shilole

Zena Yusuf Mohammed (born 20 December 1987, in Tanzania), known by her stage name Shilole, is a Tanzanian musician and actress. She specializes in the R&B, Zouk and new generation Tanzania music popularly known as Bongo Fleva. Shilole is considered one of the top female artists in Tanzania; her works has been nominated 3 times in KTMA, Tanzania's top music awards. She has also recorded with a number of artists including Mr Camera (South Africa) and Selebobo (Nigeria). Shilole is considered as one of the most influential artist among her fans and is said to be the most loved female artist in Tanzania, the first female artist in Tanzania to clock 1 million followers in Instagram, Tanzania's most popular social network... Shilole is credited as one of the key figures in the popularization of Tanzania's new music genre Bongo Flava, as a career to upcoming female artists.

View More On Wikipedia.org
  1. Imani rubaba

    Hapa ni mjini Ng'ombe wanafugwa bila kugongwa na gari la Shilole

    Usishtuke na kichwa cha habari—ni utani tu. Lakini ujumbe wake ni mzito na wa kweli 👇 🐄 Ufugaji wa ng’ombe ni fursa kubwa ya kiuchumi, haijalishi unaishi wapi: iwe ni kijijini, pembezoni mwa mji au katikati kabisa ya mji. Ukweli ni huu: 👉 Ukiandaa mazingira rafiki 👉 Ukiwa na miundombinu sahihi...
  2. Genius Man

    Wasanii Shilole na Wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu

    Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu. Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na watanzania wote unachogombea kwanza hukijui yani ni mbumbumbu ngoja upate shida huone kama utasaidiwa.
  3. DuaZaMama

    Shilole: Nimesimama leo kwa neema ya Mungu baada ya ajali, Asanteni kwa jumbe zenu

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Msanii Shilole anaandika maneno haya , "Nimemwona Mungu kwa macho yangu. Baada ya ajali, nimesimama leo kwa neema yake. Sifa na Utukufu ni zake milele, Kila pumzi ninayovuta leo ni ushuhuda juu yake🙏. Asante ni kwa jumbe zenu, Asanteni kwa simu zenu kwangu na...
  4. DuaZaMama

    PostGE2025 Shilole: Nimewasamehe waliochoma Shishi Food. Vijana 200 wamepoteza ajira

    Msanii Zuena Mohamed ( Shilole ) ambaye ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Migahawa ya SHISHI FOOD, leo Disemba 18,2025 akiwa katika eneo la Mgahawa wake wa Dar es salaam ambao ulichomwa moto katika vurugu za uchaguzi October 29, amesema amewasamehe Watu wote waliohusika kuchoma Mgahawa wake...
  5. Just Pray

    Shilole: Watanzania wasitununuie wasanii, tutakula wapi? wachukulie imepita

    Dozi inakolea Shilole anasema ataanda Show yake na watanzania watajaa kwani hawataacha kwenda kuona viuno live. Anasema watanzania msiwabanie wasanii watakula wapi?
  6. DuaZaMama

    Shilole: Naanza kupikia nyumbani Sasa hivi 'Inaniumiza sana'

    Msanii na mfanyabiashara Shilole amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya eneo lake la biashara #shishifood kuchomwa moto Oktoba 29 mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu uliyopita miezi kadhaa nyuma. "Kwa wateja wangu waliyokumbuka chakula changu kuanzia kesho nawakaribisha sana nitakua napikia nyumbani...
  7. and 998 others

    GE2025 Shilole atoswa UWT Tabora, aiangukia Kamati Kuu

    Mfanyabiashara Maarufu Duniani na Mwenye connection zake nchi nzima. Ametoswa na Wajumbe kwa sasa anategemea huruma ya Kamati Kuu. Ikiwa watakumbuka mazuri aliyowatendea siku zilizopita.
  8. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Shilole: Mkinichagua nitawainua wamama wa Tabora kiuchumi "mama lishe mtafurahi sana"

    Mjasiriamali na Msanii wa muziki nchini Zuwena Mohamed Yusuph maarufu Shilole akijinadi na kuomba kura mbele ya wajumbe wa mkutano mkuu wa (UWT) mkoa wa Tabora wampitishe kugombea nafasi ya ubunge wa viti maalum mkoa wa Tabora. Zuwena Mohamed Yusuph jina lake limepitishwa baada ya mchakato wa...
  9. SSH2025_2030

    Tetesi: Shilole kuwa Waziri TAMISEMI 2025-2030?

