sheria

  1. JamiiForums Tanzania Sheria ya kutokula wakati wa mfungo wa ramadhani

    Tanzania ni muungano wa nchi mbili Tanganyika na Zanz. Bara mtu ana huru wa kula wakati wowote kipindi cha ramadhani lakini Zanzibar hairuhusiwi na mtu akifanya hivyo kuna sheria ya kubana. Je? Kwann iwe hivi na ni nchi mbili zenye katiba moja? Naomba kueleweshwa
  2. JamiiForums Tanzania Ni hivi yanga wanajua wamevunja sheria na kanuni,na wanaweza kunyang'anywa point 3 ila wameamua kubweka sana ili kufunika hilo

    Hapo vip!! Ninachokiona kwenye sarakasi yote ambayo yanga wanafanya ni sawa sawa na mwizi aliyeiba alafu yeye ndio anajidai kumtafuta mwizi. Hili jambo lipo wazi kabisa yakwamba kisababishi cha tatizo ni yanga kwasababu yeye ameamua kufanya uhuni kwenye sheria na kanuni alafu anajiona anajua...
  3. JamiiForums Tanzania Sheria au kanuni inajieleza yenyewe miaka na miaka yakwamba timu mgeni itafanya mazoezi kwenye uwanja husika kwa muda ambao match husika itachezwa

    Hapo vip!! Ukitafakari na kuchambua kisheria hili dai la yanga yakwamba hawakupata taarifa..unaona wameamua kuingiza siasa kwenye mpira wetu. Hivi kati ya sheria au kanuni na taarifa ipi yenye nguvu...Simba amebase kwenye sheria na kanuni,yanga amebase kwenye utaratibu wa kisiasa. Na je kwenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa mjumbe wa bodi ya ligi inaonekana bodi hiyo ilifanya maamuzi ya kishabiki zaidi badala ya kanuni na sheria walizoziweka wao!

    Hii bodi ya ligi inavyoonekana Ina wajumbe wengi ambao ni mashabiki na wanazi wa simba kitendo kilichopelekea kuelemewa na mahaba zaidi kutoa maamuzi ya ovyo kuliko kufata Sheria na kanuni walizoziweka wao! Kitendo cha mjumbe Philemon ntahilaja kujiuzulu kimeonyesha kwenye kikao chao kilikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Lazima ifike wakati sheria iwe wazi na Dabi ifanyike mahali hakuna timu mgeni wala mwenyeji!

    Wadau wa Michezo, Ninayo yangu ya kushea! Ndugu wenye mamlaka ya Mpira hapa Tanzania ni TFF na Bodi ya ligi Tanzania,na kwa mamlaka ya Michezo Tanzania ndipo tunamkuta Baraza la Michezo Tanzania (BMT), na zaidi Wizara husika! Ni nini maana yake? Hawa watu Inatakiwa wafanye kazi kwa pamoja japo...
  6. JamiiForums Tanzania Vita Huwa haipiganwi Huwa inachezwa,Na hata mafanikio katika maisha yanatafutwa kama mchezo tu hivyo usifuate sana sheria ichezee hela upate hela.

    Ukiwa mpiganaji na upo Frontline utagundua kwenye majibizano ya risasi Huwa ni kama mchezo Fulani wa kutoana wazimu yaani watu wanafyatua risasi ovyo kuelekea kwa adui sio kila risasi eti lazima uzingatie target nyingine unazipoteza tu juu yaani kiufupi unachezea risasi na kumbuka zote hizo ni...
  7. JamiiForums Tanzania Viboko havina maana vipigwe marufuku shule zote kwa sheria kali

    Ifike mahali huu utaratibu wa kuadhibu watoto shuleni kwa viboko vikali upigwe marufuku maana hauna maana yoyote ile. Viboko havisaidii lolote ni ujinga tu kuendeleza huu upuuzi. Tuna elimu mbovu sana hatuwazidi chochote hao wenye nchi wasio chapa chapa hovyo watoto shuleni iwe...
  8. JamiiForums Tanzania Sheria zipo kwa ajili ya kurekebisha au kukomoa?

    Naona binafsi sheria zimewekwa ili kutoa adhabu na siyo kurekebisha tabia,taasisi zinazoshughulika na taratibu zimekuwa zikitozq fedha pasipo kuangalia/kuweka misingi ya kutokomeza tatizo Mfano Trafik licha ya utozaji wa faini bado kuna ongezeko kubwa la ajali na makosa ya barabarani. Naona ipo...
  9. JamiiForums Tanzania Nadaiwa na kampuni wameacha kufanya kazi na mimi na sina mchongo wa kupata hela ya kuwalip kwa sasa je endapo nitapelekwa mahakamani sheria inasemaje

    Kama mada inavyojieleza, nilikua nafanya kazi na kampuni flani sasa kuna hela kidogo nliitumia kwa kutegemea nitailipa kadri ninavyoendelea kufanya kazi Sasa ghafla jamaa wakaniachisha kazi wakati bado sijamaliza lile deni na sikuwa nalipwa mshahara ni commision tu ambayo ndo nlikua naitumia...
  10. JamiiForums Tanzania Sheria ya kijiji inamaanisha nini? 🤔

