Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki
Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika
Angekuwepo Mkapa, Nyerere, Mwinyi, au Magufuli wasingekaa kimya wangetoka kumshauri na kukemea...