shida

Hikaru Shida (志田 光, Shida Hikaru, born June 11, 1988) is a Japanese professional wrestler, martial artist, actress, and model, currently signed to All Elite Wrestling (AEW), where she is a former and the longest-reigning AEW Women's World Champion. On February 25, 2021, she became the longest reigning overall champion in AEW history, breaking the previous record of 277 days set by former AEW World Champion Jon Moxley.She also works for the Makai company, and makes appearances for the Oz Academy and Pro Wrestling Wave promotions.
She started her professional wrestling career in 2008, when she joined the Ice Ribbon promotion, after taking part in a film titled Three Count, set in the world of professional wrestling. She remained with the promotion until 2014, becoming a one-time ICE×60 Champion and four-time International Ribbon Tag Team Champion. Outside of Ice Ribbon, Shida has held the Wave Single Championship, the Oz Academy Tag Team Championship and the Sendai Girls World Tag Team Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wachina wanaishi kwa shida sana kama kuku wa kwenye cages nchini kwao ndio maana wanakimbilia Afrika

    Pamoja na kwamba tunaona majengo makubwa na miondombinu mizuri inayomeremeta China ila ukweli pia ni kwamba raia wengi wa nchi hiyo hata wale wenye kipato kizuri cha wastani kwa huko kwao wanaishi maisha ya shida sana ya kubanana katika makazi. Raia wengi wa China wanaishi kwenye vi-...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mungu hayupo, angekuwepo shida na taabu zisingekuwepo

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Kama MADA inavyojieleza, Mungu hayupo ndio maana taabu na kila aina ya uchafu vimetamalaki hapa duniani. Mungu hayupo, Nimemaliza.
  3. JamiiForums Tanzania Nyerere alikuwa na vimambo sana, eti shida ni kama miguu ya jongoo

    "Lakini hata shida hizi ziweje kwa ukubwa, zaweza kuondolewa. Shida zenyewe ni kama miguu ya jongoo tu. Mtoto wa jongoo alimwuliza mama yake: "Mama, mbona nina miguu mingi, je nianze kwenda kwa mguu au miguu ipi?" Nasi hapa tulitoe jibu hilo hilo la mama jongoo kwa mwanawe : "Nenda mwanangu...
  4. JamiiForums Tanzania Jaman mbona magari used yameshuka sana bei sikuhizi nini shida

    Wakuu sikuhizi gari used zimeshuka sana bei shida nini ? Au mimi ndio sielewi yaaan unaweza kuona crown namba dz inauzwa 9m Au Ist ds mil 10 kipind chanyuma bei zilikuwa zimechangamka sanawakuu
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na chama chochote cha upinzani wekeni nguvu kubwa Vijijini kabla na baada ya Uchaguzi, mijini hakuna shida mna karata

    Wasalaam Vyama vya upinzani msiwe kama manabii wa utapeli waliojazana mijini Mtaji wa CCM ni ujinga wa watu wengi walio vijijini...huku mjini mnakubalika sana...ushahidi ni kabla ya Mhe. Mwendazake...mtaji wa CCM ni vijijini Wao huwatishia kuwa amani ndio jambo la msingi na endapo chama...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na manii bila kudhamiria itakuwa nini?

    Mimi ni kijana umri miaka 20, nimekuwa nikipata changamoto ya kutoa majimaji ya sperm pindi nipo kwenye foreplay yani ile na kutomasa tomasa demu najikuta sperm zishaanza kuchuluzika au hata nikiwa na chart na demu mambo ya mapenzi mapenzi(ngono). Naomba msaada kwa hili na njia ya kuzuia hii...
  7. JamiiForums Tanzania Simba iandikieni tff barua kwamba yanga wapewe kombe hata wakitaka Leo ,sio shida zetu , point 3 zinazafutwa uwanjani sio mdomoni na kulialia

    Naona yanga wanalialia kama watoto kwa makosa ya ushenzi wao !! Wanataka point za mezani kwa mechi gani waliocheza? Mwamuzi alikuwa nani ,na Kamisaa alikuwa nani? Ipeni yanga pointi 3 na ikiwezekana wapewe na za nyongeza Bado mwaka huu ubingwa hauwahusu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shida ni Siasa- Aliyekuwa M.kiti wa Simba amethibitisha Rais Samia ndio aliekeza Mechi ya derb 20/21 isogezwe saa moja

    Kabla Mods hamjakimbilia Kuushusha Uzi naomba msome kwanza , muangalie na Source ya habari Hii , naweka Link. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba msimu wa mwaka 2020/2021 , Bwana Muhina Kaduguda ametoa siri ambayo haijawahi kuongelewa popote, Kaduguda amesema dhahiri kuwa wakati huo yuko mwenyekiti wa...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna Shida Tanesco na Polisi Katika Kuanzisha Maeneo ya Kiutawala ya Kiwilaya na Kimkoa

    Katika muktadha wa utawala wa ndani, kuna masuala kadhaa yanayoibuka hususan kuhusu uundaji wa maeneo ya kiutawala kwa idara kama Tanesco na Jeshi la Polisi. Katika mikoa ya kipolisi, kuna viongozi kama RPC (Kamanda wa Polisi wa Mkoa) na OCD (Kamanda wa Polisi wa Wilaya). Swali muhimu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwengine tena ajiua Mbeya, kuna shida gani kwa vijana wa Mbeya ?

