shilingi ya tanzania

The shilingi (Swahili; English: shilling; sign: TSh; code: TZS) is the currency of Tanzania. It is subdivided into 100 senti (cents in English).
The Tanzanian shilling replaced the East African shilling on 14 June 1966 at par.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Shilingi ya Tanzania yaimarika zaidi dhidi ya dola ya Marekani kuelekea Oktoba 29

    Na Mwandishi Wetu Dar es salaam. Shilingi ya Tanzania (TZS) imeonyesha kuimarika dhidi ya Dola ya Marekani (USD) katika kipindi cha hivi karibuni Kutoka kununuliwa kwa 2,670,00 hadi 2,451.0297 huku wanasiasa, wafanyabiashara, na wananchi wakitazama kwa makini sababu zinazochangia mwenendo huu...
  2. Zemanda

    Shilingi ya Tanzania inaporomoka, wachumi wetu mbona hamuongei chochote?

    Wachumi mbona mpo kimya na hamna maelezo? Waziri mwenye dhamana,nini kinaendelea katika uchumi wetu?
  3. Papaa Mobimba

    Benki Kuu (BoT) yaendelea kusisitiza kuwa malipo ya huduma zote ndani ya nchi yanapaswa kufanyika kwa Shilingi ya Tanzania

    KATAZO LA MATUMIZI YA FEDHA ZA KIGENI KATIKA KUFANYA MIAMALA YA NCHINI/MALIPO NDANI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuutaarifu umma kwamba, kulingana na matakwa ya Kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya mwaka 2006, Serikali imetoa Kanuni za Matumizi ya Fedha...
  4. Webabu

    Shilingi ya Tanzania imefaidika vipi wakati dola imeporomoka sana

    Vita vya kibiashara vya Trump vimepelekea kuporomoka kwa sarafu ya dola vibaya sana tangu miaka 10 iliyopita. Tayari Trump ameshafedheheka na vita vyake hivyo vya kibepari hata hivyo dola bado haijakaa sawa hasa kwa vile wafanyabiashara wengi wakubwa wamezihofia bidhaa kutoka nchini Marekani...
  5. Lord Denning

    Kwa Gavana tuliyenaye, sikushangaa nilipoona habari ya shilingi ya Tanzania kufanya vibaya zaidi Duniani

    Kwa miaka mingi sana, nimekuwa mfuatiliaji wa CV za Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali duniani. Katika ufuatiliaji wangu, miaka yote kwenye mataifa mbalimbali, Magavana wa Benki Kuu wamekuwa wakiteuliwa wabobezi wa masuala ya Uchumi , Fedha au Sheria na wenye uzoefu wa kufanya kazi katika...
  6. M

    BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΝΙΑ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Taarifa hiyo, iliyochapishwa tarehe 19 Machi 2025, ilidai kuwa Shilingi ya Tanzania...
  7. S

    Sababu kwa nini shilingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi kuliko fedha zote duniani kwa sasa!

    Kwamba fedha nyingi zilichapishwa kukiwa na kisingizio cha kuondoa fedha za zamani kwenye mzunguko. Sasa mpango wa kuondoa fedha kwenye mzunguko haukufanyika, na fedha mpya zilizochapishwa bado zikaingizwa kwenye mzunguko kwa namna ya kulipia gharama za uendeshaji wa serikali, wakandarasi...
  8. T

    Shilingi ya Tanzania yatajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi Duniani dhidi ya Dola ya Marekani kwa mwaka 2025

    Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
  9. Wakusoma 12

    Leo dollar moja ya Marekani imesimama 2700 kwa shilingi ya Tanzania, tumekosea wapi kama taifa?

    Hii wachumi tunaomba mtupe shule kidogo, zipi athari zake kiuchumi kwa maisha ya mtanzania? Ukosefu wa ajira na matatizo ya kiuchumi vijana tutachomoka?
  10. M

    Siamini Shilingi ya Somali na Gourde ya Haiti ina thamani kuliko shilingi ya Tanzania

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Siamini Shilingi ya Somali Somali shiling na Hela ya Haiti Haiti Gourde ina nguvu na thamani kuliko shilingi yetu ya Tanzania. Bado najiuliza na kushikwa na butwaa. Dollar 1 ya kimarekani 1 USD = 579,66 Somali Shillings Dollar 1 ya kimarekani 1 USD= 132,38 Hatian...
  11. K

    Shilingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi kubwa

    Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na miaka mitatu, miwili na hata mwaka mmoja. Chukua mfano wa nishati ya mafuta. Miaka mitatu...
  12. BARD AI

    Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka Thamani dhidi ya Dola

    Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka thamani dhidi ya Dola Watanzania sasa wanalazimika kuingia zaidi mifukoni mwao ili kulipia zaidi katika uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi huku kukiwa na hali ya kutia wasiwasi juu ya kuendelea kuporomoka kwa shilingi...
  13. Nyendo

    Benki Kuu: Shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusiwa kutumika nchini

    Benki Kuu ya Tanzani imeukumbusha umma kuwa kifungu cha 26 cha Sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya mwaka 2006 kinaelekeza kuwa shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusia kutumika nchini, hivyo hakuna Mtu au Kampuni yoyote inayoruhusiwa kuikataa kwa malipo yoyote halali na kwamba...
  14. I

    Sarafu ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya Marekani

    Dollar ya Marekani inazidi kuimarika. Shilingi ya Tanzania inazidi kudhoofika. Tangu robo ya kwanza ya mwaka, Dollar moja imekuwa ni sawa na shilingi 2310 kwa mujibu wa BoT. Robo ya pili ikapanda na kuwa 2311. Sasa tupo robo ya tatu na ndani ya siku 7 hizi ishapanda mara mbili: 2312 na sasa...
  15. Chetikungu

    Hali tete thamani ya Shilingi ya Tanzania ukilinganisha na Dola ya Marekani kwa kipindi linganifu cha mwaka mmoja uliopita (2020)

    Wanajamvi, salaam Naenda moja kwa moja kwenye point Hali halisi ya thamani ya pesa yetu inazidi kushuka kwa kasi sanaa ukilinganisha na miaka kadhaa iliopita, ukichukua takwimu za Benki kuu (BOT) kwa haraka tu utaona na kudhibitisha hayo, ukiangalia kwa mwezi July mpaka August 2020 utagundua...
  16. wazanaki

    Kwanini Shilingi ya Kenya ina thamani kuliko Shilingi ya Tanzania?

    Wakuu turejee. Huwa najiuliza. Wanaohusika ku adjust (kupandisha na kushusha) thamani ya pesa kwenye mataifa ya kidunia ni nani (najua hii process haifanyei na mungu inafanywa na binadamu) Pia nilikua najiuliza, Kenya mbona sometimes uchumi wake unayumba lakini thamani yake ya pesa inanaki...
Back
Top Bottom