    Mheshimiwa Zuena a.k.a Shilole anatajwa kuongoza Wizara nyeti ya TAMISEMI kwa kipindi cha Miaka 5 ijayo. Kila la heri Sishi babe
  10. Just Pray

    GE2025 Shilole achukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na CCM kugombea ubunge wa Viti maalumu mkoa wa Tabora

    Namshukuru Mwenyezi Mungu mapema leo nimefanikiwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na chama changu cha CCM kugombea nafasi ya UBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Tabora kupitia UWT. Nashukuru nimepokelewa na mama yangu Katibu wa UWT Mkoa wa Tabora, Bi. Rhoda John Madaha. Ndugu zangu fomu...
  11. Now and then

    Hili somo naomba liwafikie masikini wote ila muhimu lisikose kumfikia Nuh Mziwanda the hit maker wa Msondongoma na X wa Shilole (Mama ntilie).

    Kwanza kabisa habari zenu waswahili wa Tanzania mliopo Tanzania na ambao mpo nje. Leo nitadadavua aina za umasikini na unaweza kujinasua vipi . Kuna aina tano za umasikini Kama ilivyo aina tano za utajiri. •Umasikini Fedha na Mali •Umasikini wa maarifa na akili •Umasikini wa kiroho...
  12. GENTAMYCINE

    Shilole: Vijana wa Kitanzania acheni kunisumbua DM kunitaka Kimapenzi ili niwalee au mlelewe, bali tafuteni Kazi mfanye shauri yenu kuweni makini

    Nimependa sana Shilole hapo alipomalizia na sentensi ya shauri yenu kuweni makini kwani kuna 'Pancha' nyingi zinakuja.
  13. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Shilole azindua mama lishe na Samia

    Mama Lishe maarufu ambaye pia ni Mwanamuziki, Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole ameanzisha na kuzindua kampeni maalum inayolenga kuwawezesha Mama Lishe kutumia nishati safi ikiwa kama sehemu ya malengo ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan. Soma Pia...
  14. Waufukweni

    Shilole avishwa pete ya uchumba, ndoa ya tatu yanukia

    Msanii na mfanyabiashara maarufu, Zuwena Mohammed, anayefahamika kwa jina la kisanii Shilole, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake mpya usiku wa kuamkia leo, Desemba 23,2024 Tukio hilo lilifanyika katika hafla ya kifahari ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa katika eneo la Kijitonyama, Dar...
  15. M

    Kwani Shilole haoni aibu?

    Mi ningekua shilole ningeona aibu sana. Sijui niseme ni shilole au ni uyu kijana ila kuna mmoja wapo anaupungufu wa akili ndo mana kakosa aibu.
  16. M

    Baba Levo ataja watu waliomsaidia wakati hana kitu. Amtaja Nature na Shilole. Alifukuzwa kwa kudokoa chakula kwenye friji

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Mjasiriamali, mwanasiasa, mchekeshaji na muhamasishaji nchini maarufu Baba Levo ametaja waliomsaidia wakati hana kitu. Amesema kuna utitiri wa watu anaweza kuwashukuru kwa kumsaidia lakini atataja watano. Watu ni wengi nilikuwa nalala sinza kwa jamaa anaitwa K...
  17. Manyanza

    Shilole kila Mwanaume kwake ni mbaya

    "Nilikuwa naamka saa 12 asubuhi naenda kwenye mihangaiko yeye namuacha amelala, nilikuwa naacha elfu 40 mezani haongezi hata elfu 5 tunakula hiyo elfu 40 siku inaisha anasubiri kesho tena niamke saa 12 nimlishe. Hajitumi, mimi mwanaume ambaye hahangaiki hana maana kwangu"- My take : Yawezekana...
  18. MamaSamia2025

    Kati ya Shilole (Shishi Baby) na Juma Jux (African Boy) nani mkali zaidi?

    Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi? Kwa wale wasiofahamu nyimbo zao nimewaandikia ili mkazisikilize huko YouTube. SHILOLE 1. Lawama 2. Nakomaa na jiji 3...
  19. Mhaya

    Idadi ya Wanaume waliotoka kimapenzi na Shilole

  20. Hance Mtanashati

    Maisha yanaenda kasi sana, Eti Shilole naye ana msanii 😂😂😂😂😂😂

    Maisha yanaenda kasi sana eti shishi baby naye ana msanii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Msanii wake mwenyewe ni mpishi wake wa shishi food 😂😂😂😂😂 Sasa cha kuchekechesha ni kwamba eti msanii ataendelea kupika na kutosha vyombo kama kawaida hapo shishi food wakati huo huo atakuwa anaimba 😂😂😂😂😂 Aliponiacha hoi Sasa...
Back
Top Bottom