shule binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Shule za English Medium michango imekua mingi sana. Halafu ni ujanja ujanja

    Kumekua na tabia ya shule hizi kuchangisha wazazi mara pesa za picnic, mara study tour, mara graduation na pesa ya mpiga picha elfu 10 picha 1 (hii ni ajabu). Sasa kwenye michango hiyo wamgeuza ni vitega uchumi. Mfano kuna shule moja mkoani tabora ilichangisha michango watoto waende picnnic...
  2. A

    Serikali ifuatilie baadhi ya shule binafsi mapato yake kila Mwaka na mishahara ya Wafanyakazi wake haviendani, waajiriwa wananyonywa

    Mfano Shule ya Wavulana iliyopo Mitaa ya Kawe (jina kapuni), mwajiriwa mwenye Shahada analipwa mpaka 530k baada ya makato inabaki 360k ingali ada kwa Kila Mwanafunzi kwa mwaka ni Sh 12m, hii haina usawa.
  3. Mikael Aweda

    Hasara kubwa sana ya mfumo mbovu wa elimu kwa watoto wetu ambao wengi hawazijui hasa kwa shule binfasi na serikali pia

    Na Mwl Mikael Aweda Naanza kwa kuuliza swali la kushtua kidogo. Je, wajua kuwa mfumo wa shule zetu nyingi Afrika unachangia wewe kuwa maskini?? Bila shaka hilo hi swali la kushtua kwako na kwangu. Leo tutajadili jambo la tatu kwenye utafiti uliofanywa na Umoja wa mataifa Kitengo Cha Maendeleo...
  4. DodomaTZ

    DOKEZO Viongozi wanaharibu mazingira kwa kuuza mchanga eneo la Shule ya Juhudi kwa maslahi binafsi

    Viongozi wa Kata ya Lukobe Kihonda katika Mtaa wa Majengo Mampya Manispaa ya Morogoro wakiwemo Mtendaji na Diwani wamekuwa wakijihusisha na biashara ya mchanga uliopo eneo la Shule ya Juhudi kwa maslahi yao wenyewe binafsi. Wanafanya matukio hayo katika Shule ambayo ilifungwa kwa muda kutokana...
  5. M

    DOKEZO Serikali imeshindwa kusimamia syllabus na mihula ya shule: Shule binafsi zina mihula na likizo zao

    WAZIRI WA ELIMU PAMOJA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA ELIMU WAMESHINDWA KUSIMAMIA SYLLABUS NA MIHULA YA SHULE: SHULE BINAFSI ZINA MIHULA NA LIKIZO ZAO TOFAUTI Katika suala hili msomaji zingatia haya: Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) ina jukumu la kutafsiri kwa vitendo Sera za Serikali kuhusu Elimu...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Shule binafsi tutumie walimu maroboti ili kubana matumizi

    Ni Muda Mwafaka wa Shule Zetu za Binafsi na Vyuo Binafsi Kuanza Kutumia Maroboti Kufundisha Ili Kubana Matumizi Katika ulimwengu wa sasa unaoendelea kwa kasi kiteknolojia, matumizi ya maroboti na akili bandia (AI) katika sekta mbalimbali yamekuwa yakiongezeka kwa kasi. Moja ya maeneo ambayo...
  7. Arizona 1

    Kwa wamiliki wa shule binafsi za msingi, Zoezi la kuwalazimisha watoto wa darasa la 4 kukaa boarding kipindi cha likizo ya mwezi wa 6 ni Zoezi haramu

    Wanajukwaa salam! Nasema na hawa wamiliki wa mashule, Natambua jitihada zao za kushiriki katika kuondoa adui ujinga katika taifa...lkn sasa, swala hili la kulazimisha watoto wadogo wa darasa la 4 waende kukaa boarding bilaa ridhaa ya wazazi ni unyanyasaji wa watoto. Tamko la Waziri wa elimu...
  8. Mindyou

    Waziri Mkenda aonya Shule binafsi zisizofuata kalenda ya masomo na kulazimisha watoto kubaki shuleni kipindi cha likizo

    Wakuu, Hii ni kwa zile shule binafsi ambazo hawaruhusu watoto kurudi likizo au hawafuati ile ratiba kufunga na kufungua shule ambayo imewekwa na Wizara ya Elimu, leo Mkenda amezungumza Akiwa anatoa hotuba leo kwenye Mkutano wa 35 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara hiyo mkoani Morogoro, Waziri...
  9. MamaSamia2025

    Iwe kasoma Kayumba au EMs bado mwanao ana nafasi ya kufanikiwa maishani ukizingatia malezi bora

    Siku za hivi karibuni kumeibuka mabishano makali kuhusu kusomesha mtoto St Kayumba (Govt schools) au English Medium (Private school). Upande wa St Kayumba wana hoja na hata wa Private pia wana hoja. Binafsi msimamo wangu ni kila mtu asomeshe mwanae kulingana na uwezo wake wa kifedha. Faida...
  10. M

    Kuna umuhimu wa serikali kufanya ukaguzi hizi shule binafsi. Watoto darasa la 4 wanawekwa Shuleni mpaka saa 12 jioni Jumatatu - Jumamosi