    Kulikuwa na kijana aitwaye Baraka, ambaye aliishi katika kijiji kilichozungukwa na msitu mnene. Kijiji chao kilikuwa na sheria moja kuu: "Mtu hawezi kutoka kijijini bila kubadilika, na msitu hauwezi kubadilika bila mtu kutoka." Kwa miaka mingi, hakuna aliyewahi kutoka kijijini, na msitu...
  11. JamiiForums Tanzania Kitengo cha sheria Yanga ni kibovu

    Eng Hersi naomba mfukuze kazi huyo kijana wa nyumbani Ngara Patrick Simon Japo ni home boy ila sio mwanasheria mzuri ni kilaza tu Yaani anashindwa kumtia hatia Ahmed Ally matusi yote anayoandika na kuongea hadharani Alishindwa kutetea Yanga kesi dhidi Kagoma nae akashindwa kujenga hoja...
  12. JamiiForums Tanzania Soma katiba ya nchi yako ujue sheria na haki yako uwe jasiri maana tunaongozwa kwa katiba

    Maneno hayo yana ukweli mwingi. Kujua Katiba ya nchi yako ni muhimu sana kwa sababu: Inakupa Ufahamu wa Haki Zako – Unapojua haki zako, huwezi kudhulumiwa kirahisi, na utaweza kuzitetea ipasavyo. Unajua Wajibu Wako – Katiba siyo tu kuhusu haki, bali pia inabainisha majukumu yako kama raia...
  13. JamiiForums Tanzania Rukwa: Tume ya madini kuimarisha usimamizi wa sheria kuinufaisha jamii dhidi rasilimali zake, ujenzi wa shule wachangiwa mifuko 50 ya Saruji

    Tume ya madini mkoani Rukwa imeenza utekelezaji wa kanuni na utaratibu za umiliki wa leseni ya madini na namna ya uwajibikaji kwa jamii ilikuhakikisha jamii inayozungukwa na shughuli za uchimbaji wa madini inayonufaika na shughuli hizo. Akitoa ufafanuzi wa namna sheria hiyo inavyo tekelezwa...
  14. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa specialisation katika taaluma ya habari: Balile amhenyesha Tundu Lissu katika kikao na wahariri, ambana vilivyo katika masuala ya sheria

    Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo. Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kusoma cheti cha sheria na upande mwingine umerisiti private candidate?

    Habari za wakati huu wadau? Kichwa cha habari hapo juu chahusika, Hivi inawezekana mtu akaenda kusoma cheti na upande mwingine amerisiti kufanya mitihani ya kidato cha nne?
  16. JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa sheria ya mifuko ya jamii hasa NSSF kuhusu manufaa ya michango kwa wachangiaji

    Wakuu, NSSF BUNGE la Jamhuri wa muungano wa Tanzania Kama mada ilivyo hapo juu wachangiaji wananung'unika masuala yafuatayo:< 1. Kwanini riba ya mfuko kwa mchangiaji imefanywa kwa asilinia ndogo cha 2% kwa mwaka kiasi ambacho hakisaidii chochote kumnufaisha mchangiaji? 2. Kwanini riba ya...
  17. JamiiForums Tanzania Sheria mpya ya mpira wa Miguu

    Wakuu kuanzia msimu ujao Goalkeeper akikaa na mpira wakati wa mechi kwa sekunde 8 au zaidi ili kupoteza muda Timu pinzani itapewa kona(cornerkick) na refa wa mchezo husika. Mnaonaje sheria mpya iliyopitishwa na International Football Association Board (IFAB) itakayoanza Rasmi msimu ujao...
  18. JamiiForums Tanzania Janga la "Energy Drinks" Tanzania: Umuhimu wa Sheria Kuzuia Vijana Chini ya Miaka 18 Kunywa Vinywaji vya Kuongeza Nguvu

    Katika miaka ya hivi karibuni, matumizi ya vinywaji vya kuongeza nguvu (energy drinks) yameongezeka kwa kasi hapa nchini Tanzania, hasa miongoni mwa vijana. Ingawa vinywaji hivi vinatangazwa kama viongeza nguvu na msukumo wa mwili, tafiti zinaonyesha kuwa vinaweza kuwa na madhara makubwa kiafya...
  19. JamiiForums Tanzania Inawezekana ni Kiburi na Jeuri or Real Busy? Wasaidizi wake hawajamwambia ukweli wa ubatili wa Katiba na Sheria ya Uchaguzi?,Tufanye nini kupata Haki?

    Wanabodi, Naomba kuanza na angalizo! Simple Mind Discuss People Ordinary Mind Discuss Events Great Minds Discuss Ideas。 Hili ni moja ya mabandiko yangu ya great minds ku discuss ideas, hakuna kutaja majina,simple minds nawaombeni kaeni pembeni!, hapa hatu discuss watu!。 Naomba wachangiaji...
  20. JamiiForums Tanzania Uvunjaji wa sheria za usalama barabarani unaofanywa na madereva bodaboda

    picha kwa hisani ya Masoud Kipanya,toka mtandaoni! 👉🏾Kwani toka lini bodaboda hasa katika jiji la Dar Es Salaam ,mkapata exceptions kwenye mataa na junction mbalimbali hasa taa za barabarani zinapowaasa msimame??,Kwanini kwenu kufuata taa na alama za barabarani imekuwa nongwa?? Mnahatarisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…