Shinyanga, also known as Shinyanga mji in the local Swahili language, is a city in northern Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Shinyanga Region as well as the district headquarters of Shinyanga Urban District. The region and district are named after the town.
Hii ishu ya Passport naona kuna mazingira ya kuzungushwa kwa maksudi, maana hata mimi ni wiki sasa kila nikienda ofisi za Uhamiaji Shinyanga naambiwa kuna shida ya Mtandao, hata wiki jana nilienda sikuhudumiwa hadi nahisi kuchoka.
Tunaomba mzitaarifu mamlaka za juu maana haya mambo yanakita...
Wanafunzi wa maeneo ya Butengwa waomba Mkandarasi akamilishe ujenzi wa daraja mapema kwani lililopo ambalo ni la mpito ni hatarishi si kwao tu bali kwa makundi mengine pia.
Chanzo Kusaga TV
Watumishi wawili wa kada ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga (Nindo), akiwemo daktari mmoja na muuguzi mmoja, wamepewa onyo kali na kuagizwa kuhamishwa vituo vya kazi kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa pamoja na ukiukwaji wa maadili ya kazi.
Hatua hiyo...
TAARIFA KWA UMMA
UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ZA BAADHI YA WANAFUNZI WA VETA SHINYANGA KUPORWA NAFASI ZA BWENI
UTANGULIZI
Chuo cha VETA Shinyanga hadi napotoa taarifa hii, kina uwezo wa kupokea wanafunzi wa Bweni 179 tu. Huo ndiyo uwezo wa juu kabisa wa chuo.
Katika mwaka huu wa masomo wa 2026...
Serikali kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) imeanza zoezi la kulipa fidia ya Shilingi bn 3.66 kwa wananchi 2,471 wa Mikoa ya Simiyu ,Mwanza, Shinyanga na Tabora, ambao maeneo yao yametwaliwa kupisha Umeme wa msongo mkubwa utakaotumika katika mradi wa SGR kipande cha 5 (Isaka-Mwanza)...
Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini Mkoani Shinyanga na Naibu Waziri, Ofisi ya waziri Mkuu (Kazi, Vijana na watu wenye ulemavu) Mhe. Patrobas Katambi amesema ndani ya miaka minne ya Uongozi wa serikali ya awamu ya sita mapinduzi makubwa yamefanyika kwenye uwezeshaji wananchi...
Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga limekamata viongozi wa Chadema waliokuwa kwenye Kaburi la Bob Nyanga Makami wakifanya usafi huko Ukenyenge.
Walioshikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo katika kituo cha ukenyenge ni hawa wafuatao;
1. Jackson Mnyawami Mnyawami Katibu wa kanda ya serengeti
2...
MAPOKEZI YA MGOMBEA MWENZA BALOZI EMMANUEL NCHIMBI KISHAPU – SHINYANGA
Mgombea Mwenza wa Nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Emmanuel Nchimbi, akiwasili Kishapu mkoani Shinyanga kwa ajili ya muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za CCM, ambapo alipokelewa kwa shangwe na...
Wafanyakazi wa Idara ya Ardhi Mkoa wa Shinyanga na wale wa Manispaa ya Shinyanga wanafanya kazi zao kwa mazoea sana huku wakitengeneza mazingira ya kupokea rushwa kutoka kwa wananchi.
Kama week mbili zilizopita kulikuwa na zoezi la urasimishaji wa ardhi katika kata ya Kizumbi, kijiji cha...
Anonymous
Thread
ardhi
idara
idara ya ardhi
kazi
manispaa
mkoa
shinyanga
utendaji
wafanyakazi
Wananchi wa Shinyanga mjini mkoani humo wameeleza kuwa sababu kubwa zilizowafanya kumdhamini Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, ni imani yao kuwa atakwenda kuwatatulia kero zao ambazo zimeshindwa kupatiwa majibu kwa muda mrefu.
Wamesema changamoto zinazowakabili ni...
Residents of Shinyanga Region have recognized and expressed gratitude for the Government’s efforts, through its security organs and mining experts, in the ongoing rescue operation for miners affected by the Nyandolwa mine accident.
So far, seven (7) miners have been recovered. Four were rescued...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawapendeni sana.
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge...
Moto mkubwa ambao bado haujajulikana chanzo chake unateketeza maduka yaliyopo eneo maarufu kama Mnara wa Voda, Shinyanga.
Zoezi la kuuzima moto huu ulioanza majira ya saa mbili usiku kwa mujibu wa mashuhuda, linaendelea kufanyika na jeshi la zimamoto huku mali zikiendelea kuokolewa.
Jumla ya wachimbaji wadogo 25 kutoka katika mgodi mdogo wa Nyandolwa unaomilikiwa na kikundi cha Wachapa Kazi, uliopo kijiji cha Mwongozo Halmashauri ya Shinyanga, wamefukiwa na kifusi baada ya mgodi kutitia.
shughuli ya uokoaji imefanywa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na...
==
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Mboni Mhita akiongea mbele ya waandishi wa habari alisema , Rais Samia anatekeleza Miradi mbalimbali ya kimkakati inayojumuisha, Ujenzi wa Mradi wa Umeme Jua Ngunga (MW 150) kwa shilingi bilioni 323, ukarabati wa Kiwanja cha Ndege Ibadakuli (km 2.2) na jengo la...
Mafanikio katika sekta ya madini ni pamoja na kuongezeka kwa uzalishaji wa madini kutoka tani 7.9 mwaka 2020 hadi tani 42.5 mwaka 2025, hivyo jumla ya madini yaliyopatikana ni tani 50.4; kuongezeka kwa fedha za kigeni kutoka Dola za Marekani milioni 44.33 mwaka 2020 hadi milioni 191.15 mwaka...
Katika sekta ya kilimo, mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na kuongezeka kwa skimu za umwagiliaji kutoka 2 mwaka 2020 hadi 15 mwaka 2025 katika wilaya za Shinyanga, Kahama, Msalala na Kishapu.
Upatikanaji wa mbolea ya ruzuku umeongezeka kutoka tani 9,870,000 hadi tani 23,223,000, huku matumizi...
Serikali ya awamu ya sita imetoa kiasi cha TZS492bn kupitia TANESCO na REA Mkoani Shinyanga kwa ajili ya miradi mbalimbali ya Umeme. Katika kipindi cha miaka minne ya Raisi Samia Serikali kupitia wakala wa Nishati vijijini (REA) imetekeleza mradi kwa TZS11.18bn na kusambaza umeme katika...
|||Chini ya uongozi wa Rais Samia Kuanzia mwaka 2021 hadi 2025, Mkoa umepokea Shilingi bilioni 155.24 kwa ajili ya kuboresha Elimu kwa kujenga na kukarabati Shule, kuongeza walimu na kuimarisha miundombinu ya Shule za msingi, Sekondari na vyuo vya kati. Mabadiliko haya yamesaidia kuongeza idadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.