Msemaji wa kundi la waasi la M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Willy Ngoma, ameuawa katika shambulizi la ndege zisizo na rubani mashariki mwa DRC siku ya Jumanne.
Reuters imemnukuu mwanadiplomasia wa eneo hilo, afisa mmoja mwandamizi wa kundi hilo na mshauri wa serikali ya nchi...
Wadau, taarifa hii ni kwa mujibu wa uchambuzi wa vyanzo mbalimbali vya uhakika duniani na taarifa za ndani, hivyo uwezekano mkubwa ni alfajiri ya kuamkia jumapili tarehe 22.2.2026 kwa saa za Marekani. Shambulio hilo malengo ni kuuangusha utawala wa Kiislamu wa AYATOLLAH KHAMENEI. Kibali...
Baada ya kudaiwa kuwa Mgombea Urais Bobi Wine amechukuliwa na vyombo vya usalama na kupelekwa kusikojulikana hapo jana, Solomon Kampala ameandika kupitia mtandao wa X kuwa alifanikiwa kutoroka wakati wa shambulio la polisi na Wanajeshi wa UPDF waliokuwa wamezunguka makazi yake na kuzuia kabisa...
Kwa miezi hii mitatu imetumika kwa ukubwa wake kuunganisha sauti za wanaharakati na wapenda mabadiliko Tanganyika
Ile FB iliyokuwa inadharauriwa na wasiojitambua ikawa mojawapo ya sehemu muhimu na ya uhakika ya kupata taarifa mbalimbali na updates pia
Leo tangu mchana haifunguki tena! Kumbuka...
Mamlaka ya usalama wa taifa la China hivi karibuni ilifanikiwa kuzima jaribio la kushambulia Taasisi ya Huduma ya Wakati ya China. Kulingana na matokeo ya uchunguzi yaliyotangazwa, shambulio hilo lililotoka kwa Shirika la Usalama la Kitaifa la Marekani (NSA), lilimekuwa likilenga miundombinu...
Wananchi wa Palestina, unaweza kusema, ni watu wenye bahati mbaya sana, na kwamba kwao kitu amani, ni jambo litaendelea kuwa gumu kwao.
Wapalestina maelfu wasiokuwa na hatia wameuawa, kutiwa ulemavu, na kupitia mateso mbalimbali kutokana na operation za kijeshi za Israel zilizosababishwa na...
Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.
Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni...
Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa wafanyakazi wake 11 nchini Yemen wametekwa nyara na Wahouthi.
Waasi wa Houthi walivamia ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Sanaa kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel ya wiki iliyopita ambayo yaliangamiza karibu serikali nzima ya Houthi. Utawala wa kigaidi...
Kuishiwa na KUWA ombaomba sio mpango wa Mungu KWA MKRISTO.
Kwa hiyo huwezi kujisifia kuishiwa, mbango wa Mungu ni watu wasiwe tegemezi kiuchumi KWA wateja wao ( wasiomuamini Mungu).
Msisitizo uliotolewa.
1: Umasikini ni laana ( Torati 28).
Yesu ametukomboa na laana ya TORATI.
2: Mcha Mungu...
Polisi wafanya Uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja kujeruhiwa na risasi.
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linafanya uchunguzi kuhusiana na tukio la mtu mmoja aitwaye Bakari Halifa Daud (18) mkazi wa Sombetini Jijini Arusha kujeruhiwa kwa kupigwa risasi mguuni.
Akitoa taarifa hiyo leo...
Shirika la habari la Al Jazeera limesema kuwa waandishi wake watano wameuawa katika shambulio la Israeli karibu na Hospitali ya Al-Shifa mjini Gaza
Miongoni mwa waliouawa ni waandishi Anas al-Sharif na Mohammed Qreiqeh, pamoja na wapiga kamera Ibrahim Zaher, Mohammed Noufal na Moamen Aliwa...
Wakuu hawa Vodacom kila mara wananipiga shambulio tamanishi kwa kuniomba nikope kiasi cha 830,000/= kupitia huduma yao ya mgodi ila kila nikijaribu wanasema huduma hii itakujia hivi punde.
Je naweza kuwafunga?
Uzi tayari.
Watu watatu wameuawa na 35 kupelekwa hospitali kufuatia shambulio la Ukraine kwenye kiwanda kimoja katika mji wa Izhevsk - zaidi ya kilomita 1,000 kutoka mpakani, mamlaka ya Urusi inasema.
Kati ya wale waliojeruhiwa kumi wamepata majeraha mabaya, gavana wa Udmurtia Aleksandr Brechalov alisema...
Wakati wa shambulio kubwa la usiku, Luteni Kanali Maxim Ustimenko, wa jeshi la Ukraine ambaye alikuwa rubani wa ndege ya kivita ya F-16, aliuawa. "Rubani alitumia silaha zote za ndani, akiangusha shabaha saba za angani.
Wakati wa mafunzo ya wa mwisho, ndege yake iliharibika na kuanza kuanguka,"...
Takriban watu watatu wameuawa na wengine kumi na wanne wamejeruhiwa leo Ijumaa hii, Juni 27, katika shambulio la anga la Urusi kwenye mji wa Samar, katika mkoa wa Dnipropetrovsk - katikati-mashariki - gavana wa mkoa ametangaza.
Watu watatu wamepoteza maisha yao katika shambulio la adui. Watu...
Ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita
Hii kauli imekuja baada ya Iran kufanya mashambulizi makubwa asubuhi ya Leo kusini mwa Israel katika mji wa Beersheba na...
Baadhi ya makombora ya masafa marefu kutoka Iran yamefanikiwa kutua Israel huku mengi yakidakwa angani na mitambo ya ulinzi wa anga.
Mashambulio haya yamelenga maeneo yenye wakazi wengi, lakini hadi sasa hakuna taarifa za vifo, kwani watu wamekuwa wakitafuta hifadhi kwenye vyumba maalum vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.