    Shule moja inaitwa Center for Education Plus Darasa la 4 miaka 9 wanakalishwa shuleni mpaka saa 11 Jumatatu mpaka Jumamosi wanafika nyumbani saa 1 usiku. Huyu mtoto anasoma nini?. Ubongo wake umeshakomaa kukaa muda wote huu akisoma?. Sio sawa kabisa.. Angalau wangefanya mara 3 kwa Wiki. Na...
  11. Braza Kede

    Watoto wa English medium wanachezea lugha ya malkia wakati mimi ndo naihitaji huku kazini

    Daahh haya mambo bwana kuna muda huku kibaruani mnapata wageni hawajui kiswahili mnaanza kutafuta visingizio vya kuwakwepa au mnamsakizia mwenzenu mmoja mwenye unafuu akamalizane nao huko, mambo yasiwe mengi. Kumbe wamba mpo kimya mmejifungia ndani kama hampo vile kuna mnawazoom tu nyuma ya...
  12. F

    Natafuta shule za English medium za bei nafuu

    Habari Natafuta english medium primary school kwa Dar es salaam zenye school fees below 1 million . Kuna research nahitaji kufanya nao niwasiliane nao. Ntapendelea kwa Dar eneo lolote. Asante
  13. robbyr

    Shule binafsi hazina msaada kwenye badiliko ya Elimu kama mazingira ni haya.

    Katika kasi ya mabadiliko ya mtaala niliona shule binafsi kama chachu kwa sababu ya uwezo wa kuweka miundo mbinu kwa ajili ya kuisaidia serikali ila kwa mazingira haya naona giza. Siandike kuweka data ila kwa uzoefu wa miaka minne ni udhibitisho tosha. Unanyanyasaji wa walimu, baadhi ya shule...
  14. B

    Kama bado unapenda kuendelea kupigwa hela kwenye shule za EMs , usiwafokee wazazi wanao warudisha watoto Kayumba Kwa sababu wenzako wameshajielewa

    Kasi ya wazazi kuwatoa watoto Wao shule za EMs kuwarejesha Kayumba inazidi kuongezeka kila siku. Huko mtaani ni balaa mamia Kwa maelfu ya wazazi wanawatoa watoto Wao shule za EMs na kuwarudisha Kayumba. Tayari wamesha jielewa. Tayari wamesha jua walifanya makosa. Na hawataki kufanya makosa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Kwa Wazazi: Utapeli wa English Medium upo katika maeneo yafuatayo

    Mpo Salama! 1. Waalimu kulipwa mishahara Duni Unapopeleka mtoto English Medium au shule yoyote Jambo la Kwanza Kabisa lazima uulize mishahara ya waalimu. Wanalipwaje? Mshahara wa Mwalimu ni kiashiria namba Moja kuonyesha mtoto wako atapata Elimu Bora. Matokeo ya mitihani huweza kupokwa. Mtu...
  16. choza choza

    Serikali inaogopa nini kufanya lugha ya kufundishia iwe kingereza kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu?

    Bado nashindwa kuelewa kwanini serikali bado inapata kigugumizi kuamua tuu kingereza kiwe lugha ya kufundishia kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu ili kuendana na teknolojia na ulimwengu. Je nini kinawakwamisha 1. Walimu hawana uwezo? 2. Wanalinda biashara ya shule za mabasi ya njano...
  17. C

    Je Wanafunzi walio omba mkopo wa kujiendeleza na elimu ya juu lakini walisoma shule binafsi je wanaweza pata mkopo

    Wana JF naombeni kujuzwa nina ndugu yangu ameomba mkopo wa kujiendeleza na elimu wakati selection ya kwanza inatoka account yake ilikuwa inaleta ( your application has been submited successful ). Then selection 2 inatoka account ya dogo ikachange kuenda SIPA lakin kila tukijalibu kuangalia...
  18. A

    DOKEZO Ukatili unaofanyika kwa watoto wa shule binafsi ya EXPERANCIA (Sengerema)

    Awali ya yote napenda kuushukuru uongozi wa Jamii Forums kwa kuendelea kuruhusu kufichua maovu yanayoendelea kutendeka katika jamii zetu. Kuna ukatili wa watoto (wanafunzi unaoendelea katika shule ya binafsi (Experancia) iliyoko wilaya ya Sengerema. 1. Watoto wanapatiwa adhabu zenye kuwazidi...
  19. N

    MSAADA: Mwenye kujua taratibu za kumhamisha mtoto toka shule binafsi kurudi shule za serikali

    Amani ya bwana iwe juu yenu waungwana. Kama kichwa cha habari kinavyojielezq,nina kijana wangu yupo kidato cha kwanza shule binafsi iliyopo Pongwe-Tanga,alihitimu elimu ya msingi Dar es salaam na kuchaguliwa kujiunga na shule ya serikali ya kata iliyopo maeneo ya Chanika. Nilifuata taratibu...
  20. LIKUD

    Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

    Mnapoteza pesa zenu tu bure kuwasomesha hawa watoto ambao mnawaita zoomers Generation (Gen Z) Nimewachunguza hawa watu. Nimeenda hadi chuo kimoja cha kati kusoma kozi ya miezi mitatu ili niwasome hawa viumbe. They have cut from a very different cloth. Don't waste your money please...
Back
Top Bottom