliza darasa la Saba akapata ufaulu wa "A" huyu mtoto ni nyara ya Taifa asipangwe shule za kata mnadumaza vipaji nchini

    Motisha pekee ambayo inaweza kutolewa na serikali kwa mtoto aliyefanya vizuri katika mitihani yake ya darasa la 7 ni kupangiwa shule ya bweni/vipaji badala ya kubakizwa hapohapo kwenye shule za kata hii ni kudumaza vipaji vya watoto nchini na ni hujuma kwa maendeleo ya elimu nchini Huwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Haitaji Shule za Bweni za Jinsia Moja

    Katika dunia ya sasa, Tanzania inakua na changamoto nyingi za kijamii na kielimu. Mojawapo ya changamoto hizo ni mfumo wa shule za bweni za jinsia moja (hasa zile zisizo za kidini). Ingawa mfumo huu ulikuwa na nafasi yake katika historia, leo hii unazalisha matatizo makubwa kuliko faida. 1...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa shule za kata aliyeingia kwa wastani wa "C" kidato cha kwanza anaweza kuhamishiwa shule za bweni kitaifa?

    Kuna watu wanajeuri sijui ya fedha? Mtoto wake mwaka jana alifaulu kwa wastani wa "C" kapelekwa shule ya kata kama wanafunzi wengine wote. Pamoja na kwamba hizi shule za kata kuna wanafunzi waliingia kwa wastani wa "A". Sasa huyu jamaa anamuhamishia kidato cha pili shule za bweni kitaifa...
  4. JamiiForums Tanzania Shule Ipi bora Secondary kwa Maisha ya sasa Boarding au Day?

    Habari, Samahami nimejikuta katika wakati Mgumu sana baada ya mwanangu kumaliza darasa la saba mwaka huu 2024. Tumekuwa tukivutana na mke wangu sana. Mtoto kapata shule nyingi za boarding namaanisha private. Katika shule hizi kuna boarding mchanganyiko na boarding ya single. Namaanisha Jinsia...
  5. JamiiForums Tanzania Tuzuieje shule za wasichana watoto kusagana?

    Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu. Hivi hizo shule hazina waalimu? hawana intelijensia ya shule, mbona wakifanya uchunguzi wanafunzi wenyewe...
  6. JamiiForums Tanzania Skuli za boding hazifai kwa Ustawi mzuri wa vijana wetu

    Kuna jambo moja hatulifahamu sisi Waafrika nalo si jengine bali ni kulinda tamaduni zetu za Kiafrika,tumeshindwa kabisa kulinda tamaduni za kiafrika kutokana na changamoto za kimazingira ambapo kimsingi kunakuwa na athari katika tamaduni zetu. Tamaduni ni mfumo mzima wa maisha ni kitu ambacho...
  7. JamiiForums Tanzania Tukio la Ubakaji shuleni: Wazazi muwe Makini na watoto mnaopeleka shule za Bweni

    TUKIO LA UBAKAJI SHULENI: WAZAZI MUWE MAKINI NA WATOTO MNAOPELEKA SHULE ZA BWENI Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwaka 2016 nilipata kibarua cha kujiegesha katika shule ya binafsi maeneo ya Mwembe Mtengu, Kigamboni. Ile shule nikakuta waalimu wengine vijana ambao ni rika langu. Hapakuwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Shule za bweni kwa wavulana ni tishio katika mmomonyoko wa maadili

    Ndugu zangu kuna haja kufanya marejeleo katika suala la shule za bweni kwa vijana wetu wa kiume kwasababu zinachangia kwa kiwango kikubwa katika suala zima la mmomonyoko wa maadili.
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania: Serikali yapiga marufuku watoto kukaa bweni (boarding) kuanzia darasa la nne kushuka chini

    Serikali ya CCM imeamua kufanyia tangazo la jirani zetu wakenya kupiga marufuku watoto kuishi shuleni kuanzia darasa la nne. Sababu kuu wanayodai ni mmomonyoko wa maadili shule za bweni kuwa ni mkubwa mno. Mimi ni mdau wa elimu, hii sababu sio kweli hata siku moja.. SEMA kwa sababu Serikali...
  10. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 4,224 pekee wachaguliwa Shule za Bweni Kidato cha Kwanza kati ya 50,475 wanaostahili

    Uchache wa Shule za Bweni nchini umesababisha Wanafunzi 46,251 kukosa nafasi ya kujiunga na Shule zenye huduma hiyo Nchini Idadi ya Shule za Serikali zinazochukua Wanafunzi wa Kidato cha Kwanza mwaka 2023 ni 4,307 ambapo Shule za Kutwa ni 4269 na Bweni ni 38 zenye uwezo wa kupokea Wanafunzi...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya imepiga marufuku shule za bweni kwa ngazi ya msingi, sisi ndiyo kwanza tunakumbatia

    Kenya imetangaza kuanzia mwakani hakutakuwa na Bording school kwa watoto wa shule za msingi na wazazi wanapaswa kuwa wanawapeleka watoto shule asubuhi. Hii ni kwa ajili poa ya kutaka watoto wawe karibu sana na Wazazi wao kwa swala zima la malezi. Sasa njoo kwwtu Tz ambako kupeleka mtoto mdogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…