sheria

  1. Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote

    Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote . Anayetekeleza kati ya hayo ni adui wa Tanzania na anapaswa kukamatwa mara moja.
  2. Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria

    Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria. Watu wajinga na wapumbavu huwa ni dhaifu sana kuliko mnavyofikilia niliwahi kusema haya huko mda wote kwa sasa hawana amani wapo vitumo joto vitumbo joto...
  3. C

    Yani kwa sasa POLISI ni kama wapo juu ya sheria na mamlaka zote wananyanyasa na kudhalilisha sana raia huku mitaani

    Yani kwa sasa hata jambo dogo tu anajisikia tu kusema nakuweka miezi sita na hutoki hata aje nani. Hii nchi kwakweli tumefika pabaya sana, hili kundi la polisi hili itafutwe tu namna ya kushughulika nalo maana sasa hawa wamesha kuwa ni watesi wa raia kabisa, wababe hata katika mambo ya kawaida...
  4. Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi

    Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi. Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka jeshi linaweza kusupport mwanasiasa kufanya mapinduzi na kumpa madaraka kinyume cha sheria hata kwa...
  5. Kesi ya Thadey Kweka: Utawala wa sheria, hauruhusu vyombo vya uchunguzi na mahakama, kuvunja haki za kikatiba na sheria, katika utoaji hukumu zake

    Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
  6. P

    Msaada wa Sheria kuhusu sikukuu za kitaifa kwa watumishi wa umma

    Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
  7. M

    Sheria ya kuzuia watoto wadogo kwenda shule za kulala (boarding school)

    Ndugu zangu naombeni msaada Nina mtoto anaingia darasa la pili 2026. Sasa baba yake analazimisha mtoto aende shule ya kulala bila sababu za msingi na huku Sheria hairuhusu. Nipo hapa kuomba mtu anayeelewa anisaidie maana naona nimemshauri sana hataki, kwa hiyoo nahitaji kwenda kwenye Sheria...
  8. Ludovick Rwezaura: Sheria ya kanisa Katoliki inakataza kuwaita waumini malofa na wapumbavu

    Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
  9. Nini kinachofanya ndugu Tundu Lissu mpaka sasa awe mahabusu na kesi inashindwa kuendelea?

    Binafsi kwa mawazo yangu naona ni ubabe wa watawala kwamba utafanya nini, ndani tunakuweka na kesi haisikilizwi mpaka tutakapoamua wenyewe. Hii dhambi kiukweli itakuja kuwatafuna sana. Madaraka yasi ondoe roho ya utu. Mheshimiwa Tundu Lisu kuna watu wengi sana wapo nyuma yake wanamtegemea...
  10. Si Kila mtu anaweza kupiga kura za tuzo za kimataifa Sheria na vigezo huzingatiwa, mbona hata vichaa wangepiga kura

    Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe verified kabisa na upigaji wa kura Huwa unakuwa na ratiba ambayo wanatumiwa wenye sifa tu (voting...
  11. M

    Kuwe na sheria ya kuwahimiza au kuwalazimu viongozi wetu wawemo kwenye mitandao ya kijamii, ili Kuimarisha Mawasiliano na Uwajibikaji kwa Wananchi

    Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na wananchi wanaowaongoza. Mitandao ya kijamii imeondoa mipaka kati ya kiongozi na mwananchi, dunia sio...
  12. Prof. Abdallah Safari: Kiswahili sio lugha Taifa kwa mujibu wa sheria, tunatumia kimazoea tu

    prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha...
  13. Kwanini kusiwe na Sheria lazimishi ya kuwaamru Tasisi za kifedha kututumia Hela?

    Siyo lazima Kila kitu kianzishwe na wazungu tu la hasha hata sisi tunaweza kukianzisha na Bado kikawa sawa. Chukulia mfano hizi taasisi za kifedha tunazichangia Kila siku iendayo Kwa Mungu mapesa mengi. Lakini ajabu hawarudishi fadhira Kwa wateja wao. Mfano Taasisi kama Crdb,Nmb,NBC, Dtb nk...
  14. Kwanini Wazazi wakiachana Sheria zinampendelea mwanamke katika malezi ya watoto?

    Hivi kwann wazazi wakiachana sheria zina mfavour mwanamke ndiye achukue mtoto/watoto kwani mwanaume hana haki ya kulea ? Kuna mwamba anamalumbano na aliyekuwa mke wake kila mtu anagombania abakie na watoto Mume analalamika mwanamke mlevi hivyo hataki mwanamke abakie kulea watoto na mke...
  15. Je, WAVUVI CAMP hii aibu kwa jamii wanayofanya mchana kweupe wapo juu ya Sheria?

    Jamani hebu oneni aibu hii Yaani mchana kweupe wanaweka show za watu kuonesha maungo yao Je, Wavuvi Camp wapo juu ya sheria? nani anawalinda hawa wavuvi? je haya ni maadili ya mtanzania Au kuna wanaomlinda huyu Wavuvi? hili eneo inaweza kuwa ni eneo kubwa la kwanza linaloongoza kwa watu...
  16. Sheria ikoje rais akipata mental health problem na madaktari wakathibitisha itachukua muda mrefu kurudi kawaida au asirudi kabisa.

    Je rais wa nchi akipata tatizo la afya ya akili sheria inasemaje kuhusu yeye kuendelea kuongoza nchi? Kikawaida mtu mwenye tatizo la afya ya akili (sio lazima awe chizi kabisa ) ni ngumu kugundua kama ana hiyo shida, ila walio karibu yake wakishirikiana na madaktari ndio wanaweza kugundua hilo...
  17. Uvunjaji mkubwa wa sheria, unaofanywa na mamlaka kwa kushirikiana na baadhi ya askari wapenda rushwa hauvumiliki na lazima ukomeshwe

    Uvunjaji mkubwa wa sheria, unaofanywa na mamlaka kwa kushirikiana na baadhi ya askari wapenda rushwa hauvumiliki na lazima ukomeshwe. Tunapinga vikali watu wote wanaofanya mauwaji na utekaji ambao kwa vyanzo vya kuaminika vinafanywa na vyombo vya usalama vikiongozwa na samia havikubariki na...
  18. PostGE2025 Damas Ndumbaro: Wasanii wa Tanzania hawajavunja sheria kwa kuuza kazi zao au kushiriki katika kampeni za CCM

    Damas Ndumbaro: Kazi ya Sanaa ni haki ya msingi ya binadamu, kama inavyotambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 (a). Vilevile, sanaa ni ajira na biashara halali. Wasanii wa Tanzania hawajavunja sheria kwa kuuza kazi zao au kushiriki katika kampeni za Uchaguzi Mkuu...
  19. Njia rahisi ya kumaliza changamoto inayowasumbua JamiiForums ni mamlaka kuwajibisha watumiaji wanaovunja Sheria za Mitandao ya Kijamii na sio mtandao

    JamiiForums ni social media website ambayo inapokea User Generated Content Katika mitandao ya Kijamii ulimwenguni, ina watumiaji wa aina mbili Watumiaji wanaotii na wasiotii Sheria Ili kuweka usawa ni kuwajibisha wale watumiaji wanaovunja Sheria huku wanaotii wakibaki salama Hatuwezi...
  20. Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, hawa wenzetu wanatumia nini ?

    Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, na Kwenye kamusi maandamano ni mkusanyiko sasa kibali cha kufanyia nini kwenye kukusanyika ? Maandamano hayana kibali chochote labda hawa jamaa wananfanya siasa na kuna viashiria vya rushwa kama wanauwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…