shooting

Shooting is the act or process of discharging a projectile from a ranged weapon (such as a gun, slingshot, crossbow, or bow). Even the acts of launching/discharging artillery, darts, grenades, rockets and guided missiles can be considered acts of shooting. When using a firearm, the act of shooting is often called firing as it involves initiating a combustion process (deflagration).
Shooting can take place in a shooting range or in the field, in shooting sports, hunting or in combat. The person involved in the shooting activity is called a shooter. A skilled, accurate shooter is a marksman or sharpshooter, and a person's level of shooting proficiency is referred to as their marksmanship.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Masau Bwire tumechoka na Tambo zako zisizo na maana kila Timu yako ya Ruvu Shooting FC ikicheza na ama Yanga SC au Simba SC

    Nakushauri tu Mwalimu Masau Bwire ( Msemaji wa Ruvu Shooting FC ) uwe unanyamaza tu kwani Tambo zako huwa haziendani na Ufanisi wa Timu yako Uwanjani pale ikikutana na Yanga SC au Simba SC sanasana huwa unaishia tu Kufungwa idadi Kubwa ya Magoli. Tumekuchoka na Unatuboa sana Kaka!!
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ndio ushindi. Hata akihamia Ruvu Shooting kuna uwezekano kombe likamfuata.

    Habari! Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi. Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio iko mikononi mwake au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua ndizo zinazompa nguvu ya ushindi. Imagine Yanga tuliburizwa na Simba sports miaka kadhaa tukiachwa na...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: Ruvu Shooting 0-7 Simba, Uwanja wa Mkapa, ASFC

    Mchezo umemalizika, Chama anakabidhiwa mpira kwa kufunga hat trick. Full Time Zinaongezwa dakika 3 za nyongeza Dk 90: Simba wanapiga pasi na kuumiliki mchezo. Dk 87: Mchezo umepungua kasi, Ruvu ni kama wamekata tamaa. Dk 82: Kocha wa Ruvu, Charles Mkwasa anaonekana kuwa katika masikitiko. Dk...
  4. President of China

    JamiiForums Tanzania Leo Simba tunacheza 4-1-4-1 Kumkabili Ruvu Shooting kwenye AFC

    Wandugu leo tunacheza Formation ya 4-1-4-1 kwaajili ya kumbaka Ruvu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nasema Mechi ya leo ya Simba SC na Ruvu Shooting FC itakuwa Ngumu japo tukishinda nitashukuru na Kufurahi pia?

    1. Wachezaji wa Simba SC kwa sasa 95% ya Akili zao zipo katika Mchezo wa Shirikisho utakaochezwa Jumapili huko nchini Niger dhidi ya FC Gendamarie. 2. Wachezaji wa Ruvu Shooting FC ambao 85% yao ni Wanajeshi wanajua kuwa Wachezaji wa Simba SC huwa ni Waoga na hawapendi Kugongana hivyo watakuja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumjua Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting FC inayocheza na Yanga SC leo Jioni kuna haja ya Kusubiria Matokeo?

    85% ya Maisha yake akitokea Kwake Mbweni kuja Mjini huku Kushinda muda Wote utamkuta amekaa na Watu tena Matajiri wa Timu ambayo leo anacheza nao Saa 12 na Robo Jioni pale Temeke Mkapa Stadium.
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Urusi: Wanafunzi washambuliwa kwa risasi chuoni

    Ripoti za awali zinasema angalau watu nane wameuawa baada ya Mtu mwenye silaha kufyatua risasi katika Chuo kilichopo Mji wa Perm. Baadhi ya Wanafunzi na Walimu walionekana kujificha, huku wengine wakiruka madirishani. Bado haipo wazi watu wangapi wamejeruhiwa. Polisi wanasema Mshambuliaji ni...
  8. Teargas

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya on course to host shooting Championship

    PRIMARY MENU Kenya on course to host shooting Championship by Maxwell WasikeJuly 5, 2021 SHARE Kenya has continued with its preparations to host the upcoming Africa shooting championships in September after being given a clean bill of health to proceed with the same by International Defensive...
  9. Jumbe Brown

    JamiiForums Tanzania Yanga 3- Ruvu Shooting 2: Ni Kweli Golikipa Metacha B.Mnata anahisiwa kuwa mzembe ama kutumika "kuiuza" timu?

    Kongole kwa wachezaji wetu, Mechi hii imetuonesha KUIMARIKA kwa kikosi chetu kila muda unavyozidi kwenda. Baada ya mpira kuisha ,ilionekana baadhi yetu mashabiki wa kilabu chetu pendwa tukimzomea KIPA wetu Metacha B.Mnata kutokana na kukasirishwa na magoli aliyofungwa. Je Metacha Mnata...
  10. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Huyu Admin wa Ruvu Shooting

    Wakuu ningependa kumfahamu admin wa Page za Ruvu Shooting mtandaoni. Huyu amekuwa na uandishi wa aina yake kabisa tofauti na wa timu zingine kwani amekuwa akiandika kwa uandishi wa kuchekesha hata kama wamefingwa. Pia ni admin pekee aliyetumia page ya Twitter ya Ruvu shooting kuzitakia timu za...
  11. BAK

    JamiiForums Tanzania Milwaukee Bucks watelekeza mchezo wa 5 NBA playoffs dhidi ya Magic kutokana na Jacob Blake kupigwa risasi na polisi

    The NBA and its players and coaches have taken myriad measures to make clear their support for the Black Lives Matter movement while standing against all racial injustice and police brutality, but in the wake of an unarmed Black man named Jacob Blake being shot seven times in the back in...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Simba SC: Kuwakabili Ruvu shooting uwanja wa Taifa

    Mabingwa watetezi ligi kuu bara, wekundu wa msimba(simba) leo majira ya saa kumi jioni. Watakipiga na majirani zao kutoka mkoani pwani Ruvu shooting fc hakika utakuwa ni mchezo mkali na wakusisimua. Kwa watakao kwenda uwanjani viingilio ni kama ifuatavyo: 1.MZUNGUKO elfu 5000 2.VIP B elfu...
  13. Nyendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 21 youth arrested shooting pornographic content in Nakuru, quarantined at KMTC

    21 youth were on Wednesday evening arrested in Nakuru after they were found shooting raunchy videos. They included 8 boys and 13 girls. The youths, drawn from high schools and universities are members of the same WhatsApp group...
  14. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Thailand: Idadi 'kubwa' ya watu wauawa kwa kufyatuliwa risasi na mwanajeshi

    Mwanajeshi mmoja nchini Thailand amewashambulia kwa kuwafyatulia risasi watu kadhaa na kuua idadi "kubwa" ya watu. Tukio hilo limetokea katika mji wa Nakhon Ratchasima pia ukijulikana kama Korat kaskazini mashariki mwa jiji la Bangkok. Msemaji wa wizara ya ulinzi nchini humo amesema kuwa...
Back
Top Bottom