Sheikh ( SHAYKH, SHEEKH; Arabic: شيخ šayḫ [ʃajx], mostly pronounced [ʃeːx], plural شيوخ šuyūḫ [ʃuju:x])—also transliterated sheekh (Iraq), sheik, sheyikh, shaykh, shayk, sheikh, shekh, shaik and shaikh—is an honorific title in the Arabic language. It commonly designates a chief of a tribe or a royal family member. It is also commonly used to refer to a Muslim religious scholar. The term can be literally translated to "Elder".
Hakuna na haitawahi kutokea mkufunzi wa dini ama imani kama Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge wa madhehebu matukufu ya Shia nchini Tanzania.
Ana busara, hekima na maarifa. Mahubiri yake yamejaa nasaha, elimu na mawahidha.
Baada ya kusikia haya mahubiri yake amenifanya nijikite kusoma vitabu...
Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi akimpa zawadi mmoja wa washindi katika Mashindano ya Kuhifadhi Qur An yaliyofanyika Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Machi 18, 2026 ambapo viongozi mbalimbali walihudhuria akiwemo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi...
Hili tatizo la ulafi litaisha lini? Tende zimetolewa msaada toka Uarabuni. Sisi hizi ndo zinatufanya tutembee tukisema tumefunga ili tuje zipata.
Wewe unakula tende na wake zako na watoto. Unanywea chai, unalia ugali. Si sawa. Hizo tende walitakiwa wapate watu wote. Zigawiwe msikitini hapo...
Sheikh Issa Ponda ambaye ni miongoni mwa Waislamu 12 waliofungua kesi dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na BAKWATA leo Machi 12, 2026 amewavaa vikali BAKWATA juu ya matrilioni ya fedha wanayoyapata lakini...
Sheikh Issa Ponda akijibu maswali ya Wanahabari hii leo Machi 12, 2026 katika uzinduzi wa Kitabu chenye tafsiri ya hukumu ya shauri namba 27603/2024 kati ya Waislamu 12 dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali)...
Watoto wenyewe ni kati ya umri wa miaka 5 hadi 14
Police in Othaya granted 10 days to hold Sheikh Eid Ali to complete probe over allegations of molesting 12 minors aged 5-14 on diverse dates between 2022 and 2025 during madrassa classes, mention set for March 3...
Salaam Wakuu,
Tangu kilichoitwa uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 kumalizika, Samia Suluhu ameshindwa eti kufanya kazi zake sababu ya unyanyasaji kijinsia. Inadaiwa watanzania wanamsononiesha kwa kumzushia mambo ambayo hajawahi fanya.
Martha Mlata Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida
Kwamba Watanzania...
"Ramadhan Cup ni ukosefu wa adabu, ni ukosefu wa adabu, maanake hawa Ramadhan Cup wakitoka kwenye Ramadhan Cup watakwenda Ijumaa Cup, watakwenda masahaba Cup hawa, watakwenda Adhuhuri Cup, watakwenda watakwenda watakwenda mwisho...hebu kuweni na adabu na dini ya Mwenyezimungu. Wote...
SIKU SHEIKH ROCKET ALIPOPIGA ADHANA MBILI MOJA KIBLA MASJID BADAWY NA NYINGINE NDANI SOKO MJINGA KISUTU
Sikupata kujua wala kuwaza kwa bali kuwa rafiki yangu mmoja alikuwa rafiki wa Sheikh Rocket tena rafiki yake wa kukaa, kuzungumza, kutembeleana nyumbani na kula pamoja.
Huyu sahib wangu ni...
BURIANI SHEIKH ALI BIN MUSSA MAARUFU SHEIKH ROCKET
Naamini hakuna Muislam aliyezaliwa Dar es Salaam au kuishi tu ambae hakupata kumfahamu Sheikh Rocket au kumuona angalau kwa mara moja.
Mimi binafsi yangu nikimuona mara nyingi mitaani akipita amebeba bendera yake yenye maneno: ‘’Laillah...
Sheikh mwaipopo anaonekana misikitini akidai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia moja
Ni matumaini yangu, kanisa langu makini moja takatifu la mitume litakanusha,na siyo kukanusha tu bali kumchukulia hatua za kisheria sheikh mwaipopo,maana kazidi sana!
NB:
Modes acheni kufuta nyuzi...
Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli?
i
Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo.
Nchi nyingi duniani zikiwemo nchi za kiislam zinatumia kalenda ya Gregory na wala hawajawahi kusema ni haramu, inakuwaje chakula kwa...
Sheikh Hilal Shawej maarufu kama Kipozeo amesema haki haiwezi kupatikana bila kuwepo kwa amani na utulivu katika jamii, akibainisha kuwa amani ndiyo nguzo kuu ya maendeleo na ustawi wa taifa.
Akizungumza siku ya Alhamisi, Desemba 25, Sheikh Kipozeo amesema Watanzania wanapaswa kumshukuru...
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Sheikh Hemed Jalala, amewatakia Watanzania wote, hususan waumini wa dini ya Kikristo, heri ya Sikukuu ya Krismasi inayoadhimishwa duniani kote kama kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mwokozi wao, Yesu Kristo.
Akizungumza katika salamu zake za sikukuu kwa mwaka...
Sheikh ponda atoa maelezo kuwa Bakwata sio kwa ajili ya kila Muislamu bali ni ya Wasunni tu
https://www.instagram.com/reel/DSpOXVaAhne/?igsh=NHZkYzNjcG5wcm5z
Wakuu,
TEC wakisimama kukemea dhulma watu wanapanick ila sheikh hapa kusimama hadharani kufanya siasa its okay. Basi sawa
------------------------------------
Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda akiwa anazungumza hivi karibuni amesema kwamba"
"Wanaotaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.