    Ughonile watu wa Mbeya, nipo Njombe (zamani ikiwa shemu ya Iringa) nimekuwa nikistuka kwa visa vya mara kwa mara kwa vijana wa Mbeya kujiua. Kunakoelea sio, ni muda wa kujadili shida ilipo ipate suluhisho. Mwezi uliopita dereva bajaji mkazi wa kata ya Iganzo, Jijini Mbeya alijinyonga majira ya...
  11. JamiiForums Tanzania Kanisani si kila anaelia amejazwa na roho mtakatifu wengine wanalia na shida zao

    "Maisha yamekuwa magumu hadi ukienda kanisani kipindi cha maombi unalia na kuomba kwa uchungu watu wanafikiri umezama kwenye maombi kumbe ni uchungu wa maisha magumu."
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge adai Masasi hawana shida ya vitabu shuleni

    Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Masaai amewashambulia wanaodhaniwa kuwa ni watia nia. Mbunge huyo amedai kuwa watu wastaafu hawapaswi kugombea ubunge. Akiongea katika mkutano na wananchi amedai kuwa mbunge anatakiwa awe kijana mwenye kuweza kukimbia kimbia, hivyo yeye ndio anafaa. Aidha...
  13. JamiiForums Tanzania Kwenye series ya Power Ghost hakupaswa afe shida maokoto

    Kama ni mfuatiliaji wa series za mablack america basi lazima utakuwa unaifaham series ya power ambayo ilifanya vizuri sana kwenye soko la filam kutokana na stori yake ilivyo na uhusika wa waigizaji kwenye ile series. Kifo cha bwana Ghost kama mhusika mkuu kiliacha majonzi sana kwa watazamaji na...
  14. JamiiForums Tanzania Nimekuwa mtu wa kusaidia sana ila sifanikiwi na kila siku niko palepale maishani

    Nimekuwa mtu wa kusaidia sana angalau kwa kiasi kidogo ninachopata kuwatimizia wahitaji. Anaweza akapita mtu anahitaji msaada wenzangu wote watakaa kimya ila mimi lazima nitoe hata kama nimebakisha hikohiko mfukoni. Natoa sana msaada huko barabarani. Najitoa sana kwa mtu hata kama kaja kwangu...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Sikutegemea kuona maji shida kiasi hiki dodoma makao makuu!

    Habari wakuu! Yaani kuna vyitu vingine vinatafakarisha sana! Dodoma ni makao makuu ya nchi lakini mpaka leo maji ni shida yaani ni mgao na siku za mgao huo maji yanatoka kwa matone jamani sehemu zingine ndo kabisa hayatoki! Nafikiri kama taifa hatuko serious! Hizo hela za magoli tuzielekeze...
  16. JamiiForums Tanzania Video: Performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace ina shida gani? Kwanini mnasema kaaibisha taifa?

    Wakuu, Nilikuwa napitia pitia huko mitandaoni nimeona performance ya Marioo kwenye tuzo za Trace imepandisha sukari Watanzania. Wengi wamemsifa Bien kuwa ameimba vizuri lakini huyu Marioo amempigwa sana mawe. Binafsi nimeiangalia sijaona kitu chochote kibaya kwenye performance hiii. Au...
  17. JamiiForums Tanzania Kama mwanamke haoni shida kuacha familia yake kuja kuishi na wewe mwanaume, Vivyo hivyo anaweza kukuacha na kwenda kuishi na mwanaume mwingine.

    Wakati unafurahia mke wako kuacha familia yake kuja kuishi na wewe, Ulisahau kwamba ana uwezo wa kukuacha hata na wewe. Ulileta hisia zako na mkeo akaleta hisia zake mkapendana na kuamua kuishi pamoja, ila ulisahau kwamba hisia huweza kuisha muda wowote ukaachwa mchana kweupe (in a day broad...
  18. JamiiForums Tanzania Tangu aachie Komasava, msanii wenu kapotea kabisa. Ngoma zake 3 za mwisho zote zimebuma. Shida itakuwa nini?

    Wakuu, Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono? Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa. Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma. Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki...
  19. JamiiForums Tanzania BAADA YA MAKELELE TFF /KAMATI YA WAAMUZI KUMBE MNA MAREFA WENYE KUCHEZESHA VIZURI SHIDA ILIKUWA NINI;;;;???

    HII NA AIBU KWA MPIRA WA TANZANIA YAAN MPAKA WANANCHI NA WAANDISHI WA HABARI WAPIGE KELELE WAAMUZI WABOVU WANAPOKEA RUSHWA NDIO MNAWEKA REFA MWENYE KIWANGO CHA JUU KWANI ALIKUWA WAPI?? SITASHANGAA DECEMBER NIKISIKIA LIGI YENU IMEFIKIA NAMBA 1 5. MSIPOBADILIKA..MSISUBIRI KILA SIKU IWE AIBU...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Bile acid reflux inanisumbua

    Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…